Uchawi maofisini!

kipindupindu

JF-Expert Member
Dec 16, 2010
1,053
170
Kwa wale wafanyakazi haswa wa serikalini mtakua mmekumbana na mikasa hii katika sehemu zenu za kazi.
Mara nyingi huwatokea wale waliopewa vyeo vipya.

Kuna mama mmoja alipandishwa cheo mwaka jana,baada ya miezi miwili hivi alianza kuleta mabadiliko makubwa na ya kimaendeleo katika taasisi aliyokuwa akisimamia basi kuna siku akafika katika ofisi yake na kukuta jeneza na sanda!haikupita wiki tatu mama huyu akashushwa cheo.

Je wewe ukiwa kama mfanyakazi umewahi kukumbana na kituko gani cha kishirikina?
Unadhani tunaweza kukabiliana vipi na changamoto hii?
 
Back
Top Bottom