Hahahahaaa aiseWewe ngumbaru usiyejua kusoma kwa ufahamu0 unaelewa mpaka sasa hujauliza swali, na umeshindwa kuuliza swali?
Nimekuuliza, uhakika ni nini?
Unarudia kuniuliza "una uhakika Mungu hayupo?"
Hahahahaaa aiseWewe ngumbaru usiyejua kusoma kwa ufahamu0 unaelewa mpaka sasa hujauliza swali, na umeshindwa kuuliza swali?
Nimekuuliza, uhakika ni nini?
Unarudia kuniuliza "una uhakika Mungu hayupo?"
Wewe ndiye mpaka sasa hujaelewa swali.Haujaelewa swali au hujui neno hakika?
Una hakika Mungu hayupo?
Ki'english' chako kinahitaji 'finishing' ya kutosha.!!!I have meets with this guys,they are so cool and humble "THIS IS CREATURES OF SPECIAL PRINCIPLES...DO YOU WISH TO SEE? ARE YOU CLEAN ENOUGH?,DO YOU WANT TO POSSESS ONE?I CAN GIVE YOU A LITTLE ONE.
N.b:-I'm in study and research of this dudes...!
Nimekuuliza kwamba hujui maana ya neno "hakika" Au hukuelewa swali nililokuuliza?Wewe ndiye mpaka sasa hujaelewa swali.
Kwa sababu umeshindwa kutoa definition ya "hakika".
Sasa wewe unayeuliza swali hujaelewa swali linauliza nini.
Mimi nitakujibu vipi swali ambalo wewe mwenyewe unayeuliza huelewi unauliza nini?
Vina mahusiano gani na nilichokuuliza? Umeulizwa hoja ya kisayansi unatoa mfano wa mji Mkuu? Una mahusiano gani na ulichoulizwa?You are being a simpleton.
Nimekuomba ufuatilie hoja kimantiki, umeshindwa.
Nikikuambia mji mkuu wa Chad , Central Afrika, ni Washington DC, iliyopo Marekani, utakubali?
Nikikuambia kuna mwanamme ana miaka 60 leo, ambaye mama yake mzazi ni binti mwenye miaka 5 leo, utakubali?
America,Australia Canada England kote wasomi wabobezi wanafanya study juu ya masuala haya nami nipo pia katika utafiti pia hakika ni utafiti mgumu kupindukia maana katika tafiti utakapokosea tu huweza kuyagharimu maisha yako Instantly.
Hakika ni upuuzi huu maana,we only research and put in library's for future intelligence with no lost past memories.Upuuzi huu
Wewe mtu usiyejua analogy wala kusoma kwa ufahamu ngoja nikueleze kifupi, kwa sababu kirefu naona hujui kusoma.Vina mahusiano gani na nilichokuuliza? Umeulizwa hoja ya kisayansi unatoa mfano wa mji Mkuu? Una mahusiano gani na ulichoulizwa?
Na mimi ndie nilieuliza hili swali kwanini unipangie namna ya kuuliza?
Na Mkuu Kiranga hii si Mara ya kwanza kukuuliza hili swali Mara zote linakushinda na kukuumbua unabaki tu kwenda out of topics.
Jibu swali kwa Dunia hii kumwahi sehemu yoyote digital information kutokea zenyewe bila kutengenezwa na Intelligent being?
Kabla ya kusema kuna majini wazur na majini wabaya ebu nisaidie kwa kingereza majini yanaitwaje vile,,,,,,,😇😇🤕🤒Kuna nadharia za ajabu sana Africa ambazo huwezi ziona dunia ya kwanza.
Uchawi ni nini. Nani ambaye anaweza kutupa proof uchawi upo? Nani alimuona mchawi? Nani anaujua uchawi? Uchawi una nguvu gani?
Hayo Majini ni nini? Hakuna cha majini wala babu yake na majini?
Hizo ni drama za kufikirika.
Utasikia kuna majini. Ushawahi kuliona! Utasikia majini majini ni viumbe visivyoonekana kama hayaonekani umejuaje kama yapo.
Majini na uchawi ni dhana za kufikilika
Eti mchawi anatembea angani kwenye ungo.. Uongo tu.. Waambie hayo majini yawape pesa.. Wanaojiita waganga au wenye majini maskini km nini.
Tunaweza kuuprove upepo..
Hayo majini yenu mbn hamuwezi.
Hata hawa wanaopandisha majini/mashetani hakuna chochote wanaumwa akili au km wanawake wanaumwa hysteria.
Lete Proof hapa.
Hakuna cha majini wala uchawi
😄😄😄Siku moja usiku rafiki yangu alikuwa anakula miraa nje, akiwa full handas akatembea hadi barabarani na kusimama njia panda akiendelea kutafuna miraa. Alikuwa amevaa kanzu nyeupe, wakatokea kina dada wawili walipomuona wakakimbia sana hakuwaona tena na hakujua ni kina nani.
Kesho yake asubuhi akasikia dada mmoja jirani yake akimsimulia mke wake kwamba jana usiku waliona jini pale njia panda
Jibu swali, hayo yote hujaulizwa. Na najua unakwepa kwepa sababu huna Jibu pumzi zimekata.Wewe mtu usiyejua analogy wala kusoma kwa ufahamu ngoja nikueleze kifupi, kwa sababu kirefu naona hujui kusoma.
Nimekwambia hivi, nikiwa najua jibu linatakiwa kukaa upande gani, mfano, square root ya 2 inatakiwa iwe ndogo kuliko 2, sihitaji kujua jibu sahihi ili kujua jibu fulani si sahihi.
Myu akiniambia square root ya 2 ni 10, naweza kujua jibu hilo si sahihi, hata kabla sijajua square root ya 2 ni nini.
Kwa sababu najua square root ya 2 ni ndogo kuliko 2, na 10 ni kubwa kuliko 2.
Mpaka hapo umeelewa na kukubali hoja hiyo?
Unajua square root ni nini au nikurudishe darasani kukufundisha square root ni nini pia?
Mkuu labda ungetoa proof nyingine lakini sio kwa kuwa refer hao lambalamba. Hao jamaa ni matapeli na wanamazingaombwe tu. Hio najisemea kwa uzoefu kabisa kwa miaka mingi juu yao. Wanaishia kuwakosanisha watu vijijini ndio maana wengine wanaogopa kutajwa nao.Ndo maana ya kusema tembea uone umeishi dar maisha yako yote,utakuta.
Kama zambi wanatambua uchawi upo kwaiyo ukikamatwa wana mwita chief aje athibitishe maana chief lazima awe ni mchawi nae.
Ukikutwa ni mchawi wanakutoa uchawi afu unafungwa.
Kwa tulio zaliwa vijijini tunaelewa shughuri ya lamba lamba wakija kukamata wachawi watu wanavyo poteana.
Ngoja niongeze pia mkuu wanasema "Absence of evidence is NOT the Evidence of Absence"!Kuna msemo wanapenda sana kuutumia wanasema "kutokuijua sheria sio sababu ya sheria kutokufanya kazi"
So wewe kuto kuona majini au kutokupata matatizo kuhusiana na majini haina maana majini hayapo majini wapo na usiombe ukutane nayo yasikie kwa watu mkuu wabaya sana
Kwanini swali liwe nani badala ya NINI ?Niliwahi kukuuliza swali ambalo unalikimbia Mara kwa Mara.
Digital information zinaweza kutokea from no where? Binary ama c++ ama Java inaweza tokea sababu ya revolution?
Kama haziwezi, nani amecode DNA zetu? DNA za binadamu zina Binary like language Kitu ambacho so far ni intelligent being pekee wanaoweza kutengeneza nani ameweka hizi code kwenye DNA zetu?
Kiranga ni kichaa aliechangamka,kumuelewesjaNimeuliza, uchawi ni nini?
Mpaka sasa sijajibiwa.
Sasa, kunitaka nithibitishe kitu ambacho hata hakijawa defined ni ujinga mtupu.
Uchawi ni nini?
Kiranga ni kichaa aliechangamka, na ni ngumu kubishana na mgonjwa wa aina hii maana kila anayebishana naye yeye anamwona ni mjinga yeye ndo mwelevu, inshort ukikutana na kichaa yupo uchi anakuona wewe ndo upo uchi Ila yeye yupo sawa.Thibitisha Mungu yupo.
Nimeshalibadili swali ajibu basi ni nini, ama whatever ila porojo zinaendelea.Kwanini swali liwe nani badala ya NINI ?
Unajuaje kinachofom HIVYO vitu ni mtu na sio kitu kingine tu?.
Ukishasema NANI , badala ya NINI unakuwa umemnyima uhuru wa kujibu swali lako katika msimamo wake.
YE, anawaza akawa ana amini chanzo hayo yote ni Bing bang, ila we unataka asema nani, sio poa.
Tafadhali:, badili swali kitoke kwenye nani ile NINI.
Kiranga at his best.
Swali lenyewe linasemaje?Nimeshalibadili swali ajibu basi ni nini, ama whatever ila porojo zinaendelea.
Si yeye tu hilo swali alipigwa Dawkins moja Atheist mkubwa na kiranga pia a Napenda kutoa reference zake, siku zote jamaa lazima apause kidogo na kigugumizi kinaanza.
Kujitoa ufahamu tu mambo yamejaa mtaani kila kukicha tunashuhudia alf mtu anajifanya haoniNazan umeamua tuh kubishana upoteze cku atleast yule jamaa anajiita kiranga anayepinga uwepo wa mungu kwa kua hakuna aliemuona mungu (cjasema yupo sahihi hapo )but suala la wachawi na majini czani kma kuna mtu mzima hajawai shuhudia hayo .kuna case kibao mpaka kwenye vyombo vya habar zinahusu imani za kishirikina kuna clip nyingi watu wamenaswa wakipaa na ungo .kama vyote hivo ujaona basi hakuna wa kukuonesha unabishana kupata atention tuh