Uchawi au Majini hayapo! Nani ameshawahi kukutana na jini

Jibu swali hilo,umeleta habari ya kupasuka kwa mwezi,nimekuuliza hili tukio unelisoma wapi au unesikia ?

Maana yake mtu ambaye amesoma tukio hili hawezi kuandika haya uliyo andika wewe. Sasa jibu swali langu.
Kwa maana hiyo tukio hilo limepindishwa kua sio kweli muhammad hakuwahi kupasua mwezi au limepindishwa kwa namna gani?
 
Wala sijafanya attempt yeyote kupinga kuonesha mimi sio mgonjwa wa akili. Kwangu mimi naona kufanya hivyo ni indication ya kukufanya ulichokiongea kionenekane cha kweli

Ila kama wewe una hakika kua mimi ni mgonjwa wa akili halafu na bado unataka nikuthibitishie sina akili unawapa mashaka watu kua hoja yako ya mimi kutokua na akili ni eidha ni ya kimhemko au ni hallucinations zako
Kwanini hujibu maswali ninayo kuuliza ?
 
Hili nimeshakujibu zaidi ya mara kumi humu. Usiulize swali ambalo unajua jibu langu.
Naelewa ushawahi kulijibu ila nauliza tena jwa purpose kwasababu kuna swali umesema hujaelewa na nataka nianzie hapa kukuelewesha

Mungu yupo au hayupo?
 
Kwa maana hiyo tukio hilo limepindishwa kua sio kweli muhammad hakuwahi kupasua mwezi au limepindishwa kwa namna gani?
Unajua naandika Kiswahili chepesi sana,hakuna sehemu niliyo kataa kuhusu tukio hilo,ndiyo maana nikasema hivi kwa yule ambaye amesoma tukio hilo,hawezi kuandika haya unayo yaandika. Ndiyo maana nikakuuliza umelisoma hili tukio au umesikia tu kwa watu ?

Sasa kupoteza kwako muda kunaonyesha hujasoma tukio zaidi ya kusikia,sababu nina uhakika wa wazi kabisa ungekuwa umesoma tukio hilo usinge andika haya.

Sasa sipotezi muda na mtu ambaye si msomaji wala simfatiliaji,nenda kasome hilo tukio kisha uje tulijadili hapa.
 
Kwanini hujibu maswali ninayo kuuliza ?
Swali lako halina lengo, halioneshi sababu ya msingi kwanini lijibiwe

Ili swali lako liwe na mantiki inatakiwa lipinge hoja yangu kua sio kweli muhammad alipasua mwezi, ila kama tukio hilo kwako ni kweli basi utaona kuendelea kutafuta wapi nilipopata hizo habari ni ujinga na kupoteza muda
 
Nimekwambia hivi walio soma tukio hawahoji kwa mtindo huo,kwanza ulikosea kuuliza kwa kusema mtume alipasua mwezi,ndiyo maana nikakuuliza umesoma tukio hilo ?

Sasa naonyesha hujasoma tukio. Swali langu la msingi sana,na halikwepeki.

Waarabu wana msemo wao unao sema hivi "Ukijua sababu ajabu huondoka".
 
Unajua naandika Kiswahili chepesi sana,hakuna sehemu niliyo kataa kuhusu tukio hilo,ndiyo maana nikasema hivi kwa yule ambaye amesoma tukio hilo,hawezi kuandika haya unayo yaandika. Ndiyo maana nikakuuliza umelisoma hili tukio au umesikia tu kwa watu ?
kama tukio hilo unakubali kua nipo sahihi kusema wewe unakubali hiyo habari, then hoja yako ya mahala nilipoisoma haitakua na mashiko kwasababu haitapinga hoja yangu ambayo tayari umekiri kua tukio hilo lipo

Kwa mantiki hiyo sasa hata wewe ni mgonjwa wa akili kwa wale wote walio nje na imani yako
 
Nimekwambia hivi walio soma tukio hawahoji kwa mtindo huo,kwanza ulikosea kuuliza kwa kusema mtume alipasua mwezi,ndiyo maana nikakuuliza umesoma tukio hilo ?

Sasa naonyesha hujasoma tukio. Swali langu la msingi sana,na halikwepeki.

Waarabu wana msemo wao unao sema hivi "Ukijua sababu ajabu huondoka".
Waliosoma kama hawakatai kua muhammad hakupasua mwezi/kugawanyisha hoja yako ni useless

Ili hoja yako iwe valid inatakiwa madai yangu yawe yakutunga, yani muhammad aonekane kua nimemzushia kuhusu habari za yeye ku split moon into two pieces
 
kama tukio hilo unakubali kua nipo sahihi kusema wewe unakubali hiyo habari, then hoja yako ya mahala nilipoisoma haitakua na mashiko kwasababu haitapinga hoja yangu ambayo tayari umekiri kua tukio hilo lipo

Kwa mantiki hiyo sasa hata wewe ni mgonjwa wa akili kwa wale wote walio nje na imani yako
Hivi unasoma ninacho kiandika ?
 
Waliosoma kama hawakatai kua muhammad hakupasua mwezi/kugawanyisha hoja yako ni useless

Ili hoja yako iwe valid inatakiwa madai yangu yawe yakutunga, yani muhammad aonekane kua nimemzushia kuhusu habari za yeye ku split moon into two pieces
Jibu swali nilo kuuliza.
 
Umeandika kama umekatwa kichwa.

Wachawi wapo, nimeshawaona kwa macho wakiwa wanawanga usiku.

Majini yapo pia, ni viumbe wasioonekana kwa macho ya kawaida.

Ukiona haujakutana na mambo ya giza basi ujue wewe hauna tija wala umuhimu.

Wachawi na mashetani huwa wanashughulika na watu wenye vipawa na nyota zinazowaka.

Mungu akikujalia vipawa lazima nguvu za giza zikuandame kwa kasi ya ajabu.

Na Mungu anaruhusu hayo ili ujitambue kiroho. Ukishajitambua, vita inakuwa nyepesi.
Una uhakika? Na je, kama ninapita njia nyepesi unataka kusema sina tija? Au, nina vita kubwa lakini sijatambua kama ninawindwa? Au, inawezekana nikawa na kipawa ila nikalindwa na Mungu, na hivyo nisione mauza uza? Naomba jibu tafadhali, nawasilisha kwako mkuu!
 
Kwanza kabisa nimeuliza uchawi ni nini.

Na utajuaje huu ni uchawi na si kitu kingine ambacho si uchawi ila hujakielewa tu.

Hujajibu.

Muandishi wa riwaya za kisayansi wa Kiingereza Arthur C. Clarke alikuwa na usemi wake mmoja naupenda sana.

Alisema " Any sufficiently advanced technology is indistinguishable from magic".

Yani hata watu kutoka Ulaya walivyokuja na mambo ya gramophone inayopiga muziki, mababu zetu wakaona muziki na sauti za watu zinatoka katika hiki kibox cha gramophone, waliona uchawi.

Hawa mababu zetu wangekuwepo leo wakaona ndege zinaruka, wangeona tunawasiliana kwa simu kutoka pande zote za dunia, wangeita huu ni uchawi.

Kumbe ni sayansi tu.

Hawa watu wa kutoka Ulaya walivyoweza kutabiri lini jua litapatwa (solar eclipse), kwa kujua sayansi tu, walionekana wachawi.

Sasa, uchawi ni nini na wewe unajuaje huu ni uchawi na si kitu kingine ambacho hukijui tu kama babu zetu walivyokuwa hawajui gramophone na jinsi ya kutabiri solar eclipse?
Kama ulivyosema usichokielewa ndio uchawi
 
Back
Top Bottom