Uchawi au Majini hayapo! Nani ameshawahi kukutana na jini

Ndio maana theory inaitwa Intelligent design, kwamba tumeumbwa na hatujatokana na evolution, somewhere Kuna intelligence kubwa kushinda sisi yenye technology kubwa kushinda sisi ilioumba Dunia na sisi.
Imtelligent design hua napenda kuiita creationsim, ni theory inayodadavua complexity ya vitu kua haiwezekani kitu chenye complexity kika pop up into existence bila chanzo

Hata ukifikia jibu bado kanuni hiyo itakubana kujua inteligent designer wa huyo intelligent desingner wa mwanzo

Yani kadri unavyozidi kwenda deep kutafuta intelligent design ndivyo unapolazimishwa huyo intellegent design ahitaji powerful intelligent design mkubwa kuliko yeye
 
Leteni majibu kuhusu uchawi/majini. So far hakuna aliyetoa solid evidence kuhusiana na hayo.. wengi wameishia kutoa ru vitisho.. ohh kua uyaone, mara sijui fyokofyoko gani.. why all this?

Tentative conclusion ni kuwa hayo mambo ya koroho/kishirikina/majini ni illusional/ fantansy. Hayana hata chembe ya ukweli..
 
Imtelligent design hua napenda kuiita creationsim, ni theory inayodadavua complexity ya vitu kua haiwezekani kitu chenye complexity kika pop up into existence bila chanzo

Hata ukifikia jibu bado kanuni hiyo itakubana kujua inteligent designer wa huyo intelligent desingner wa mwanzo

Yani kadri unavyozidi kwenda deep kutafuta intelligent design ndivyo unapolazimishwa huyo intellegent design ahitaji powerful intelligent design mkubwa kuliko yeye
Kwa ku Google hujambo mkuu.

Nimetoa hoja yangu ina base kwenye DNA na Digital information. Hio ya complexity pia naifahamu sio mahala pake.

Intelligent design ina matawi na hoja nyingi complexity ikiwa moja wapo.
 
Kwa hiyo ulidhani hiki tunacho kijadili hapa hakipo google?

Hoja yako ya DNA na digital information haitoi jibu kua zimesababishwa na Mungu so whats your point?, na ndio maana nilikuambia hakuna anayejua kwa hakika hizo DNA codes. Prove me wrong kwa ku point kipi kinacho generate hizo codes kwa uthibitisho

Unapojadili intelligent design hakuna namna unaweza kuepuka complexity
 
Labda tuliweke swali kwa mtindo huu, digital information inaweza kutokea bila intelligence?
 
jibu bado ni lile lile

maybe inawezekana kutokea bila intelligence ila hatujaweza kua na taaluma ya kutosha kuweza kujua tu, kama ambavyo vitu vingi vilivyopatiwa majibu miaka ya hivi karibuni ambavyo haikua rahisi katika miaka ya nyuma kuweza kujua kutokana na teknolojia ya kipindi hicho haikua na uwezo wa kuwafanya wapate jibu.
 
So kifupi huna jibu? Na Atheist wameshindwa kutoa jibu?
 
Kutokua na jibu leo haimaanishi haiwezekani kwa kesho swali hilo kupatiwa majibu. Au tutumie majibu mepesi kujiridhisha hata kama ya uwongo ili mradi hata kwa unafki tuonekane tunajua

Unashangaa atheist kukosa jibu, kwani nani mwenye jibu ya hilo swali ambalo lina uthibitisho wa kuridhisha kiasi cha kuto acha swali, ukiachana na sanaa za dini ambazo zimeelezea hisia zao ambapo kila dini ina toa jibu linalo pinga jibu la dini nyingine?
 
Sidhani kama ni sahihi kusema kitu fulani hakipo kwa sababu tu viungo vyako vya fahamu vimeshindwa kuvifahamu kwasababu hvy viungo tegemewa vina mapungu tena makubwa
 
Kutokua na jibu leo haimaanishi haiwezekani kwa kesho swali hilo kupatiwa majibu. Au tutumie majibu mepesi kujiridhisha hata kama ya uwongo ili mradi hata kwa unafki tuonekane tunajua

Unashangaa atheist kukosa jibu, kwani nani mwenye jibu ya hilo swali ambalo lina uthibitisho wa kuridhisha kiasi cha kuto acha swali, ukiachana na sanaa za dini ambazo zimeelezea hisia zao ambapo kila dini ina toa jibu linalo pinga jibu la dini nyingine?
Anyway jibu la dini ni kwamba mwenyezi Mungu ndio ameumba binadamu na yeye ndie alieweka hizo Sign,

Huu video itakusaidia kama una Nia ya kuelewa
 
Kwa ku google haujambo

jibu la dini kua ni mwenyezi mungu ameumba tunaliweka kwenye mzani upi kuthibitisha kwamba ni kweli?

Ni mungu wa dini yupi ambaye ameweka hizo codes?
 
Hamna kitu hapaa! Theory ya intelligent creation ni feki, tena feki sana ndo maana siyo popular katika circles za kisayansi. Kila kitu tukionacho si kwamba kilitokea in a single bang.. booo!.. to the contrary. Vitu vyote vimetokea taratibu sana, tena kwa mabillion ya miaka. Nafurahi kuwa kila siku mwanadam anaendelea kuongeza ujuzi and someday, tutajuwa tu, hata kama haitatokea wakati wa generation yetu
 
Nikija kwenye issue ya hiyo video sijaona evidence inayo thibitisha intelligent designer ni mungu. Ni maoni yaliyofungamana na makisio kwa namna ambavyo kila mmoja anawaza

Pili kuweka nukuu za dawkins zinazomuonesha aki admit hoja ya intelligent designer ni kama una hoji kwanini mimi sikubaliani wakati atheist mkubwa duniani anakiri.

No hilo ni kosa, mimi siamini au kufuata kitu eti kwasababu smart people au intelligent people anaamini hicho kitu. Tuna record nyingi sana zinazoonesha namna watu wa namna hiyo walipotoka kwa kuamini vitu vya uwongo

Katika historia wapo watu wenye akili walio wahi kuamini kua matuta ya kichwani ni kiashiria cha kuonesha tabia ya mtu. Watu wengi waliamini hivyo kwa kuwafuata watu hao ingawa uthibitisho haukuwepo kusapoti hayo madai

Kuwa smart au kua na ile title sio sababu ya kukufanya uwe karibu na ukweli katika kila jambo, hii iki maanisha kwasababu gwajima ni mbobezi wa maswala ya biblia basi mawazo yake kuhusu siasa lazima yawe ya kweli na yakubalike, sio sawa.

Mimi nakubali kitu kulingana na uthibitisho uliopo mezani, watu smart wengi waliamini jua linazunguka dunia, u-smart wao haukugeuza uongo kua ukweli
 
Hamna kitu hapaa! Theory ya intelligent creation ni feki, tena feki sana ndo maana siyo popular katika circles za kisayansi. Kila kitu tukionacho si kwamba kilitokea in a single bang.. booo!.. to the contrary. Vitu vyote vimetokea taratibu sana, tena kwa mabillion ya miaka. Nafurahi kuwa kila siku mwanadam anaendelea kuongeza ujuzi and someday, tutajuwa tu, hata kama haitatokea wakati wa generation yetu
intelligent design ni proposal ya kijanja iliyopitishwa kwa uvungu wa kisayansi (pseudoscience)
 
kuna rafiki yangu utotoni tukiwa shule aliona jini akawa makengeza hadi leo

Mimi mdogo wangu mdomo ulipinda bahat nzur kuna mganga alifanya kazi alitukana mtu na akasema mngechelewa angebaki hivyo mdomo umepinda jicho la kulia muda wote linatoa machozi haya mambo haya magumu sana alikuwa na miaka 7 kipindi hicho
 
Mimi siku zote nasema kwamba kama kungekuwa hakuna uchawi basi kusingekuwa na waganga hadi leo.
 
Kuna nadharia za ajabu sana Africa ambazo huwezi ziona dunia ya kwanza.
Uchawi ni nini. Nani ambaye anaweza kutupa proof uchawi upo? Nani alimuona mchawi? Nani anaujua uchawi? Uchawi una nguvu gani?

Hayo Majini ni nini? Hakuna cha majini wala babu yake na majini?
Hizo ni drama za kufikirika.

Utasikia kuna majini. Ushawahi kuliona! Utasikia majini majini ni viumbe visivyoonekana kama hayaonekani umejuaje kama yapo.
Majini na uchawi ni dhana za kufikilika

Eti mchawi anatembea angani kwenye ungo.. Uongo tu.. Waambie hayo majini yawape pesa.. Wanaojiita waganga au wenye majini maskini km nini.
Tunaweza kuuprove upepo..
Hayo majini yenu mbn hamuwezi.
Hata hawa wanaopandisha majini/mashetani hakuna chochote wanaumwa akili au km wanawake wanaumwa hysteria.

Lete Proof hapa.

Hakuna cha majini wala uchawi
Majini, uchawi ni nguvu za giza au kimombo extraterretiaĺ powers. Hiki kitu kipo na utokeaji wake upo ila kwa uwezo wa kawaida wa binadamu hatuwezi kuelewa inavyofanya kazi. Zipo videos, nyingi ni kutoka kwenye security cameras zimenasa matukio hayo ya majini na au wachawi na hata malaika wawapo kazini.
 
Kwa ku google haujambo

jibu la dini kua ni mwenyezi mungu ameumba tunaliweka kwenye mzani upi kuthibitisha kwamba ni kweli?

Ni mungu wa dini yupi ambaye ameweka hizo codes?
Dini zote za Abrahamic zina Mungu mmoja, at least kwa Imani yangu. Na hio ni sign moja kati ya Mamia kama sio maelfu ya signs ambazo mwenyezi mungu ametuachia mfano kwenye Quran ambayo imeshuka karne ya 14 Kuna mambo kibao yameelezewa kwa kipindi hiko ni ngumu kuelewa ila sasa hivi yanathibitika ni ukweli, na mpaka Leo hakuna mtu aliweza kuthibitisha uongo wa Quran,

Hivyo hilo nalo linaonesha Devine nature ya Quran.
 
Hamna kitu hapaa! Theory ya intelligent creation ni feki, tena feki sana ndo maana siyo popular katika circles za kisayansi. Kila kitu tukionacho si kwamba kilitokea in a single bang.. booo!.. to the contrary. Vitu vyote vimetokea taratibu sana, tena kwa mabillion ya miaka. Nafurahi kuwa kila siku mwanadam anaendelea kuongeza ujuzi and someday, tutajuwa tu, hata kama haitatokea wakati wa generation yetu
Ungepinga kwa hoja basi, tuambie basi umekuaje DNA zetu zina Digital information.
 
Back
Top Bottom