Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,329
- 23,258
Humo kichwani mwako umejaza nini? Mbona mgumu sana kuelewa. Nazungumzia kanzu,koti na kibaragashia. Wewe umekaza fuvu na kanzu. Pathetic
Nisaidie kushangaa mkuu.Hivi ni lazima Mkristo kuvaa mavazi ya kiislam katika msiba wa Muislamu
Alternatively , waislamu mbona huwa hawavai misalaba wanapokwenda kuwafariji wakristo?
Ukishamdharau wewe anapungukiwa nini'?!!Yaani katika vitu viongozi wa kikristo wanakwama ni huu upuuzi wa kuvaa mavazi ya kiisilamu kwenye hafla za waisilamu. Huwezi kuona muisilamu yoyote anavaa msalaba hata baba mtakafifu aje. Nikimuona tu kiongozi wa kikristo anavaa mavazi ya kiisilamu namdharau sana.
Wahaya wanavaa kanzu kama sehemu ya utamaduni wao. Watu wengi wa Middle East wanavaa kanzu bila kujali dini zao. Hata Yesu alivaa kanzu. Waislamu wetu wengi wanachanganya utamaduni wa kiarabu na uislamu. Siku hizi wanavaa mpaka Keffiyeh kama ishara ya uislamu.
Majority misikitini wanakuwa wanavaa nguo za kawaida tu.
Wanavaa kuiga utamaduni wa wazanzibari. Na baadhi kweli wanavaa kwa sababu mfiwa ni muislamu. Wanawake wengi wanavaa mitandio wakienda kutoa pole kwa waislamu wenzao. Ni ishara ya heshima tu na sio kosa. Hata Nyerere alivaa sana Balaghashia ambao wengi waliiona kama kofia ya waislamu.
Wasingevaa maana pasingekuwa na haja. Jamii yetu inaishi kwa heshimu tamaduni za wenzetu. Ndio maana wakristu wakitaka kuchinja wanamtafuta Abdallah awachinjie. Kufanya hivyo sio uchawa kwa waislamu bali heshima.
Hivi karibuni nimewaona Boni na Sugu wakiwa na virasta. Nao tuseme wanafanya hivyo kwa sababu ya uchawa?
Amandla...
Mbona wamepiga magoti!!??Hivi ni lazima Mkristo kuvaa mavazi ya kiislam katika msiba wa Muislamu
Alternatively , waislamu mbona huwa hawavai misalaba wanapokwenda kuwafariji wakristo?
Ni hali halisi. Kanzu ni nguo iliyokuwa na inayoendelea kuvaliwa sana Middle East na North Africa. Na huko kote wakristu na waislamu wakiarabu wanavaa kanzu. Wayahudi hawavai kwa sababu ni wahamiaji na wamerudi na tamaduni za walikotoka...hicho unachokieleza ni nadharia kuliko uhalisia.
Mtanzania wa kawaida ana amini "Salaam Aleykhum" ni salamu ya kiislamu wakati ni " amani iwe kwako " kwa kiarabu...kwa Mtanzania wa kawaida kanzu ni vazi la Waislamu.
Hata kwenye harusi za kihaya, wageni wengi hawavai kanzu. Ni vazi la kitamaduni lakini halitumiki sana...umeeleza vizuri kwamba kanzu vilevile ni vazi la ndugu zetu Wahaya, lakini sidhani kama Watanzania huvaa kanzu wanapohudhuria misiba ya Wahaya.
Inawezekana. Lakini wanakosea kama vile siku hizi wanavyosalimia " As salam Aleykhum" pamoja na "Bwana Asifiwe" ambayo nayo inachukuliwa kama salam ya kikristu. Kwangu mimi sioni tatizo kwa wao kuvaa kanzu hata kama ni kwa ajili ya kuheshimu imani yake. Ni heshima tu, sio uchawa...waliovaa kanzu kwenda kumpa pole Mama Samia wamefanya hivyo kwa kuheshimu imani yake ya Kiislamu.
Kanzu na koffia sio Uislamu dogo.Hivi ni lazima Mkristo kuvaa mavazi ya kiislam katika msiba wa Muislamu
Alternatively , waislamu mbona huwa hawavai misalaba wanapokwenda kuwafariji wakristo?
Hilo vazi ni la heshima Wala halina dosari zenye dosari ni mambo ya tasbihi, rozali, misalaba ila mavazi hayana shidaYaani katika vitu viongozi wa kikristo wanakwama ni huu upuuzi wa kuvaa mavazi ya kiisilamu kwenye hafla za waisilamu. Huwezi kuona muisilamu yoyote anavaa msalaba hata baba mtakafifu aje. Nikimuona tu kiongozi wa kikristo anavaa mavazi ya kiisilamu namdharau sana.
Mwambie mkristo avae hivyo aende kanisani kisha aseme ni vazi la heshima.Hilo vazi ni la heshima Wala halina dosari zenye dosari ni mambo ya tasbihi, rozali, misalaba ila mavazi hayana shida
Wakristo wa Mid-East wanavaa kanzu pia!Hayo mavazi si ya Kiislamu. Ni ya Jamii ya Kiarabu muwe mnajua tofauti
Unawezaje kutofautisha uchawa na ushoga? Binafsi nashindwa! Hivi kumujeshimu mtu lazima upigeagotiFine, utashi wa kijinga. Mbona wao hawana habari na imani yako, why wewe kiherehere? Uhayawani tu.
Bashungwa, one can say for sure, he is looking for a comeback!
UCHAWA
Nahisi huchanguza vizuri padri huvaa kanzu, wachungaji huvaa kanzu mitume na manabii pia walivaa kanzu na kufunika sehemu za mwili ni sehemu ya heshimaMwambie mkristo avae hivyo aende kanisani kisha aseme ni vazi la heshima.
heshima.
Mh! Uchawa na ushoga quite unrelated! Uchawa ni kujitoa akili, ufahamu, weledi pamoja na kuujua ukweli as long as unanufaika na ushenzi unaoufanya bila kujali athali kwa jamii inayokuzunguka au jamii yote.Unawezaje kutofautisha uchawa na ushoga? Binafsi nashindwa! Hivi kumujeshimu mtu lazima upigeagoti
Yale ni majoho na sio kanzu. Kama huamini kachukue yale majoho wanayovaa wachungaji kisha kauze pale nje ya msikiti uone kama watanunua.Nahisi huchanguza vizuri padri huvaa kanzu, wachungaji huvaa kanzu mitume na manabii pia walivaa kanzu na kufunika sehemu za mwili ni sehemu ya heshima