Sinkala
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 1,773
- 688
Mimi nadhani mzizi hapo ni wasichana. Hebu jiulize, nani ana uamuzi wa mwisho kuhusu kukubaliana kwenda kujamiiana, mwanaume au mwanamke?Wana - Supply "K" kwa ajili demand ipo! Tungeanza kukata mzizi kwanza, ambao ni wateja wao!