Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 10,185
- 7,368
Jamani sijui serikali inasaidia vipi wananchi wake. Maeneo ya Buguruni na Kinondoni hali ni mbaya nyakati za usiku. Wasichana wadogo wanajiuza - wanagawa uroda - ngono inaendelea bila aibu. Huu ni msiba kwa nchi.
Mkuu HansMaja sasa unataka serikali ifanye nini wakati viongozi hao hao ndio wateja wenyewe? Unataka kuwanyima raha viongozi wako, wataendeshaje nchi bila kuenjoy raha zao? Si unaona wanayo yafanya kule Dodoma wakati wa Bunge?
Last edited by a moderator: