Uchangudoa Kinondoni na Buguruni

Uchangudoa Kinondoni na Buguruni

Jamani sijui serikali inasaidia vipi wananchi wake. Maeneo ya Buguruni na Kinondoni hali ni mbaya nyakati za usiku. Wasichana wadogo wanajiuza - wanagawa uroda - ngono inaendelea bila aibu. Huu ni msiba kwa nchi.

Haaaaaaaaaaahh we unashangaa huko, Eti mi nilisikia hata humu JF wamo....Ni kweli ama???????????????????????????
 
Tupeleke mashine za tra zitalipa saana huko na kuongezaa mapato serikalini!!!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
watu wana njaaa jamanii....ila wanaturahisishia. wanawake hamna kujiona keki tena
 
Acha kila mtu awe huru kwa hekalu lake maana hata mola hamlazimishi mtu kuwa mfasi wake katoa uhuru sasa wewe ni nani hata umkataze?
 
Yaani mi sielewagi elewagi ujue........

Kuna siku maeneo ya Sinza nimeona vibinti vidogo yaani

hii ni Kadhia aisee

Hiyo ni biashara halali sawa na biashara zingine tu!
Red light-Holland wamepangwa kwenye vyumba vya vioo hadi dada wa kitz wengi tu wapo;Nevada na California utapata kila taifa na hata changudoa wa kiume 'jigaloo' wapo!Nairobi na Adis Ababa ndiyo wao wanaletwa na wakala hadi chumbani kwako.

TZ hatujakoswa na utandawazi kinachotakiwa sasa ni serikali kuboresha kazi za hawa machangudoa!Hapa Kyela wapo kila kona wanakosa tu sera imara toka serikalini!
 
Aisee.....mie kuna kipindi uncle wangu alialikwa kwenye Semina moja huko Kenya(NAIROBI)

ni machangudoa wana taasisi yao nimeisahau jina na walikuwa wanaelezea wanavyofanya kazi

changamoto....wana Video zao,majarida alinihadithia nikabaki hoi....
 
Ahahahaha dada yangu ni kazi halali!Tuwaboreshee vitendea kazi tu ili tuanze kukusanya "sin tax" kama wenzetu Nevada!
 
Ni biashara nzuri tu, sijaona tatizo hapo, kwani hakabwi mtu,
naishauri serikali ihalalishe tu wawe wanalipa kodi
 
Juzi nimemsikia 1 anajiuza kwa Tsh 25,000 short-time bila CD.Inamaana anasacrife uhai wake kwa hiyo hela.
 
Aisee mi bado nashangaa......magonjwa je inakuwaje kweli

Kwa Ulaya na USA wanapimwa na wapo under controll,kwa TZ ni "kazi ya Mungu"kama haujapata unashukuru ila kwa sasa biashara ya ngono ni every where sio Dar tu!

Majuzi nimeenda kumtoa mjomba wangu ana miaka 13 tayari yupo kwenye danguro kule kwenye kilabu cha pombe za kienyeji cha Ilata-Njia ya kwenda Ndandalo-Kyela vijijini!
 
biashara ya uchangudoa na biashara ya madawa ya kulevya bora nniiiii?? bora .............. !!!!!!
 
Back
Top Bottom