Uchaguzi: Wakenya Waamua

Kenyan-Tanzanian

JF-Expert Member
Nov 7, 2006
302
2
KIFO CHA SERIKALI FISADI YA RAIS MWAI KIBAKI

Zikiwa zimesalia masaa 80 tuu halafu Muungano wa Chungwa ( au Orange Democratic Movement) na Mgombea Rais wake RAILA AMOLO ODINGA atawazwe kama RAIS WA AWAMU YA NNE KATIKA JAMHURI YA KENYA hizi hapa news na video kibao zakuwapatia hali vile ilivyo on the ground

Waheshimiwa wanaJF sijawahi kuona kitu kama hiki. Duh! Raila is just a Political Tsunami!

1. KWA AKINA MOI: Raila na Wadau waKalenjin wa Mkoa wa Bonde la Ufa (Rift Valley atokako Moi ambaye pia ni Mkalenjin)

2. SOUTH YA NCHI: Raila na wadau wa Umaasaini ambao pia wameamua ni yeye tuu Rais tokea Ijumaa wiki hii

3. WEST YA NCHI: Raila na wadau wa Kisumu mkoa wa Nyanza

4. NORTH YA NCHI: Raila na wadau wa a Turkana kaskazini ma Kenya karibu na Sudan

5. EAST YA NCHI: Raila na wadau wa Pwani ya Kenya

6 CENTRAL YA NCHI: Raila na wadau wa Nairobi
____________________________________________
 
EAC election observers arrive

Story by SAMWEL KUMBA and JOHN NGIRACHU
Sunday Nation Publication Date: 12/23/2007

A team of 14 election observers from the East African Community (EAC) will be working throughout the country during the December 27 elections, their leader said.

Mr Mike Sebalu (right) a member of the East African assembly speaks during a press conference at Chester House yesterday before meeting with the ODM party. He is with some of the 14 member East Africa Community delegation.
Photo/MICHAEL MUTE
Mr Mike Sebalu said the first team will be dispatched today and the rest will follow on Monday. He said although the team was small, there would be members observing in all eight provinces.

"Since we are few, it is inconceivable that we can be at every constituency, leave alone the polling stations. However, each team in a province will sample specific constituencies to enable us to get a national overview of the process," said Mr Sebalu.

Invited

The observers come from Uganda and Tanzania and were invited by the government through the Electoral Commission of Kenya (ECK). Mr Sebalu said they hoped to learn more about the conduct of elections from observing how Kenyans go to the polls.

Noting that credible elections in Kenya have a bearing on the move towards an East African political federation, Mr Sebalu urged the ECK to ensure that the country has free and fair elections.

"We would like to learn from Kenya's electoral process, and that is why we anticipate the best practice which will be applied in other elections in the region as well," he said.

The team argues that non-credible elections in Kenya would lead to a lack of legitimacy and could jeopardise the move to a people-centred political federation.

"More often than not, non-credible elections lead to instability. We cannot be in the EAC if one member state is unstable. That is why we call for free and fair elections in Kenya," he said.

Noting that membership in the EAC is based on whether a country has a democratically elected leadership, shares a border with one or two other member states, and has a free and open market, Mr Sebalu said that absence of any of these would bar a country from joining. He observed, for instance, that a military led government cannot be admitted to the EAC.

He noted that based on the three elections the EAC has observed, the quality of the electoral process in the member states has improved over time.

He said he was glad the ECK took advantage of the EAC observer team's report on the conduct of the 2005 constitutional referendum to address the issue of polling stations.

Commend

"I am aware that this year the polling stations are not a problem. I commend the ECK for taking observer reports seriously," he said.

The EAC observers were meeting representatives of the various political parties to gain a feeling for what to expect as well as learn about their plans for the elections.

Yesterday they met ODM representatives after having met with PNU last week; they were to meet with ODM-K today as well as with other parties.

Meanwhile, more than 17,000 Kenyan election observers will be deployed to all 210 constituencies, according to National Council of Churches of Kenya deputy secretary general Oliver Kisaka.

He said 13 regional coordinators were being deployed to coordinate election observation in their respective areas. Some 454 constituency observers have already been trained and deployed to the constituencies, he said.

---------------------------
Nation Media Group all rights reserved 2007
Front Page | Company Profile | Privacy Policy | Terms of Use
Advertise Online | Subscribe | Careers at Nation| Key Contacts
Rights and Permissions | Feedback | FAQ's
Link to keywords
 
Suala sio kuwa na observers tu,ila ni kwa kiasi gani observers from East Africa wanaweza wakasema kuwa uchaguzi haukuwa huru na wa haki?Kwa utamaduni tuliouzoea wa viongozi wa Africa ni kulindana ata usipokuwa huru na wa haki watasema ulikuwa huru na wa haki.
Chamsing tunatakiwa kuwa na observers ambao watasema ukweli wa hali ya uchaguzi na sio huku wakiwa wanaupendeleo wa upande mmoja.

Kitu cha kwanza ni kufahamu hawa observers kutoka East Africa wanawakilisha nchi zao,jumuiya ya East Africa au?Na uteuzi wao umezingatia nini?Suala jingine sifahamu kidogo kuhusu sera za vyama mbalimbali nchini Kenya kuhusu East African federation?Vyama vinatofautiana au wote wanaunga mkono kwamba watakapo ingia basi watajiingiza ktk federation.

Lakini nimekuwa nikifuatilia zaidi uchaguzi wa Kenya,election manifesto ya chama haina maana zaidi ya ukabila wa ,gombea sasa ukiweza kupata support kutoka makabila mbalimbali unaweza kushinda,ingawa kwa uchaguzi uliopita haikuwa kama ilivyo sasa kwani kwa wakati ule Kibaki na Kenyatta wote wakikuyu.Chakushangaza safari hii ata upinzani unaunga mkono waliopo madarakani.Ndio maana ata Raila Odinga amekubali kuwa atakapoingia madarakani ataweza kuwainua watu wa pwani hasa Malindi na Mombasa kutokana na kusahauliwa kwa muda mrefu nna serikali zilizotangulia.

Nawasilisha.
 
VURUGU ZA UCHAGUZI ZAUWA WATANO KENYA
Huku ikiwa imesalia saa chache kabla ya uchaguzi mkuu kufanyika nchini Kenya, imeripotiwa kuwa watu watano wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa ikiwemo maafisa wa polisi kufuatia machafuko yaliyotokea mjini Nairobi na mkoani Nyanza.

Inadaiwa kuwa ghasia hizo zilitokea kufuatia madai ya njama za wizi wa kura kwenye uchaguzi wa hapo kesho ambao umeleezewa kuwa na ushindani mkubwa.

Serikali imelaumu ghasia hizo na kuwataka wananchi kudumisha amani.

Wakati huo huo; nchini Tanzania Watanzania wameombwa kuombea amani na utulivu katika uchaguzi mkuu wa Kenya wa hapo kesho.

Rai hiyo imetolewa na Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Alex Malasusa amesema kuwa jumuiya ya Afrika mashariki ni kama jengo ambapo Tanzania na Kenya ni sawa na vyumba kwenye jengo hilo.

Alisema Tanzania inaweza kuathirika na yale yanayotokea nchini Kenya na hivyo watanzania hawana budi kuwaombea wakenya kufanya uchaguzi ulio na amani, huru na wa haki.

SOURCE:BBC
 
mola wasaidie ndugu zetu wa keny

nchi ya kenya iko ktk jipindi kizito na kigumu

kila mtu aombe wavuke kwa salama usalimini
 
mola wasaidie ndugu zetu wa keny

nchi ya kenya iko ktk jipindi kizito na kigumu

kila mtu aombe wavuke kwa salama usalimini
amiin mtu wa beach.ni kipindi ambacho wanasiasa watafanya lolote lakini wahakikishe matakwa yao yanatimia.nami pia nawaombea salama na amani wenzetu wa kenya.na mwenye nia ya kudhulumu basi Mungu amhukumu na amfedhehi kwa anachotaka kudhulumu.kila la kheri wakenya.
 
Fraud rumours precede Kenya polls
By Karen Allen
BBC News Online, Nairobi

Thursday's election will test Kenya's democratic credentials
Kenyans will go to the polls on Thursday morning in an atmosphere of suspicion, with rumour and counter-rumours of vote-rigging.

Three police officers were killed by a mob after opposition claims that they were planning to rig the elections to favour President Mwai Kibaki.

President Kibaki is fighting for a second term.

He faces his toughest challenge from two former cabinet colleagues, Raila Odinga and Kalonso Musyoka.

More than 14 million Kenyans are eligible to vote in what is expected to be the most tightly fought contest the country has ever seen.

Rigging denial

President Kibaki is trying to secure a second term, running under the banner of a broad-based coalition known as the Party of National Unity.

His biggest challenger is Raila Odinga, who heads up the Orange Democratic Movement.

Once an ally of the president, now a political foe, Mr Odinga has been the frontrunner in opinion polls in recent weeks - yet his team have accused the president's side of dirty tricks.

The final hours before polls have been characterised by mudslinging and allegations of foul play, with Mr Odinga's supporters accusing the president of using state security agents to help rig the polls.

In response, the president issued a statement denying there was any intention to rig the elections.

There are eight candidates standing in the presidential elections.

Kenyans will also be voting in parliamentary and civil elections on Thursday.

The country's democratic credentials go on trial when the polls open at 0600 local time (0300 GMT).
 
Naona hata "The Econimist" wana m-tout Raila, this week's print edition wame-i hail Kenya kama mfano wa kuigwa kwa kusema "if Kenya can do it, any country in Africa can do it" na wana urge whoever wins should respect the results.With news of such rigging and violence that remains to be seen

EVEN by the colourful standards of African politicians, Raila Odinga stands out. The son of Kenya's first vice-president, Oginga Odinga, Mr Odinga was educated in East Germany and spent six years in solitary confinement for his alleged involvement in a 1982 coup that failed to topple the president of the day, Daniel arap Moi. Later, Mr Odinga was rehabilitated. Enriched by his family's molasses business, he helped to defeat Mr Moi in the presidential election of 2002, this time by throwing his support behind a coalition led by Mwai Kibaki. Now he is campaigning to topple Mr Kibaki and become president himself in the election due on December 27th. And because the mirror of Kenyan politics reverses everything sooner or later, the retired Mr Moi is backing Mr Kibaki.

Mr Odinga wants to build more roads and modernise Kenya's railways. He calls the failure to add an inch of track to the railway system since independence from Britain in 1963, "a strong statement about the mediocrity with which this country has been run". He is also keen on devolution. A recent visit to Wales convinced him that a Welsh-style assembly would work for Kenya's regions. As an ethnic Luo, Mr Odinga is proud of his friendship with Barack Obama, an American presidential candidate whose father was also Luo.

Still, Mr Odinga makes many queasy. Bankers fret about his Marxist youth. Foreign diplomats suspect him of authoritarian tendencies. For better or worse, a victory for this ebullient German-speaker would certainly upset the cosy country-club politics that have characterised Kenya since independence. Although he is rich, he remains an outsider.

Mr Kibaki, by contrast, is an insider. A minister since 1965, he has a reputation for good manners. He enjoys playing golf and reads P.G. Wodehouse novels. Despite these gentle pursuits, his health is a worry. Some say he is unable to work hard; he occasionally nods off while conducting important government business. He rejected a call by Mr Odinga for a televised presidential debate. That said, he has performed gamely on the campaign trail. He opposes devolution. He has the solid backing of the Catholic church and of Kenya's business class. Under his presidency, the country is better educated, less authoritarian, more prosperous and better connected to the world (notably China) than it has ever been.

On December 18th, in the last test of opinion before the election, Steadman, a local polling firm, put Mr Odinga at 45%, against 43% for Mr Kibaki and 10% for Kalonzo Musyoka, a former foreign minister and born-again Christian who has designs on winning a future presidential election. If those numbers hold, Mr Odinga's Orange Democratic Movement should also do well in the parliamentary elections, ahead of Mr Kibaki's umbrella Party of National Unity. A further threat to Mr Kibaki is that he may not achieve the mandatory 25% in five of the country's eight provinces, which would disqualify him. He is already known to be doing badly in Western, Coast and North-Eastern provinces, where he is having to do more campaigning than he wants.

If Mr Kibaki does lose, it will be because he has not created enough jobs. Despite an overvalued Kenyan shilling, tourism and agriculture are booming. The economy is growing at about 6% a year, a record. But Mr Kibaki has not fulfilled his dream of turning Kenya into an industrialised country.

He may also be punished for his failure to tackle egregious corruption, a central pledge from his 2002 victory. His own appointee in charge of ethics in the government, John Githongo, was bullied into exile after uncovering massive fraud within the government. Mr Githongo says that the president first ignored and then "flat-out opposed me". Under intense pressure from donors Mr Kibaki removed two ministers accused of corruption, only to reappoint them a few months later. But there is little expectation that Mr Odinga would do much better in this respect. Only Mr Musyoka has set a leader's example by making his assets and income public.

In many ways, the young hold the key. Mr Odinga has a massive lead among twenty-somethings. If they bother to vote, change is certain. The integrity of the voting process will be tested to breaking point. Screaming mobs, mostly of jobless young men, will surely use any irregularities to make trouble. Kenyans hope that a fiercely fought election will forge a truer democracy, not cause more bloodshed
 
Wakenya nawatakia kila la heri katika uchaguzi wenu. Huyo Raila Odinga kama angekuwa kapuku (mlalahoi) kama mimi sasa hivi angekuwa mtanzania, kwani alishaukana huo uraia wa Kenya, lakini kwa kuwa alikuwa na utajiri huko ikabidi arudi. Sisi pia tulikuja na kina mzee Mungai, Maina na wengine wengi na bado tuko ni watanzania sasa. Najaribu ku-imagine Raila Odinga angekuwa hapa anapambana na kina JK kwenye urais! Ingekuwa mechi tamu kweli!

Unashangaa Raila Odinga alikana lini u-Kenya? Tafuta passport aliyoenda nayo East Germany kusoma utaona ni ya nchi gani na imeandikwa ni raia wa nchi gani. Hata mwenyewe alikiri siku moja alipotembelea Tanzania, na kushukuru sana msaada huo aliopatiwa na Nyerere. Hata hivyo nampa pongezi brother Raila kwa hatua aliyofikia, aongeze bidii na Mungu atamjaalia mafanikio, hata kama si mwaka huu asikate tamaa. Kila la heri kaka Raila.
 
Back
Top Bottom