Ikulu ya Kenya yakanusha kwenda kwa Rais Samia kama msuluhishi

xox

JF-Expert Member
Sep 23, 2018
1,398
6,519
Inaelekea mama alienda kwa mishe zake binafsi.

---

Baada ya kuwapo kwa taarifa ya Rais wa Tanzania Samia Hassan Suluhu kwenda nchini Kenya hivi karibuni kwa ajili ya kusuluhisha mgogoro unaoendellea, Msemaji wa Serikali ameibuka na kukana suala hilo. Soma: Raila Odinga: Rais Samia alikuja Kenya kutusuluhisha mgogoro lakini Rais Ruto akaingia mitini

Akitoa ufafanuzi huo huku akionekana anajibu swali la raia, Msemaji huyo amesema inapotokea kuna kiongozi yoyote anaenda Kenya kuna taratibu maalumu walizojiwekea kumpokea kiongozi huyo. Suala la Rais wa nchi yoyote kuja linashughulikiwa na Wizara ya Mambo ya Nje ya Kenya.

Hivyo, kama kuna jambo lolote umesikia kuhusu kiongozi kuja nchini ni vyema aulizwe aliyetoa taarifa hizo.
 
Back
Top Bottom