Uchaguzi wa viongozi wa vyama vya siasa

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,978
32,387
Wanaukumbi.

  1. Vyama vya siasa ambavyo muda wa ongozi wa viongozi wake unakaribia kuisha, vinakumbushwa kufanya uchaguzi wa viongozi wake kabla ya muda huo kuisha..
d23a67d2-2b4e-467e-9bb5-fc7d00f43e4c.jpeg
 
Muda umefika sasa wa Mbowe kukaa pembeni kuwaachia viongozi wengine kuomgoza tumechoka kubuluzwa.
 
Wanakuja nimewaacha kwenye uzi wa maandamano ya CHADEMA, ila ukishamgusa Mbowe jiandae kwa matusi. Kwao Mbowe huwa hakosei.
 
Back
Top Bottom