Uchaguzi wa udiwani Arusha, kiashiria cha kukubalika Rais Magufuli

Watu wa kaskazini hawana tena haja ya kuacha shughuli zao kwenda Kwenye mikutano..
Walishafanya maamuzi siku nyingi sana.. Ni kuifuta ccm kabisaaa.. Na wamefanikiwa kwa asilimia 99
Endeleeni kujidanganya siasa ni mchezo wa akili na hali imebadilika
 
361dbc7d6e86cc1fd125fb696127c8d8.jpg

Pichani ni Meya wa Jiji la Arusha na Katibu wa Chadema mkoa wa Arusha ndg. Calist Lazaro akihutubia "umati" wa wananchi wa kata ya Mateves Arusha DC katika mkutano wa kampeni za udiwani zinazoendelea.
A serious Note: Hii ni dalili ya sera za mh Rais kuanza kukubalika kwa wananchi na wahuni wa Chagadema wameanza kupuuzwa.

Unaifahamu vizuri Arusha ama unaisikiaga tu?
 
361dbc7d6e86cc1fd125fb696127c8d8.jpg

Pichani ni Meya wa Jiji la Arusha na Katibu wa Chadema mkoa wa Arusha ndg. Calist Lazaro akihutubia "umati" wa wananchi wa kata ya Mateves Arusha DC katika mkutano wa kampeni za udiwani zinazoendelea.
A serious Note: Hii ni dalili ya sera za mh Rais kuanza kukubalika kwa wananchi na wahuni wa Chagadema wameanza kupuuzwa.
na siku yakitoka matokeo usisite kutujuza
 
Kwa mtu mwenye akili atajua tu hii picture imekatwa halafu camera man aliangalia upande wenye watu wachache pia jiulize kwanini picha haionyeshi high yable? Hivyo basi camera mani ni UVCCM
 
Tuwekee na picha za mikutano yenu huko, inayoonesha kuwa sasa sera za mh magufuli zimepata kibali mbele ya wana Arusha

ANGALIZO:Humu ndani wote tuna timamu zetu so acha kuleta propaganda za darasa la saba angalau uje na zile za form four.
 
: 19250979, member: 116513"]Sawa ila tukubaliane hutakuja na visingizio sijui vya kura zimeibiwa.....sawa mzee??[/QUOTE]

Ukweli unajulikana wa alieshinda hata akitangaxwa mwingine eg seif ailishinda dunia inaelewa jwcha akafanya uhuni mkuu naielewa arusha ninahakika na kauli yangu
 
361dbc7d6e86cc1fd125fb696127c8d8.jpg

Pichani ni Meya wa Jiji la Arusha na Katibu wa Chadema mkoa wa Arusha ndg. Calist Lazaro akihutubia "umati" wa wananchi wa kata ya Mateves Arusha DC katika mkutano wa kampeni za udiwani zinazoendelea.
A serious Note: Hii ni dalili ya sera za mh Rais kuanza kukubalika kwa wananchi na wahuni wa Chagadema wameanza kupuuzwa.
Hicho ndo kipimo cha kukubalika kwa magufuli?
 
Kwa safu iliyopangwa Arusha kuanzia wakurugenzi,wakuu wa wilaya na wakuu wa Mikoa ustawi wa chadema upo mashakani sana.....kama huyo bwana Kihamia hapo jiji la Arusha ndio anawakoroga madiwani mpaka wamepoteana hawamwelewi kabisaaa....[
 
Back
Top Bottom