Uchaguzi wa udiwani Arusha, kiashiria cha kukubalika Rais Magufuli

Jim007 2

JF-Expert Member
Dec 28, 2012
395
247
361dbc7d6e86cc1fd125fb696127c8d8.jpg

Pichani ni Meya wa Jiji la Arusha na Katibu wa Chadema mkoa wa Arusha ndg. Calist Lazaro akihutubia "umati" wa wananchi wa kata ya Mateves Arusha DC katika mkutano wa kampeni za udiwani zinazoendelea.
A serious Note: Hii ni dalili ya sera za mh Rais kuanza kukubalika kwa wananchi na wahuni wa Chagadema wameanza kupuuzwa.
 
Kujilisha upepo yano ni sifa ya nyinyiem
 
361dbc7d6e86cc1fd125fb696127c8d8.jpg

Pichani ni Meya wa Jiji la Arusha na Katibu wa Chadema mkoa wa Arusha ndg. Calist Lazaro akihutubia "umati" wa wananchi wa kata ya Mateves Arusha DC katika mkutano wa kampeni za udiwani zinazoendelea.
A serious Note: Hii ni dalili ya sera za mh Rais kuanza kukubalika kwa wananchi na wahuni wa Chagadema wameanza kupuuzwa.
Hongera kwa kuipigia kampeni Chadema ingawa akili zako zinakuambia unawaponda...
 
Kwa safu iliyopangwa Arusha kuanzia wakurugenzi,wakuu wa wilaya na wakuu wa Mikoa ustawi wa chadema upo mashakani sana.....kama huyo bwana Kihamia hapo jiji la Arusha ndio anawakoroga madiwani mpaka wamepoteana hawamwelewi kabisaaa....
 
361dbc7d6e86cc1fd125fb696127c8d8.jpg

Pichani ni Meya wa Jiji la Arusha na Katibu wa Chadema mkoa wa Arusha ndg. Calist Lazaro akihutubia "umati" wa wananchi wa kata ya Mateves Arusha DC katika mkutano wa kampeni za udiwani zinazoendelea.
A serious Note: Hii ni dalili ya sera za mh Rais kuanza kukubalika kwa wananchi na wahuni wa Chagadema wameanza kupuuzwa.
Unaumwa tetemeko wewe. Hata jiwe liwekwe huwezi kupita
 
361dbc7d6e86cc1fd125fb696127c8d8.jpg

Pichani ni Meya wa Jiji la Arusha na Katibu wa Chadema mkoa wa Arusha ndg. Calist Lazaro akihutubia "umati" wa wananchi wa kata ya Mateves Arusha DC katika mkutano wa kampeni za udiwani zinazoendelea.
A serious Note: Hii ni dalili ya sera za mh Rais kuanza kukubalika kwa wananchi na wahuni wa Chagadema wameanza kupuuzwa.
Hao ni wafugaji kwa ajili ya ukame wamehamia morogoro na mifugo yao kitafuta malisho,huoni waliobaki ni watoto wa shule?
 
Wananchi hujitokeza siku ya kupiga kura kuogopa kuuawa Kwa mabomu. Hata Mimi mwaka juzi sikuhudhuria kampeni yoyote ila kwenye kura nilikuwepo
 
361dbc7d6e86cc1fd125fb696127c8d8.jpg

Pichani ni Meya wa Jiji la Arusha na Katibu wa Chadema mkoa wa Arusha ndg. Calist Lazaro akihutubia "umati" wa wananchi wa kata ya Mateves Arusha DC katika mkutano wa kampeni za udiwani zinazoendelea.
A serious Note: Hii ni dalili ya sera za mh Rais kuanza kukubalika kwa wananchi na wahuni wa Chagadema wameanza kupuuzwa.
Walizoea kuwarubuni wamachinga sasa hivi machinga wako busy
 
361dbc7d6e86cc1fd125fb696127c8d8.jpg

Pichani ni Meya wa Jiji la Arusha na Katibu wa Chadema mkoa wa Arusha ndg. Calist Lazaro akihutubia "umati" wa wananchi wa kata ya Mateves Arusha DC katika mkutano wa kampeni za udiwani zinazoendelea.
A serious Note: Hii ni dalili ya sera za mh Rais kuanza kukubalika kwa wananchi na wahuni wa Chagadema wameanza kupuuzwa.
Ndo kazi iliyokupeleka arusha ukuu wa wilaya na mikoa kwa miaka hii mitano ni siasa mwanzo mwisho hata hamjishitukii, hapo upo kuwakilisha chama chako tu na siyo kuleta maendeleo
 
Back
Top Bottom