Uchaguzi wa Rais wa chama cha wanasheria Tanganyika (TLS) ni tarehe 17.03.2017 jijini Arusha,

Uchaguzi wa Rais wa chama cha wanasheria Tanganyika (TLS) ni tarehe 17.03.2017 jijini Arusha, mchuano mkali ni kati ya wakili mbobezi na msomi TUNDU ANTIPHAS MUGHWAI LISSU, dhidi ya wakili mbobezi FRANCIS STOLLA.

Unadhani kura yako ina mfaa nani kati ya hawa??

A. Tundu Lissu.
B. Francis Stolla.
View attachment 471395
Matokeo ya upigajikura wa watu wa humu naona kama vile ya upigaji kura wa Trump na Hillary Clinton vile. ila sijui nani alishinda kwenye uchaguzi ule?
 
Wakili sio mpiga miyowe kutwa kama mwehu.Ni mtu mtulivu mjenga hoja kwenye ulingo tu wa kisheria.Raisi wa TLS hawachagui kelele wala mpiga kelele makelele hayaruhusiwi mahakamani wala ofisi za tls ni huko huko CHADEMA.

TLS hawawezi chagua mtu kisa anapiga makelele kila mahali kwa sauti kubwa.Hawachagui sauti wanachagua mtu.INGEKUWA kelele ndio inapigiwa kura Tundu LISU angepewa.
 
Mbona unatokwa na povu sana? Tundu Lissu Mughwai ndo raisi wa TLS

Povu la sabuni ya geisha lenye mchanganyiko wa maji ya mvua.
 
Back
Top Bottom