Chiwaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 5,726
- 3,747
Matokeo ya upigajikura wa watu wa humu naona kama vile ya upigaji kura wa Trump na Hillary Clinton vile. ila sijui nani alishinda kwenye uchaguzi ule?Uchaguzi wa Rais wa chama cha wanasheria Tanganyika (TLS) ni tarehe 17.03.2017 jijini Arusha, mchuano mkali ni kati ya wakili mbobezi na msomi TUNDU ANTIPHAS MUGHWAI LISSU, dhidi ya wakili mbobezi FRANCIS STOLLA.
Unadhani kura yako ina mfaa nani kati ya hawa??
A. Tundu Lissu.
B. Francis Stolla.
View attachment 471395