Ikumbukwe pia kuna mgombea mwingine, ye ni naibu waziri. Lakini yeye sio popular kwa kuwa hana makundi. Hii inatafsiriwa na watu wengine kuwa amepandikizwa ili kuondoa makundi yanayohatarisha umoja wa UWT. Si ajabu hata yeye akashinda. Hii ni pacificm theory. Yani kupreserve amani na utulivu na kuondoa makundi ndani ya jumuiya,then yeye ni candidate muafaka.
toka jana sijacheka shauri ya hawa ma alshababu na al uamsho,umenichekesha kweli!Wote wawili ni MAGAMBA ila kwa kuwa mshindi lazima apatikane ,wapiga kura wataamua KATI YA CHOO CHA SHIMO AU CHA KUKAA ,kutegea na ulivyozoea.
Vote for Sophia Simba.
Wanatoa hongo za aina gani?
uwezo wa kukitetea chama ninao,na uwezo wa kukivusha 2015 ninao By Anne Kilango