Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

naona chama cha magamba wamebakiza silaha mbili muhimu, Mapingamizi Na Kuchelewesha Vifaa!
 
kitongoji cha Ming'ongwa kata ya Zagayu wilaya ya Itilima mkoa wa Simiyu CCM 77 CHADEMA 58.
 
Kwa namna vijana walivyoamka sahv ccm haina chake tena make sahv hata mateja sahv nao wameelewa nini maana ya kura
 
URAMBO MJINI fujo zinataka kutokea mabishano yanazid kutokana na mtendaji kuingia ktk chumba cha kuhesabia kura, wagombea ni alokua mwenyekit kupitia ccm sasa kukihama na kuwa cuf na mgombea wa ccm
 
Back
Top Bottom