Uchaguzi ndani ya CHADEMA lini?

Uchaguzi ndani ya CHADEMA lini?

Wewe niwa kupuuzwa tu kutokana na uwongo wako kwa miaka mingi hapa JF kwa kuwadanganya wana JF kama WEWE ni MTOTO wa Mwl. Nyerere wakati huna hata uhusiano wowote ULE.

Kwahiyo MwanaDiwani hapa unataka kututhibitishia kuwa wewe ndiye mama yake mzazi na Yericko Nyerere? manake mtu anayeweza kuongea kwa kujiamini kabisa kwamba wewe si mtoto wa Madelu (kwa mfano) ni mke wa mzee Madelu aliyebeba mimba na kumzaa mtoto wake akamuita jina la mwanadiwani.
 
Last edited by a moderator:
Acha unafiki wewe washauri Chadema wenzako wachangie.
mkuu najua unaogopa itaku'cost, hahahhahahha

Hizi akili za kibavicha bavicha.

Kama una akili kiasi cha kutoa ushauri mbadala. Kwa nini usianzishe Internet Forum yako na kuiweka hii 'great' idea.

Jibu hoja siyo kuanza kufundisha MOD's nini kifanyike kuboresha JF utadhani walikuomba ushauri.

Swali lililoulizwa ni hili, Lini CHADEMA watafanya uchaguzi wao wa ndani?. Kama huna jibu, jog on.
2015 hakutakuwa na madiwani feki, hahahahahahahaha, jiji la mwanza litakucheka tu, loh!
 
Kwahiyo MwanaDiwani hapa unataka kututhibitishia kuwa wewe ndiye mama yake mzazi na Yericko Nyerere? manake mtu anayeweza kuongea kwa kujiamini kabisa kwamba wewe si mtoto wa Madelu (kwa mfano) ni mke wa mzee Madelu aliyebeba mimba na kumzaa mtoto wake akamuita jina la mwanadiwani.
Mimi sijasema NENO bali familia ya Mwl. Nyerere ndiyo iliyomtoa nyoka pangoni mwake iliposema hivi,
Nilikuwa naongea na Joseph Butiku sasa hivi,na Mama Maria. Nimewauliza kuhusu huyu Yericko Nyerere. Hawamfahamu. Butiku amesema,watu wanajipa majina wanavyopenda; Adam Marwa ana mtoto wake mmoja tu,anaitwa Lumumba. Mimi[Butiku],mtoto wangu anaitwa Kaunda. Magige Nyerere ana mtoto anaitwa Moringe. Halafu Mama Maria akasema,Rose Nyerere ana mtoto anaitwa Luis Rwagasore,Mfalem wa Rwanda.
Kwa hiyo Butiku amesema huyu kijana kama angekuwa na namba ya simu,ningeweza kumtafuta,ili aweze kujieleza. Kwa hiyo nimempa Butiku namba ya simu ya Yericko Nyerere.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-tanganyika-na-zanzibar-221.html#post6613446

Hatutaacha kumkumbusha uongo wake aliotenda kwa miaka mingi sana hapa JF kwa kuendelea kudanganya na kudanganya kwa kusema hivi,

Umekosea sana.
Marealle hakupata kuifadhili TANU.

Chief Marealle na Nyerere hawakuwa na mkabala mwema baina yao.

Soma kijana soma.
Utaerevuka.

Punguza kujua.
Nielewe mkuu, nimesema alikuwa mfadhiri wa Mwalimu Nyerere sio TANU.

Ndugu sio kila kitu utakifahamu katika historia ya nchi hii,
Mimi Mwalimu Nyerere kama Baba yangu mzazi, nakufahamisha tangu sasa kuwa Chifu Marealle alikuwa mfadhiri wa Mwalimu Nyerere (kiuchumi)

Alimnunulia gari, suti, na nauli alimpa ya kwenda umoja wa mataifa.

Si kila kitu kitawekwa katika simulizi.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-tanganyika-na-zanzibar-224.html#post6630081
 
wana jf
mwanzoni mwa mwaka huu kulikuwa na tetesi kwamba uchaguzi wa ndani wa viongozi wa chadema utafanyika kuanzia mwezi wa nne 2013, cha ajabu hivi sasa ni mwisho wa june lakini kimya na hakuna kinachoendelea.

Demokrasia iko wapi ndani ya chadema??? kuna rafiki yangu nlikuwa naongea naye kuhusu hili akasema uchaguzi wa nini wakati viongozi wapo?? je hilo jibu ni sahihi kwamba mfumo wa kifalme umerudi Tanzania? Tumezoea kumsikia Augostino Lyatonga Mrema akiwa mwenyekiti wa TLP tangu ahamie chama hicho miaka zaidi ya 15, John cheyo wa UDP na Prof Lipumba ni mwenyekiti wa kudumu wa CUF.

Je hivi vyama ni wale wale??

Mh!! We naona una hamu kuporomoshewa matusi.
 
vijana wa lumumba mnaweweseka sana demokrasi unayoiuliziaCHADEMA ungetuambia kwanza ni kwa kiasi gani CCM mlionyesha kwenye chaguzi zenu.
Lakini kumbuka CHADEMA inaendeshwa kwa kanuni na taratibu muda utakapojiri umma utajulishwa
 
Wewe niwa kupuuzwa tu kutokana na uwongo wako kwa miaka mingi hapa JF kwa kuwadanganya wana JF kama WEWE ni MTOTO wa Mwl. Nyerere wakati huna hata uhusiano wowote ULE.

Ulikuwa unajitahidi kuharalisha kama una fahamu mengi kuhusu Mwl. Nyerere kwa kuwa active katika maswala yanayohusu familia ya Mwl. Nyerere mpaka pale Andrew Nyerere na Mzee Butiku walipotaka kujua kwa nini unatumia jina la Mwl. Nyerere ndiyo ukaja hapa JF ku-preempty kwa statement hii, huku ukitaka bado tuamini kuna mahusiano kwa mbali na Mwl. Nyerere kwa vile jina linafanana. Siku za mwizi ni arobaini.

Sura za watoto wa Mwl. Nyerere haziko hivi bila hata ya kuchukua prove of Deoxyribonucleic acid (DNA)

Mkuu MwanaDiwani, hahahahahaha......mbavu zangu, uuuuuuuwwwwi!!!
 
Uongozi katika vyama vya siasa hasavupinzani ni wa urithi na wagombea wa kudumu kama ilivyo kwny urais wagombea wa kudumu hushangai tangu vyama vimeanzaishwa viongozi nibhao hao wanarithiwhana wakwe nk nk
 
Mkuu umeua kabisa. Hii ni aibu kubwa sana. Nilitegemea hata angekuwa hata jirani na nyerere kumbe hamna kitu kabisa. Ni aibu sana kupenda sifa za kijinga namna hii. Alizani akitumia jina la nyerere atapata heshima huku jukwaani. I feel sorry for him.

What?. You feel sorry for CON MAN anayeitwa Yericko Nyerere . You must be out of this world.

Huyu jamaa lazima ashukuru kwa vile Tanzania hatuna sheria ya kukambana na watu wa aina yake. Kama angekuwa kwenye nchi za watu kwa sasa angekuwa anakabiliwa na shitaka kizimbani la Stalking and pyschological harassment kwenye familia ya Mwl. Nyerere.

Alitakiwa alipe faini au kwenda jela au vyote kwa pamoja kutokana na REPUTATION aliyoipata kutoka ndani na nje ya JF kama ni mtoto wa Mwl. Nyerere kwa jinsi alivyokuwa anadai.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu MwanaDiwani, hahahahahaha......mbavu zangu, uuuuuuuwwwwi!!!
Hili siyo swala la kucheka hata kidogo. It's very SERIOUS ISSUE. Hivi unafahamu familia ya Mwl. Nyerere imefedheheka kwa kiasi gani?. Anaweza kuwafidia na kuwarudisha katika hali yao ya kawaida?.

Kwa waingereza hili ni kosa la JINAI lenye kifungo cha miaka MITANO in prison. Yericko Nyerere deserve to go to JAIL for Stalking and psychological harassment kwenye familia ya Mwl. Nyerere.

This is not a laughing matter.
 
huyu nyerere feki kiboko yake ni Zitto tu,akisikia jina la zitto anajiharishia.
 
Last edited by a moderator:
Hili siyo swala la kucheka hata kidogo. It's very SERIOUS ISSUE. Hivi unafahamu familia ya Mwl. Nyerere imefedheheka kwa kiasi gani?. Anaweza kuwafidia na kuwarudisha katika hali yao ya kawaida?.

Kwa waingereza hili ni kosa la JINAI lenye kifungo cha miaka MITANO in prison. Yericko Nyerere deserve to go to JAIL for Stalking and psychological harassment kwenye familia ya Mwl. Nyerere.

This is not a laughing matter.

Utanipasua mbavu, teh teh teh nilicheka aliniambia eti nisiliongelee swala la familia wameishalimaliza kifamilia na mzee Butiku, mie ninamlaaumu sana Ben Saanane, kwa kulikalia kimya hilo suala.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu uchaguzi tutafanya baada ya ukombozi wa nchi hii kutoka ktk mikono ya mashwahtan ya CCM.
 
wana jf mwanzoni mwa mwaka huu kulikuwa na tetesi kwamba uchaguzi wa ndani wa viongozi wa chadema utafanyika kuanzia mwezi wa nne 2013, cha ajabu hivi sasa ni mwisho wa june lakini kimya na hakuna kinachoendelea. Demokrasia iko wapi ndani ya chadema??? kuna rafiki yangu nlikuwa naongea naye kuhusu hili akasema uchaguzi wa nini wakati viongozi wapo?? je hilo jibu ni sahihi kwamba mfumo wa kifalme umerudi Tanzania? Tumezoea kumsikia Augostino Lyatonga Mrema akiwa mwenyekiti wa TLP tangu ahamie chama hicho miaka zaidi ya 15, John cheyo wa UDP na Prof Lipumba ni mwenyekiti wa kudumu wa CUF. Je hivi vyama ni wale wale??
CCM MASALIA NAPE,STA NA MEMBE GROUP MZEE WA MDMU A.K.A WA KUZUIA WATU KUJA DAR Joka la mdmu CDM WAPO STRNG HYO NI FALAS
 
Kwahiyo MwanaDiwani hapa unataka kututhibitishia kuwa wewe ndiye mama yake mzazi na Yericko Nyerere? manake mtu anayeweza kuongea kwa kujiamini kabisa kwamba wewe si mtoto wa Madelu (kwa mfano) ni mke wa mzee Madelu aliyebeba mimba na kumzaa mtoto wake akamuita jina la mwanadiwani.

MwanaDiwani na yule Madelu aliyeshiriki kuua watu Arusha wana uhusiano?
 
Last edited by a moderator:
Mmmmh! Mkuu MwanaDiwani nimeanza kukuogopa aiseee, kumbe ni vyema kutumia fake ID maana nimeona watu mpo makini sana kufatilia nyendo na maneno ya watu.

Mkuu Yericko Nyerere tafadhili usibishane tena na hawa jamaa wapo kwa kazi maalumu.
 
Last edited by a moderator:
Hili siyo swala la kucheka hata kidogo. It's very SERIOUS ISSUE. Hivi unafahamu familia ya Mwl. Nyerere imefedheheka kwa kiasi gani?. Anaweza kuwafidia na kuwarudisha katika hali yao ya kawaida?.

Kwa waingereza hili ni kosa la JINAI lenye kifungo cha miaka MITANO in prison. Yericko Nyerere deserve to go to JAIL for Stalking and psychological harassment kwenye familia ya Mwl. Nyerere.

This is not a laughing matter.

Watu kutaka ukubwa kuonekana matawi? Hii ni aibu.
 
Last edited by a moderator:
Utanipasua mbavu, teh teh teh nilicheka aliniambia eti nisiliongelee swala la familia wameishalimaliza kifamilia na mzee Butiku, mie ninamlaaumu sana Ben Saanane, kwa kulikalia kimya hilo suala.
Hili siyo swala la kucheka hata kidogo. Hii zaidi ya identity thief.

Swala la familia gani wakati familia ya Mwl. Nyerere haimfahamu na haitaki kumfahamu zaidi ya kumpa onyo na hili walilielezea kwa uwazi.

Ben Saanane yupi huyo?. Hakuna mtoto wa Mwl. Nyerere anayeitwa Ben Saanane.
 
chama cha kidicteta, kikabila, kikanda na kidini hakiwezi kufanya uchaguzi wa kidemokrasia. wanasubiri tu 2015

Nilini CCM imekua na uchaguzi wa kidemokrasia..... Hakuna mwanyekiti wa CCM aliyewahi kuondolewa madarakani mpaka kujiuzulu tu ndio kunamuondoa mwenyekiti....tangu mwaka 1977 CCM imekua na wenyeviti wa4 tu yaani kwa miaka 36.... CDM kwa miaka 20 tu imeishapata wenyeviti wa3 tofauti.

Kama CDM ni chama cha kidini na CCM je.... ? Kwa kauli ya mwenyekiti CCM mwenyewe kuwa CUF ni cha chama cha kidini (dini yake mwenyewe) ....... kilichofuata ni muungano wa CCM na udini wa CUF....? na kuzaaa udini dhidi ya CDM? ..... na halafu km CDM ni chama cha kidini na kikanda kina wezaje kushindana na CCM ? yaaani sipati picha ya mantiki hii nashangaa imekua ndio dhana ya ufikiri wa wachovu wa kisiasa wa Tanzania-CCM.

CCM hukiita CDM chama cha kidini (Ukristo) na CUF (Uislam) chenyewe CCM (Upagani) ndio maana wanajihisi wao ndio MUNGU na wanafanya watakalo eti hata kuua ni haki yao wao ... hawa wapagani wasiomuogopa MUNGU eti ndio wanaoongoza taifa hili ndio maana umasikini "umeuvaa taifa hili" manake kusipo na MUNGU hakuna utajiri...!
 
Back
Top Bottom