utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,815
- Thread starter
- #61
kuwa mkweli we mbeba sumu chama siyo cha kikabila au cha kikabila na uchaguzi ni lini? acha kubandika matamko kama mnyika.
wana jf
mwanzoni mwa mwaka huu kulikuwa na tetesi kwamba uchaguzi wa ndani wa viongozi wa chadema utafanyika kuanzia mwezi wa nne 2013, cha ajabu hivi sasa ni mwisho wa june lakini kimya na hakuna kinachoendelea.
Demokrasia iko wapi ndani ya chadema??? kuna rafiki yangu nlikuwa naongea naye kuhusu hili akasema uchaguzi wa nini wakati viongozi wapo?? je hilo jibu ni sahihi kwamba mfumo wa kifalme umerudi Tanzania? Tumezoea kumsikia Augostino Lyatonga Mrema akiwa mwenyekiti wa TLP tangu ahamie chama hicho miaka zaidi ya 15, John cheyo wa UDP na Prof Lipumba ni mwenyekiti wa kudumu wa CUF.
Je hivi vyama ni wale wale??
Mkuu unataka uchaguzi gani tena wakati Mbowe ni mwenyekiti wa maisha wa Chadema na Dr Slaa ni katibu mkuu wa maisha.
mgonjwa, naona umewastua wenzako waje wakusaidie mana we ni mweupe upstairAngalia REP power yangu na yako ndio utajua nani katoroka Mirembe....wherever that is anyway
Uchaguzi ndani ya Chadema unakuhusu nini? Unataka kujinga na chama hicho au? Acga umbea utasutwa mtaani. Pilipili usizozila zinakuwashaje?
mnawanyima fursa akina ZITTO Kabwe ya kushine. Lini uchaguzi CHADEMA?
Uchaguzi umeshafanyika nyumbani kwa mzee mtei tengeru. Hakuna uchaguzi mwingine tena.
Uchaguzi umeshafanyika nyumbani kwa mzee mtei tengeru. Hakuna uchaguzi mwingine tena.
Uchaguzi umeshafanyika nyumbani kwa mzee mtei tengeru. Hakuna uchaguzi mwingine tena.
CDM hakina demokrasia kabisa maana Katibu wao tayari ni Yule babu mpenda wake wa watu
mnawanyima fursa akina ZITTO Kabwe ya kushine. Lini uchaguzi CHADEMA?
kwa hali ya kawaida wewe umeona wapi chama cha kuwindana kuuwana kila kukicha fanyeni uchaguzi au viongozi wenye sifa wameisha?
Na wakifanya uchaguzi tu chadema inakufa pwaaa!
Angekuwa hashine ungemjua wewee.....?? Kwa taarifa yenu hakuna uchaguzi, hawahawa wanaowanyima usingizi mpaka 2015...,
sure mkuu. maana chama kitakuwa vipande vipande. ndo maana wanaabuse internal democracy ili kuzuia hicho kitakachotokea
Angekuwa hashine ungemjua wewee.....?? Kwa taarifa yenu hakuna uchaguzi, hawahawa wanaowanyima usingizi mpaka 2015...,
kwanza yule atakayeleta hoja ya uchaguzi lazima afe mapema ndani ya chadema.