Uchaguzi ndani ya CHADEMA lini?

Uchaguzi ndani ya CHADEMA lini?

Wanapiga kelele kumbe kibanda kinawaka moto?!

Tatizo sio kupijana tatizo taratibu za kidemokrasia zimefuatwa? Kupijana ni matokeo ya demokrasia panapotokea mminyano wa kimawazo. Jibu hoja hi ni tanzania sio moroko
 
wana jf
mwanzoni mwa mwaka huu kulikuwa na tetesi kwamba uchaguzi wa ndani wa
viongozi wa chadema utafanyika kuanzia mwezi wa nne 2013, cha ajabu hivi
sasa ni mwisho wa june lakini kimya na hakuna kinachoendelea.

Demokrasia iko wapi ndani ya chadema??? kuna rafiki yangu nlikuwa
naongea naye kuhusu hili akasema uchaguzi wa nini wakati viongozi wapo??
je hilo jibu ni sahihi kwamba mfumo wa kifalme umerudi Tanzania?
Tumezoea kumsikia Augostino Lyatonga Mrema akiwa mwenyekiti wa TLP tangu
ahamie chama hicho miaka zaidi ya 15, John cheyo wa UDP na Prof Lipumba
ni mwenyekiti wa kudumu wa CUF.

Je hivi vyama ni wale wale??

una kuhusu nini wewe gamba!
 
chama ni chetu wana cdm,ulitaka tukuteue ww gamba? hii co ccm ambapo m/kt ndo anateua viongoz,cdm 4ever
 
Chadema kufanya uchaguzi wa ndani ya chama baada ya 2015

Hivi kwa mujibu wa katiba yao wanatakiwa wafanye uchaguzi lini? Kamanda Molemo Kamanda Mwita Maranya uchaguzi ndani ya chama ni lini nataka nami nirushe karata yangu kwenye moja ya kata hapa Dar.
 
Last edited by a moderator:
Wanajamvi:
Ilikuwa ni tetesi lakini sasa lipo bayana chadema kimeshindwa kufanya uchaguzi wa ndani ya chama hicho kutokana na mwenyekiti na katibu wake kuendelea kupanga mipango ya kubaki madarakani bila ya kufanya uchaguzi.

vyanzo vya habari toka ndani ya chadema vimepasha kuwa mbowe na slaa hawako tayari tena kufanya uchaguzi badala yake wanasubiri wakati fulani ufike ili wafanye marekebisho kwenye katiba ya chama ili wao iwaruhusu kukalia nafasi zao mpaka 2015.

kufanya marekebisho kwa katiba kunasukumwa na sheria ambayo wao wameitunga kuwa kila baada ya miaka mitano uchaguzi lazima ufanyike hivyo kutofanya uchaguzi kunaweza kuwabana kisheria ambapo ofisi ya msajiri wa vyama vya siasa itaweza kuwabana kwa kosa hilo ndiyo maana inabidi wafanye marekebisho ya
katiba na kanuni zao ili kukwepa rungu la msajiri,

kwa sasa viongozi wa juu wa chadema watabaki bila kubadilika hii ni pamoja na viongozi wa mabaraza kama bawacha na bavicha,kwa wale ambao walikuwa na ndoto za kugombea uongozi ndani ya chadema kama kijana mwenzetu ben saanane na zitto kuweni wapole mtafute kazi zingine za kufanya au mhamie chauma na ADC ambao watafanya uchaguzi mda siyo mrefu,

kwa sasa kinachofanyika kwa mbowe na slaa ni kujenga ngome zao kila mmoja ili kujiimarisha ndani ya chama na kuwa na viongozi wengi wa kuwatetea kwenye vikao ndiyo maana mzee slaa kila akifanya ziara sehemu yoyote anatimua uongozi wote badaye anaweka watu wake si mda mrefu hali hii imetokea kyela.

Chadema inawenyewe hatuwezi kumpa mtu uongozi tusiyemfahamu kuweni makini na hili jambo tunaweza kupoteza chama chetu mikononi mwa watu tusiowajua.....mzee mtei.
 
13801326.jpg
 
Mh. Mbowe na Dr. Slaa ni Prof. Ibrahim Lipumba wengine. Hawa watu hawana tofauti yeyote na maDictator.

Hata kina Hitler, Musolin na Idd Amin walisema wanapendwa na wananchi wao kama hawa kina Dr. Slaa na Mh. Mbowe wanavyotaka kutuaminisha.
 
Mi muuwaji wa Tembo wetu na mfadhili wa Alshabab. Lakini cha ajabu bado sisi ni bora ni Katibu wa Magamba. Kinana Rudi Kwenu Somalia
 
Mi muuwaji wa Tembo wetu na mfadhili wa Alshabab. Lakini cha ajabu bado sisi ni bora ni Katibu wa Magamba. Kinana Rudi Kwenu Somalia

mkuu usipotezee mada ubongo wako una makamasi nini?
 
Mi muuwaji wa Tembo wetu na mfadhili wa Alshabab. Lakini cha ajabu bado sisi ni bora ni Katibu wa Magamba. Kinana Rudi Kwenu Somalia

Mkuu Masanilo, next week utatimiza miaka sita hapa Jukwaani.

Nilitegemea utuletee hoja badala ya vioja.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom