Uchaguzi ndani ya CHADEMA lini?

Uchaguzi ndani ya CHADEMA lini?

Nimefurahi sana katibu wangu kujibu au kufafanua kwa ufasaha! Kwanza pole na safari! Lakini nataka nikwambie kwamba awajamaa wametumwa na ccm wanataka kujua uchaguzi lini ili walete mapandikizi waje wagombee ili waalibu chama makini! Sijuhi kama nimwanachama kamili alafu akuna hasichojua.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
chama cha kidicteta, kikabila, kikanda na kidini hakiwezi kufanya uchaguzi wa kidemokrasia. wanasubiri tu 2015

Duuh! eeeh ama kweli we lizaboni kweli unahitaji kuwashiwa taa mchana kweupe?Jitambue nyambaafu!
 
Unashida na Mbowe au unashda na Tembo wanaotoroshwa,madini kuondoka,gesi kuondoka? Maisha kuwa magumu! Ninamashaka na uelewa wako! Watu wanasoma wafute ujinga,wewe unasoma kuongeza ujinga!

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
matarajaio yenu ni kuona uchaguzi ukifanyika na wale viongozi wote wanaitoa jasho ccm hawachaguliwi, uchaguzi upo na muda utafika, chama hakiwahusu kelele lundo nyie watu mna matatizo sana eeeh

Democracy inaanza nyumbani, Democracy is respected choice through ballot na walio wengi ndio wanapewa haki. Nyinyi mnataka nchi iwe na democracy / uchaguzi , muwe na haki ya kuandamana lakini wale ndugu zetu wa moshi hawataki uchaguzi ndani ya chama wala mtu mwingine yeyote asiye na asili ya kilimanjaro anashika hatamu ya chama. Tujiulize hivi sasa nini kinachoendelea kati ya Dr Slaa na Mbowe ndipo tutapata jibu. Uongozi wa chadema hautavuka familia ya mtei ila kwa mtutu wa wanachama wa mikoa mingine kudai haki yao.
 
wacha umbulula, chukua historia ya ccm iliongozwa na mtu mmoja kwa miaka mingapi? :A S angry:

Ule ilikuwa wakati wa chama kimoja na Ujamaa, siasa ya ujamaa ni siasa ya Udictator wa hali ya juu. Serekali ndio kila kitu wewe fuata maelezo na utimize tuu, mara nyingine hata kizazi ulikuwa unapangiwa. tukaamua tuwe na vyama vingi vya kidemocracy. Leo CCM inaongoza kwa mabafiliko ya uongozi
 
Viongozi wa Chadema ni viongozi wa kudumu wala hawana mpango wa kubadili viongozi.
 
Ukiwa ccm lazima uwe na kaupungufu ka akili
mkuu kwanini usitoa hoja ya maana badala ya kutoa matusi?? ccm ni taasisi na imeundwa kisheria na ndio imekabidhiwa dola. unapoitukana ina mana unawatukana watz wote.
 
Viongozi wa Chadema ni viongozi wa kudumu wala hawana mpango wa kubadili viongozi.
chadema ni Non Governmental Organisation, kama IPP ndio mana mwenyekiti wake daima ni Reginald Mengi, AZZAM ambayo mkurugenzi wake ni BAKHRESA kwa hiyo ukitaka uchaguzi wa chadema ufanyike ina mana unataka kuua kampuni yetu
 

Unalalamikia tetesi? Uchaguzi hufanywa kwa mujibu wa katiba na sio tetesi you dope

Katiba ndiyo inayotamka uchaguzi na kwa mujibu wa katiba yenu uchaguzi ulitakiwa uwe umshafanyika kama sio kitendo cha yule mroho wa madaraka slaa aliposimamisha chaguzi ndani ya Chadema ili atengeneze mazingira ya kujichagua bahati mbaya sana anajua nini kitafanyika ndio maana mpaka leo haongelei tena uchaguzi wa ndani wa Chadema!
 
Last edited by a moderator:
Viongozi wa Chadema ni viongozi wa kudumu wala hawana mpango wa kubadili viongozi.

Mkuu Ritz
Ni kazi sana kuhubiri demokrasi wakati wewe mwenyewe ni dikteta; hivi waroho hawa wa madaraka siku wakishika nchi sio ndio watatsema hakuna uchaguzi wa raisi bahati nzuri sana hilo ni ndoto vinginevyo watanzania wangelia kilio cha mbwa maana CCM imetuzoesha demokrasia ya kuchagua viongozi wetu!
 
Last edited by a moderator:
Mbona uchaguzi unaendelea hadi sasa,kwa mfano ktk jimbo la Njombe Kaskazini ngazi ya misingi na matawi tumeshamaliza na kuanzia tarehe 27/09/2013 tunaanza ngazi ya kata na majimbo,kumbuka hizi ngazi za chini za chama zinasimamiwa na kanda na ratiba zinatofautiana kila kanda ,lkn uchaguzi unaendelea sehemu mbalimbali .haya swali lingine
Angalia huyu muongo katibu mkuu Dr. Slaa amesema mwenyewe kwenye majibu kuwa hatua ya uchaguzi bado, je hao jimbo la njombe wanatumia katiba ya chama gani?

 
Dr.W.Slaa
Pamoja na maelezo yako ya kujipamba katika posti yako #224 ni wazi wewe ni muoga wa demokrasia ulisitisha chaguzi za ndani ili ujijengee mazingira mazuri ni wazi uliogopa upinzani wa Zitto; ni hayawani tu ndiye atakayekubaliana na wewe ni wazi sio Chadema hawataki chaguzi za ndani ni wewe na kundi lako; hayo yote uliyoyasema hayazuii deomkrasia ya kuchagua viongozi wa kuongoza Chadema; demokrasi ndiyo mhimili wa chama chochote cha siasa kwa mantiki hiyo hata hao viongozi ambao wangechagulia wangeendelea pale viongozi wa zamani walipoishia maelezo yako ni bure sema ukweli uliokufanya wewe na kundi lako kuiteka katiba ya Chadema kwa maslahi yenu na sio wanachadema!
 
Last edited by a moderator:
We Ritz-a.k.a Ridhiwan,Unashadadia yasiyokuhusu Baba yako tangu ameingia madarakani amesafiri nje ya nchi mara ngapi?anaenda kufanya nini mbona safari zake hazina tija kwa taifa?Naomba mungu huyu mzee 2015 ifike haraka aondoke maana hakuna anachokifanya,tutamjengea nyumba Air port.
 
Back
Top Bottom