sunguti2009
R I P
- Aug 6, 2013
- 90
- 32
Tumaini Makene ebu tufafanulie,,maana kama hii habari ni kweli bas kuna tatizo kubwa sana uko zaidi ya CCM...hivi uchaguzi wa mwisho chadema ulifanyika lini??
teh teh teh teh. . . . . .hv km timu inafanya vizuri kwenye dimba, unataka kuibadilisha ili iweje, halafu wanaotaka ibadilike ni wapinzani wako! teh teh teh teh. . . . . .Halafu kinachochekesha zaidi mnaolalamika ni magamba, sie Chadema, tulii!!!
Unakumbuka uchaguzi wa USA kati ya Al-Gore vs Bush? Wanaokumbuka watanielewa!kwani katiba inasemaje kwa nini tuhangaikie katiba ya nchi wakati hizi za vyama tu hazifuatwi?
Tumaini Makene ebu tufafanulie,,maana kama hii habari ni kweli bas kuna tatizo kubwa sana uko zaidi ya CCM...hivi uchaguzi wa mwisho chadema ulifanyika lini??
Halafu kinachochekesha zaidi mnaolalamika ni magamba, sie Chadema, tulii!!!
Wadau katika hali isiyo ya kawaida leo nikiwa naenda Ibadani nimeonana na Mzee Ndesambulo.
Alikuwa akiongea na mzee Mmoja ambaye simjui. Alipo ulizwa na yule bwana amepokeaje kauli ya Slaa juu ya uchaguzi kutofanyika, amesema tunafkiri uchaguzi ufanyike 2015 kwa kuwa viongozi hawa bado wanamoyo wa kufanya kazi. Tukifanya uchaguzi tutavurugana.
kwani katiba inasemaje kwa nini tuhangaikie katiba ya nchi wakati hizi za vyama tu hazifuatwi?