Uchaguzi mkuu wa Kenya: CCM na CHADEMA vimeungana?

Kajirutaluka

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
1,224
994
Najiuliza kwa huu mfumo wa uchaguzi wa kesho huko Kenya ambapo CHADEMA kuanzia mwanzo wanafahamika kumuunga mkono Uhuru.

Kwa kuzingatia uchaguzi wa Zanzibar ulivyofanyika inaonekana CCM hawawezi kuupinga huu uchaguzi na tayari twamuona nape akimuunga mkono Uhuru.

Ndio kusema vimeungana kimtazamo kuuhusu huu uchaaguzi?
 
CCM bado wanamuunga mkono Raila ambaye leo ametangaza kukigeuza chama chake kuwa kundi la uasi, National Resistance Movement NRM.
 
Tunawatakia uchaguzi mwema wa Amani raila yeye atulie tu aache zogo maana alisoma dalili za kushindwa kwa kukwepa aibu kajiondoa amefanya muungwana wa kistaarabu.
 
Back
Top Bottom