Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,552
Vijana kuna mahali tunakoseaMaendeleo hayana chama. Hapa Kazi Tu!
Uchaguzi Mkuu 2020 wapiga kelele wote huo ndo mwisho wao, hatutaki kuwapotezea wananchi muda wa kufanya kazi.
Nitashangaa sana wananchi watakaowachagua wapinzani ( Wabunge , Madiwani ) kwenye uchaguzi mkuu 2020.
Sioni ambacho wapinzani wamekifanya kwenye majimbo yao. Labda unieleze!
Kwanza hawakai majimboni.Kila siku wapo Dar.
Mbowe yeye ni Dar tu, Hai sijui kamwachia nani.
2020 twende na CCM, twende na Magufuli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie mama yako atafte kaz ya kufanya sio hao uliowataja.Maendeleo hayana chama. Hapa Kazi Tu!
Uchaguzi Mkuu 2020 wapiga kelele wote huo ndo mwisho wao, hatutaki kuwapotezea wananchi muda wa kufanya kazi.
Nitashangaa sana wananchi watakaowachagua wapinzani ( Wabunge , Madiwani ) kwenye uchaguzi mkuu 2020.
Sioni ambacho wapinzani wamekifanya kwenye majimbo yao. Labda unieleze!
Kwanza hawakai majimboni.Kila siku wapo Dar.
Mbowe yeye ni Dar tu, Hai sijui kamwachia nani.
2020 twende na CCM, twende na Magufuli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani issue sio maendeleo kuzidi majimbo mengine,issue ni wametekeleza walichoahidi kwa wananchi wao? Maana kila jimbo lina matatizo tofauti na jingine mkuu.Panapo uwanja sawa wa mapambano, hizo kwako ni ndoto za alinacha. Halafu ndugu, nikuulize kama hoja ni kubaki jimboni all the time, niambie ni mbunge gani ambaye amebaki jimboni kwake na jimbo lake lina maendeleo kushinda mengine?
Maendeleo hayana chama. Hapa Kazi Tu!
Uchaguzi Mkuu 2020 wapiga kelele wote huo ndo mwisho wao, hatutaki kuwapotezea wananchi muda wa kufanya kazi.
Nitashangaa sana wananchi watakaowachagua wapinzani ( Wabunge , Madiwani ) kwenye uchaguzi mkuu 2020.
Sioni ambacho wapinzani wamekifanya kwenye majimbo yao. Labda unieleze!
Kwanza hawakai majimboni.Kila siku wapo Dar.
Mbowe yeye ni Dar tu, Hai sijui kamwachia nani.
2020 twende na CCM, twende na Magufuli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda useme polccm wakishindwa kupora kura. Kumsaidia mwixi wa phd. Tetesi mwizi wa phd anataka amkabithi yule Mr richmond aka malaya. Phd anaona aibu imetosha.Maendeleo hayana chama. Hapa Kazi Tu!
Uchaguzi Mkuu 2020 wapiga kelele wote huo ndo mwisho wao, hatutaki kuwapotezea wananchi muda wa kufanya kazi.
Nitashangaa sana wananchi watakaowachagua wapinzani ( Wabunge , Madiwani ) kwenye uchaguzi mkuu 2020.
Sioni ambacho wapinzani wamekifanya kwenye majimbo yao. Labda unieleze!
Kwanza hawakai majimboni.Kila siku wapo Dar.
Mbowe yeye ni Dar tu, Hai sijui kamwachia nani.
2020 twende na CCM, twende na Magufuli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Njozi za mchana kabisa hizi.Sijui umekula maharage na ugali.Wengi watapita na nnahisi upinzani utaongeza idadi bungeni na hatimae kuwa na wabunge zaidi kuliko chama tawala na pengine kuwa na Rais kutokea upinzani.
Wao wataamini hili?
Maendeleo hayana chama. Hapa Kazi Tu!
Uchaguzi Mkuu 2020 wapiga kelele wote huo ndo mwisho wao, hatutaki kuwapotezea wananchi muda wa kufanya kazi.
Nitashangaa sana wananchi watakaowachagua wapinzani ( Wabunge , Madiwani ) kwenye uchaguzi mkuu 2020.
Sioni ambacho wapinzani wamekifanya kwenye majimbo yao. Labda unieleze!
Kwanza hawakai majimboni.Kila siku wapo Dar.
Mbowe yeye ni Dar tu, Hai sijui kamwachia nani.
2020 twende na CCM, twende na Magufuli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hakika kungekuwa na time huru, na wasimamizi wa uchaguzi sio wakurugenzi ambao tuna uhakika ni wana c.c.m, wapinzani viti vingeongezeka bungeni....watapita na nnahisi upinzani utaongeza idadi bungeni na hatimae kuwa na wabunge zaidi kuliko chama tawala na pengine kuwa na Rais kutokea upinzani.
Wao wataamini hili