RATIBA YA UCHAGUZI NDOGO ZA MADIWANI 19 September -2 oktoba kabla ya saa 10:00 alasiri Kuchukua fomu za uteuzi kwa wasimamizi wa uchaguzi 2 October 2012: Siku ya uteuzi  3 October 2012 27/10/2012: Kampeni za uchaguzi  28 October, 2012: Siku ya uchaguzi NB: Kata 28 madiwani wake walifariki dunia, isipokuwa kata ya Mnero Miembeni (CCM)huko Nachingwea ambaye aliamua kujivua Gamba.