Uchaguzi mdogo majimbo ya Ukonga na Monduli: CCM yashinda majimbo yote!

Kila la kheri comrade Waitara
20180916_120416.jpg
 
Wanaonekana wamekwenda kwa lengo maalumu la kuwachokoza polisi ili wakamatwe waililie amerika baada ya kugundua wameshindwa asubuhi ukonga na monduli!
Tunakoelekea democracy tutaiagiza kutoka Marekani na Ulaya Kwa taaabu saana. Hii ni baada ya silaha zetu zitakapomudu kuwadhibiti wote wanaopenda utofauti. Ee mola tujalie tuendeleee kuwa wamoja, ee mola tuepushe na yale ya Libya, Iraq, Afghanistan, Zimbabwe, south Sudan, Syria na akina Maduro.
 
Siasa za Awamu ya 5 yataka moyo,kwasie wenye mioyo mepesi unaweza ukatoa "BERETTA" ukamfumua mtu ubongo,siasa za awamu hii nakaa nazo pembeni kabisa.
 
Madam tumekubaliana kuwa nchi hii haiendeshwi kisultan iko siku wengi watafurahi na wachache kutoyaamini macho na masiko Yao.
 
Sitegemei lawama maana uchaguzi wa Tanzania unajulikana.Kwahyo mshindi hatuna budi kumkubali ndugu zangu
 
Huko hakuna uchaguzi Bali ni upitishwaji wa walioteuliwa na chama tawala. Kila mbinu na mamlaka lazima vitumike kukamilisha adhima hiyo.
KWA HERI DEMOKRASIA HAPA TANZANIA
 
Back
Top Bottom