kigogo warioba
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 6,048
- 9,393
mkuu swali gani tena hili? Au unatania watu hapa!!?Democracy ndio nini?
mkuu swali gani tena hili? Au unatania watu hapa!!?Democracy ndio nini?
Wanajua wewe mbishi, utazengua!Mbona mm naishi ukonga na kwngu hawajafika?
Tutaambiwa CCM ilishinda kwa 100%We bwana we, akija balozi sijui wa ccm au ujinga gani we mpe tuu kipigo kama kila cha Mwakinyo kwa muingereza akiwa na uchungu wa kunyimwa visa huku ukimwongeza na vifuti tuu
Wanachukuwa za watu zao?Wasubutu kuja kwangu wakione chamtema kuni
mkuu swali gani tena hili? Au unatania watu hapa!!?
Tunakoelekea democracy tutaiagiza kutoka Marekani na Ulaya Kwa taaabu saana. Hii ni baada ya silaha zetu zitakapomudu kuwadhibiti wote wanaopenda utofauti. Ee mola tujalie tuendeleee kuwa wamoja, ee mola tuepushe na yale ya Libya, Iraq, Afghanistan, Zimbabwe, south Sudan, Syria na akina Maduro.Wanaonekana wamekwenda kwa lengo maalumu la kuwachokoza polisi ili wakamatwe waililie amerika baada ya kugundua wameshindwa asubuhi ukonga na monduli!
uhuru wa kuchagua, ina maana toka oct 2016 ujiunge hapa hujawahi kukutana na thread zinazoelezea demokrasia? Unatafutia watu ban bure!Natania wakati nimeuliza ili nieleweshwe.
Watu wanasisimka na kuamka kwenye mapenzi wewe mwenzetu unasisimka kwenye chaguzi na muamko wa siasa.We vipi?Chaguzi hazina msisimuko tena, nchi haina tena muamko wa kisiasa...
🖕🏾Natoa hongera za awali kabisa kwa CCM kwani naamini wanaenda kuchukua majimbo yote mawili kwa kutumia mbinu zilizowafanya kuwa chama kikongwe Afrika na Duniani.
Umeona ehh!Mpaka 2020 hili genge litakua limesambaratika kama mafi ya ndege toka angani. Chadramaa ni wakala wa shetani hapa Tanzania.