GE2010 Uchaguzi mdogo Igunga (UPDATES): Upigaji Kura

GE2010 Uchaguzi mdogo Igunga (UPDATES): Upigaji Kura

Status
Not open for further replies.
tbc wapo live igunga kuna vijana wanalalamika kidogo wamezuiwa kupiga kura
 
Mfumo wowote ambao hauna mapungufu kama huu. wewe unashaurije?

hakuna mfumo ambao una work 100% with no error.
Ninachoshauri, majina wawe wanato 2week kabla ya kupiga kura.
 
Vijana wa ccm baada ya kupewa tshirt, ubwabwa na gongo.
kazi tunayo Igunga.
320581_163430573738117_158108290937012_315590_985909421_n.jpg
Kaaazi kweli kweli...
 
Vijana wa ccm baada ya kupewa tshirt, ubwabwa na gongo.
kazi tunayo Igunga.
[/IMG]
Waoo! Nimeipenda hiyo Pic.
Hapo tunazidi kuona products za CCM zinavyotumiwa na mtu wa kila aina.
CDM wana product yoyote? Ruzuku yote inaishia mfukoni kwa Mbowe na Slaa!
Hata kuwanunulia mama zetu vilemba hawawezi
 
Hawa mlimani tv vpi,mbona nacheki hapa tbc naona vjana kbao wamejtokeza,
 
hakuna mfumo ambao una work 100% with no error.
Ninachoshauri, majina wawe wanato 2week kabla ya kupiga kura.

Alafu kuna makosa mengine ni ya waandishi sasa kwanini wampe adhabu mwananchi ambaye sio kosa lake ishu ya no ya id kutofautiana na ile kwenye daftari la NEC ni kosa la waandishi wa daftari, kwanini wamnyime mtu kupiga kura? We unasemaje hapo
 
Naangalia Channel 10 naona wapiga kura ni wa kuhesabu au wameogopa gari la kumwaga maji ya upupu ,du nilipoona hilo gari nilifikiri ni Ukanda wa Gaza na si Igunga au ndio linatumika kuwatisha wapiga kura,naona hizi mbinu hazina mshiko katika siasa za siku hizi
Chanel 10 ya wapi unayo angalia wewe? Hivi hivyo tamthiria ya kikanada ndio uchaguzi igunga?
 
Waoo! Nimeipenda hiyo Pic.
Hapo tunazidi kuona products za CCM zinavyotumiwa na mtu wa kila aina.
CDM wana product yoyote? Ruzuku yote inaishia mfukoni kwa Mbowe na Slaa!
Hata kuwanunulia mama zetu vilemba hawawezi

Halafu eti ndiyo tunaambiwa hawa ndiyo vijana watakaoivusha Tanzania kuondokana na lindi la umasikini kama tulivyoona huko Igunga!!!!!!!!!! Bwahaha ahaha ahahaha ahahah!!!!!!!!!!
 
Tupo wazalendo. Si vibaraka wa Chama cha Magamba/Mafisadi.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom