GE2010 Uchaguzi mdogo Igunga (UPDATES): Upigaji Kura

GE2010 Uchaguzi mdogo Igunga (UPDATES): Upigaji Kura

Status
Not open for further replies.
Sasa hivi ndio ninaenda kupiga kura baada ya kunywa chai.Nyie mliokuwa mnapiga kelele hapa njoon mpige kura sasa.NAKUUMIA SIRI KIDOGO NAKWENDA KUMPIGIA KAFUMU .WAKINA MAMA WANAFUNIKA HAPA IGUNGA MJINI KWA KUJITOKEZA KWA WINGI.CDM PRESHA JUU,WAMEGUNDUA VIJANA WALIKUA HAWAKUJIANDISHA.NIMEFIKA KITUONI NGOJA NIKAWAMALIZE CDM NINAHASIRA NA NYINYI...BADAE KIDOGO.

Wewe Igunga utaiona labda kuanzia tarehe 10 October, haha ahahaha ahaha ahahaa ahahaha. Kweli Rostam Kidume bwahaa ahaha ahaha ahaha ahahah!!!!!
 
yaani pikipiki ama bodaboda hakuna hadi wapeleke kwa baiskeli hayo masanduku? yaani miaka hamsini ya uhuru bado tupo palepale
 
Mkuu huo ni ujinga sana kwani ni kosa la nani sasa mpaka umnyime mtu kupiga kura, yani huo mfumo wa daftari unamapungufu sana lakini ujanja ujanja unamwisho

unataka watumie mfumo gani?
 
Mkuu kuna watu wamezuiliwa kisa wamepoteza id zao lakini majina yao yapo ITV wanaripoti

mkurugenzi ameagiza wajaze form namba 17,then wapige kura.but magamba wanachukulia udhaifuu huu kuzuia watu.
 
Tanzania inahitaji kusoma pepo za mabadiliko ya kidemokrasia ndani ya jamii.
 
Mnashindaje mkuu wakati wewe unaiogopa Igunga?????????????? hahah ahaha ahahaha a ahahah!!!!!!!!!!!
CCM tayari imeshashinda!
Dr Vs mwalimu wa UPE! Unategemea nini hapo?
 
There are currently 607 users browsing this thread. (184 members and 423 guests)
 
na huyu ni mtoto wao.
320581_163430573738117_158108290937012_315590_985909421_n.jpg
 
naomba igunga mvua isinyeshe leo,na Ngeleja hasikate umeme

vimeshatokea vyote.kunasehemu mvua kubwa sana imenyesha na baadhi ya wapiga kura wanashindwa kwenda.ngeleja kaondoka muda mrefu tu so hakuna umeme.
 
lusinde yameanza kugonga chupi.alisema atakunywa sumu chadema ikishinda.sasa hivi kiroho kinadunda kama sekunde.mia
 
Naangalia Channel 10 naona wapiga kura ni wa kuhesabu au wameogopa gari la kumwaga maji ya upupu ,du nilipoona hilo gari nilifikiri ni Ukanda wa Gaza na si Igunga au ndio linatumika kuwatisha wapiga kura,naona hizi mbinu hazina mshiko katika siasa za siku hizi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom