Hauwezi ku share IP address wewe,hiyo kitu ni unique kwa kila machine ambayo iko connected kwa interenet,on top of that,hiyo application ya RFA haiwezi kuwa inteligent (ignorant of developer) enough ku filter user based on IP address ya machine zao,fikiri machine moja wakiwa watu 6 wanataka ku vote itakuweje,lazima kila mtu ata vote,may be kama unatakiwa uji rejiste before hujavote (sijajaribu coz kwa namna yeyote ile nitampa Gwala Dr Slaa)Mkuu, Inawezekana unashare IP Address hivyo inawezekana kuna mtu amekuwahi kwa kuvote.
nayo itafungwa hii!
JK anakazi kubwaa sana ya kuchakachua matokeo.
......wana kazi kwelikweli mwaka huu wapinzani wamevamia hadi channel za makada zao!Saa 1 na dakika 5 jioni:
Slaa: 89%
Kikwete 6%
(Hapa tena watasema RFA ni ya Chadema kama wanavyolalama kuhusu JF).
Agizo:
Homeland Security, Majeshi ya Ulinzi na Usalama. Tunaheshimu na kuthamini kazi yenu.
Kaeni pembeni muwaache Watanzania waamue. Heshima yenu itatukuka hata katika Utukufu wa Mungu. Msidharau kura ya maoni. Jiandaeni kwa haya yanayoelekea kutokea ... Ushindi wa Dr. Slaa na mabadiliko ya utawala kwa Tanzania.
Gazeti la majira nao wameendesha poll online ya namna hii na Dr. Slaa anaongozo hadi sasa 75%.
Bonyeza link hapa chini
Nani anafaa kuwa Rais wa Tanzania - 2010 -2015
Huree!!hata mimi nimepiga yangu lakini mbona it takes forever kufanya loading. Anyways mwaka huu mpaka kieleweke. Nov.01 tutaanza kuimba kale ka wimbo ketu 'Tanzania Tanzania jina lako ni tamu sana nilalapo nakuota wewe niamkapo ni heri' halafu wenzetu CCM wataimba kinyume cha hiyo
Na kesho itaondolewa.poll imeishafungwa
kwi kwi kwi kwi hivi wanaiweka wapi kwa ajili ya public view?na kesho itaondolewa.
Kila mtu, hata wewe ungeweza kutoa maoni yako hapo. Kusema kuwa watu fulani wamevamia sio sahihi. Natumaini nimetumia lugha ambayo umeweza kuielewa.chadema kwa kuvamia mitandao bana. kila kona wanatafuta ili wajitilie kura.
kwa wananchi sifuri
- Dr. Slaa (90%, 109 Votes)
- Jakaya Kkiwete (6%, 7 Votes)
- Prof. Lipumba (3%, 4 Votes)
- Hashimu Lungwe (1%, 1 Votes)
- Mutamwega (0%, 0 Votes)
Total Voters: 121