Bunge lapuuza maoni ya wadau, lajipanga kupitisha miswada mibovu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,753
218,366
Hii ndio Taarifa mpya kutoka Dodoma

==

Ameandika Mnyika katika ukurasa wake wa X, "Maoni yetu na ya wadau yamepuuzwa. Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa kwenye tovuti ya Bunge, miswada mibovu ya uchaguzi na vyama itajadiliwa kuanzia leo mpaka tarehe 2 Februari 2024. Tafsiri rahisi ni kuwa inakwenda kupitishwa bila kuanza na mabadiliko au marekebisho ya Katiba."

Screenshot_2024-01-30-10-29-48-1.png
 
Ninyi si mliandamana kwenda UN(umoja wa Mataifa)? Basi kaeni msubiri majibu kutoka UN huko mlikopeleka maoni yenu. Si mlikuwa mnajisifu kufika UN na kufikisha makabrasha yenu? Sasa kwanini mnaanza kulia lia humu tena wakati makabrasha yenu yapo yanafanyiwa kazi umoja wa Mataifa? Wewe si ulisema mtapokelewa na katibu mkuu wa umoja wa Mataifa? Msubirieni katibu mkuu wa umoja wa Mataifa. Maana nyie ni wakurupukaji sana na huwa hamuelewi mfanye nini kwa wakati gani na kwa njia zipi.
 
Ninyi si mliandamana kwenda UN? Basi kaeni msubiri majibu kutoka UN huko mlikopeleka maoni yenu. Si mlikuwa mnajisifu kufika UN na kufikisha makabrasha yenu? Sasa kwanini mnaanza kulia lia humu tena wakati makabrasha yenu yapo yanafanyiwa kazi umoja wa Mataifa? Wewe si ulisema mtapokelewa na katibu mkuu wa umoja wa Mataifa?
Tunakuhurumieni nyinyi chawa
 
Hii ndio Taarifa mpya kutoka Dodoma

==

Ameandika Mnyika katika ukurasa wake wa X, "Maoni yetu na ya wadau yamepuuzwa. Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa kwenye tovuti ya Bunge, miswada mibovu ya uchaguzi na vyama itajadiliwa kuanzia leo mpaka tarehe 2 Februari 2024. Tafsiri rahisi ni kuwa inakwenda kupitishwa bila kuanza na mabadiliko au marekebisho ya Katiba."

View attachment 2888128
Ndiyo maana yakaitwa maoni. Maoni ni fikra tu za mtu au watu kuhusu jambo fulani.

CHADEMA ni nani ambao lazima maoni yao yafuatwe?
 
Unapoangalia jambo hili litazame kwa masilahi ya Taifa , usiiangalie tu Chadema
 
Ninyi si mliandamana kwenda UN(umoja wa Mataifa)? Basi kaeni msubiri majibu kutoka UN huko mlikopeleka maoni yenu. Si mlikuwa mnajisifu kufika UN na kufikisha makabrasha yenu? Sasa kwanini mnaanza kulia lia humu tena wakati makabrasha yenu yapo yanafanyiwa kazi umoja wa Mataifa? Wewe si ulisema mtapokelewa na katibu mkuu wa umoja wa Mataifa? Msubirieni katibu mkuu wa umoja wa Mataifa. Maana nyie ni wakurupukaji sana na huwa hamuelewi mfanye nini kwa wakati gani na kwa njia zipi.
Wewe uchaguzi usio huru na wa haki haukuhusu!!
Wewe haki za kisiasa na kidemokrasia hazikuhusu!
Wewe huna haja ya kuwa na viongozi waliochaguliwa na wananchi
Wewe huna haja ya kuongozwa na katiba bora!

Wewe utafuata muongozo wowote hata wa watekaji Bashite and co!
Wewe ni mmojawapo wa wafaidika wa mfumo kandamizi au wewe ni KIAZI usiyeiva
Lumpen prolitariat!
Hufai popote ila kulamba matako ya watawala ukianzia na saa100. Wewe ni TAKATAKA
 
Back
Top Bottom