Izack Mwanahapa
JF-Expert Member
- Apr 21, 2011
- 497
- 236
Majambazi wameshinda
Hongereni sana viongozi na wanachama wote mliojishughulisha kwenye uchaguzi mkuu katika jimbo la igunga. CDM imepata kura nyingi (Iwe zimechakachuliwa au la) , Ccm imepata ushindi mwembamba japokuwa wamemiliki jimbo hilo kwa miaka 18. Msife moyo tuendelee kupigana
kwani utawala wa CCM unaelekea ukingoni.
Watu wengine bana watu wanalia huko na wengine wamezimia halafu unawapa hongera za nn sasa, au ndio kujiliwaza kwenyewe huko
peoples power!!! Kwa kweli viongozi, wanachama, mashabiki na wapenzi wa chadema kazi waliyoifanya ni kubwa sana!! Kwa mimi naamin bila shaka yoyote kura walizopata chadema ni zaidi ya ushindi wa ccm!!!!!!! Nasema hivyo kwa sababu zifuatazo:-
1. Chadema haikuwa na mtaji mkubwa wa kisiasa tabora hasa igunga
2. Polisi, usalama wa taifa na bakwata havikuwa upande wake.
3. Chadema imepambana na ccm pamoja na serikali
4. Ujinga na umaskini wa wanaigunga hasa maeneo ya vijijini.
5. Fedha za walipa kodi wa tanzania kutumikia ccm.
Tusivunjike moyo, aluta continua!! The freedom is coming tommorow!!!

power nimeipenda iyo kakatunasonga mbele,mapambano yanaendelea,hakuna kulala hadi kieleweke na kikielewaka hatulali.pipoooooooooz
Watu wengine bana watu wanalia huko na wengine wamezimia halafu unawapa hongera za nn sasa, au ndio kujiliwaza kwenyewe huko
we ni hewa kweli chadema wamepiga kampeni si zaid ya miez 2 na wamepishana kdg sn na ccm ambao hy ni ngome yao tk tupate uhuru, KWAKWELI CHADEMA WANASTAIL PONGEZI SNWatu wengine bana watu wanalia huko na wengine wamezimia halafu unawapa hongera za nn sasa, au ndio kujiliwaza kwenyewe huko
Kweli Mkuu lakini cha kufanya ni kuweka mikakati ya kuwashukuru wanaIgunga kwa kula walizotoa kwa CHADEMA na kujipanga kushirikiana nao maana hao si watu wachache, kikubwa ni kuwa karibu nao kwa kipindi chote mpka 2015, Hongereni CHADEMA Kazi mmeifanya ni nzuri!!peoples power!!! Kwa kweli viongozi, wanachama, mashabiki na wapenzi wa chadema kazi waliyoifanya ni kubwa sana!! Kwa mimi naamin bila shaka yoyote kura walizopata chadema ni zaidi ya ushindi wa ccm!!!!!!! Nasema hivyo kwa sababu zifuatazo:-