Uchaguzi France

Uchaguzi France

Hivi hawa wenzetu huko hawana ile namna ya kuiba kura? Kama ingelikuwa ni huku kwetu Uafrikani ushindi mwembamba huo ungeminywa tu na Tume za Uchaguzi!
 
Sarkozy amemaliza hotuba yake ya kukubali kushindwa.
"Wanachama wako wanakupenda lakini Wafaransa wanampenda Hollande zaidi."
 
Jamaa mnafiki huyu ngoja apumnzikke kwanza
 
Sarkozy anajiandaa na Hotuba ya kumpongeza mshindi, ila mpaka sasa ashaondoka Ikulu ya Ufaransa "On est dans le maid, ils sont quancé"

ndio ninachopenda siasa za wenzetu, ingekuwa africa hapo mpinza angeshakula mabomu na kuwekwa rumande. Muda mwingine naona kama ni sahihi kwa hawa jamaa kutupigia kelele za demokrasia
 
Mkuu Mzinga, hapa ni aje nimepata kizunguzungu
Unemployment rent and rase by 10%, Naomba ufafanuzi may be una point... Back to Sackozy, am so happy for the news he lead the way for us in 2015
 
Namsubiri na Obama apate kipigo kile kile

Marekani sio Ufaransa. Hakuna mtu alidhani Bush angeshinda re-election 2004. Kuna tofauti nyingi sana kati Sarkozy na Obama.

  1. Sarkozy alichaguliwa mwaka 2007 kabla ya mporomoko wa uchumi v Obama amechaguliwa 2008 after crisis.
  2. Wamarekani zaidi ya laki saba walikuwa wanapoteza kazi kwa mwezi wakati Obama anaingia leo hii average ya wamarekani laki mbili wanaajiriwa kila mwezi
  3. Obama ameingia wakati Osama akiwa hai na kuendelea kutishia maisha ya wamarekani, leo hii Osama is a history
  4. Marekani inatawaliwa na divided government, Republican house v Dems presidency and senate.
  5. Obama amepitisha sheria ya afya ambayo ilikuwa ni drowning issue ila wamefanikiwa kumpata mpinzani ambaye ni masterminder wa sheria ya afya katika state level. Romney hawezi kuongelea Helathcare law ambayo ni kivuli cha ile aliyoipitisha.
  6. ....
  7. ....

MENGINE BAKIZA KUYATOA KWENYE THREAD YETU NA KINA Nyaningabu, susuvili etc muda muafaka ukifika.

Usichanganye marekani na ufaransa kabisa utakuwa unaota ndoto ya mchana. Obama kama angekuwa kwenye ballot 2010 angeshindwa vibaya sana. Ila 2012 ni stori nyingine kabisa. Though elections can go eitherway. Kuanzia August utaona data za kazi zinavyokuwa 400,000 jobs per month for three months. Na hapo utawasikia Republicans wataanza kulia kuwa data za uwongo.
 
[h=2]Hollande wins French presidential election: estimates[/h]
TAGS: Election, Politics, Europe, Mass media
Early numbers show Socialist candidate Francois Hollande secured between 54 and 53 percent of the votes, defeating incumbent President Nicolas Sarcozy.
Sarcozy, according to preliminary exit poll figures, has gotten between 47 and 48 *percent. Numbers also suggest this presidential election was one of the most popular among voters, with turnout reaching a record high of over 80 percent.

Most of the polls have closed, but voting in the major cities is still going on, with the first official results expected at 2000 (1800 GMT)

Rumors of the result spread more than an hour before French media is legally permitted to publish results.

SOURCE: Hollande wins French presidential election - estimates — RT

i think we as a youth of tz should learn from this election,
80% of the voters, 4 sure it real amaze mi,
 
i think we as a youth of tz should learn from this election,
80% of the voters, 4 sure it real amaze mi,

Na kwa taarifa tu Uchaguzi wa 2015 utavurugwa na kutangazwa kwa piecemeal. Watavuruga baadhi ya majimbo na Tume kutangaza kurudiwa baada ya wiki mbili.

Katiba Mpya iweke wazi kuwa UCHAGUZI WA RAIS UTAKUWA UMEFUTWA ENDAPO JIMBO LOLOTE LILE LITASHINDWA KUPIGA KURA SIKU YA UCHAGUZI NA UCHAGUZI MWINGINE UTAITISHWA MAJIMBO YOTE YA TANZANIA BARA NA VISIWANI.

Hii itakuwa njia pekee ya kuzuia uhuni uliofanyika mwaka 1995. Na pia kufanya maandalizi ya uchaguzi kwa uhakika. Na yeyote atakeyesababisha kurugika kwa uchaguzi minimun ni 20 years jail term without parole.
 
Marekani sio Ufaransa. Hakuna mtu alidhani Bush angeshinda re-election 2004. Kuna tofauti nyingi sana kati Sarkozy na Obama.

  1. Sarkozy alichaguliwa mwaka 2007 kabla ya mporomoko wa uchumi v Obama amechaguliwa 2008 after crisis.
  2. Wamarekani zaidi ya laki saba walikuwa wanapoteza kazi kwa mwezi wakati Obama anaingia leo hii average ya wamarekani laki mbili wanaajiriwa kila mwezi
  3. Obama ameingia wakati Osama akiwa hai na kuendelea kutishia maisha ya wamarekani, leo hii Osama is a history
  4. Marekani inatawaliwa na divided government, Republican house v Dems presidency and senate.
  5. Obama amepitisha sheria ya afya ambayo ilikuwa ni drowning issue ila wamefanikiwa kumpata mpinzani ambaye ni masterminder wa sheria ya afya katika state level. Romney hawezi kuongelea Helathcare law ambayo ni kivuli cha ile aliyoipitisha.
  6. ....
  7. ....

MENGINE BAKIZA KUYATOA KWENYE THREAD YETU NA KINA Nyaningabu, susuvili etc muda muafaka ukifika.

Usichanganye marekani na ufaransa kabisa utakuwa unaota ndoto ya mchana. Obama kama angekuwa kwenye ballot 2010 angeshindwa vibaya sana. Ila 2012 ni stori nyingine kabisa. Though elections can go eitherway. Kuanzia August utaona data za kazi zinavyokuwa 400,000 jobs per month for three months. Na hapo utawasikia Republicans wataanza kulia kuwa data za uwongo.

Mie sijasema ufaransa ndo marekani, hata hivyo ufaransa tangu kuwa public huyu ndo rais wa pili kuanguka na wao hawakutegemea hayo kutokea maana walisema historia ya ufaransa ni ngumu kwa rais kutolewa na tena mshoshalisti.

Na hata hivyo safari inaanza na hatua moja, hii hatua inaweza kuanza na Obama nitafurahi sana. Kinachoanisha hapa kati ya sarkozy na Obama ni Sarkozy baba yake ni mtu wa Hungary harafu mama yake ni GREEK-MYAHUDI, wakati Obama baba yake ni mkenya mama yake ni m-Irish sasa unganisha dot ktk ulimwengu huu wa ubaguzi.
 
Wewe ndiyo unaleta ubaguzi kwanza mwanzo wakati wanachaguliwa walikuwa wamezaliwa na nani?. Hakuna kitu kama hii mkuu, You sound like Republicans who are betting for racial votes ila ninakuambia kuwa kama na US turn out ikiwa 80% Obama will win by landslide
 
Kuna asilimia kubwa iliyokuwa inamuunga mkono Sarkozy, ameisambaritisha mwenyewe, foreigners wengi walivyo jaa ufaransa jamaa kawasambaratisha na anatoa matusi yake.

Vivyo hivyo kwa Obama ma foreigner wengi kisha wasambaratisha waliokuwa na imani naye, wanao muunga mkono wengi Obama ni waafrika walioko Afrika ambao hawatapiga kura. Tena ilikuwa ngumu sana kumtoa mbepari sarkozy na kuweka mshoshalisti kuliko upande wa pili.
 
"I take the responsibility for this loss"
Hizo ni remarks za Sarkozy kuhusu matokeo ya uchaguzi yaliyompa Hollande ushindi wa karibia 52% katika uchaguzi mkuu wa France. Sijui viongozi wa kiafrica wanajifunza nini wanapoona wenzao wakikubali kushindwa na kuachia ngazi bila kukuru kakara kuheshimu maamuzi na chaguo la wapiga kura...hii haionyeshi ukomavu wa Demokrasia tu, pia inaonyesha ni kwa kiasi gani wenzetu wamestaarabika.
 
Mie nafikiri ni tamaduni zetu,
Chukulia tu hata profesa wa ulaya mnapanda basi naye wasipokwambia huyu ni prof hutatambua. hii kitu ya kungangania ina misingi yake inabidi kuingoa kwanza sio swala la ukomavu wa demokrasia tu.
 
Namsubiri na Obama apate kipigo kile kile

(a) Obama alikuwa ni mwepesi sana kusindwa ila Republican hawakuleta candidate wa kumshinda Obama; huyu Romney siyo candidate wa kumshinda Obama ingawa atakuwa na pesa nyingi sana mara kumi ya Obama. Kwa hiyo Obama yuko likely kushinda kirahisi sana iwapo hali ya uchumi itabaki kama ilivyo sasa. Obama ataweza kushindwa kutokana na mvurugano wa uchumi utakaotokea huko Ulaya baada ya uchaguzi huu na hivyo labda watu kupiga kura za hasira dhidi yake ila siyo kwa sababu ya kumpenda Romney.

(b) Iwapo Sarkozy kashindwa kwa sababu ya sera zake, basi hali hiyo itakuwa ni nzuri sana kwa Obama kwa vile sera za Sarkozy zilikuwa sana kabisa na zile zinazotumiwa na Republicans, na huyu mshindi amekuwa anaahadi sera zionazofanana za zile za Obama.
 
(a) Obama alikuwa ni mwepesi sana kusindwa ila Republican hawakuleta candidate wa kumshinda Obama; huyu Romney siyo candidate wa kumshinda Obama ingawa atakuwa na pesa nyingi sana mara kumi ya Obama. Kwa hiyo Obama yuko likely kushinda kirahisi sana iwapo hali ya uchumi itabaki kama ilivyo sasa. Obama ataweza kushundwa kutokana na mvurugano wa uchumi utakaotokea huko Ulaya baada ya uchaguzi huu.

(b) Iwapo Sarkozy kashindwa kwa sababu ya sera zake, basi hali hiyo itakuwa ni nzuri sana kwa Obama kwa vile sera za Sarkozy zilikuwa sana kabisa na zile zinazotumiwa na Republicans, na huyu mshindi amekuwa anaahadi sera zionazofanana za zile za Obama.

Mkuu tena kipyenga kimelia jana. Hebu angalia hii video uamue. Romney is a loser at the beginning

[video]http://new.livestream.com/barackobama/readytogo/videos/687796[/video]
 
Mkuu Kichuguu unafikiri uhusiano wa Hollande na mama Merkel wa Germany na Cameroon wa Britain utakuwaje.
 
Back
Top Bottom