Uchaguzi France

Uchaguzi France

Francois Hollande has won by about 52% to 48% for Nicolas Sarkozy, polling groups estimate.
 
M4C yao!!! Watu wamejichokea wanatoa nafasi kwa wengine pia!!!Safi sana!!!
 
51.9% for hollande

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
Bwana Francois Hollande ameshinda kwa kura asilimia 51.9% na Nicolas Sarkozy amepata kura asilimia 48.1%.

Raisi anaeondoka madarakani Nicolas Sarkozy amesema hataongoza upinzani bungeni.
 
Sarkozy anajiandaa na Hotuba ya kumpongeza mshindi, ila mpaka sasa ashaondoka Ikulu ya Ufaransa "On est dans le maid, ils sont quancé"
 
Laana ya ghadaf hiyo! haitamwacha hata kdgo-ghadaf amempa fedha za kuingia ikulu then amemsaliti na kumuua?
 
na kule uk kulikua na local council elections conservatives wameanguka vibaya... sasa hivi europe hali ya vyama vinavyotawala ni mbaya....hali ya uchumi ni ngumu wananchi wamechoka...kuanguka kwa sarkozy kuta affect sana EU maana france na germany ndio walikua kwenye tight deals za kuokoa uchumi za nchi ndogo within eu kama greece, portugal and so forth....

it was always going to be about government spending vs spending cuts...
 
Yeah Hollande is a new President will take over in about one week
 
Sipati picha, Obama akipigwa chini nini kitatokea kwa NTC wa libya.
 
Bwana Sarkozy alikumbatia sana mafisadi na mpaka wakawa wanakaribia kuifilisi nchi kwa kuchukua pesa kwenye mabenki kwa kujifanya wanawekeza kwenye biashara uchwara.

Lakini kilichomwangusha ni kauli yake kwa wafaransa walio wengi ambao ni wafanyakazi kwamba wasoshalist hawajui kuwajibika kwa kujituma kufanya kazi.

Kauli hiyo imemcost sana na aende zake kwani miaka kumi inamtosha.
 
naona sky news wanaonyesha live
hiyo ndo democrasia ilivyo
 
Sipati picha, Obama akipigwa chini nini kitatokea kwa NTC wa libya.

mambo ya nje kwa Marekani hayana chama, wote sera yao ni moja, with only slight differences in implementation.
 
Back
Top Bottom