Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,252
tatizo la kwetu ni kwamba tuna wanasiasa waliofanya siasa ni ajira. Bila siasa hawawezi kuishi. Bila siasa hawawezi kushinda zabuni
Tunampongeza Rais mpya wa ufaransa! Lakini CCM ni chama imara na chenye wanachama wengi sana ambao wako tayari kujitoa kwa ari zaidi,nguvu zaidi na kasi zaidi kukiimarisha chama ili kiweze kuleta maendeleo kwa Taifa letu hiyo ya ufaransa ni changamoto tu inayokifanya CCM kijipange vizuri ili kizidi kuwatumikia watanzania.Nyie mnaofikiria kushinda chaguzi kwa kuonewa huruma mtasubili sana kwani kwa Tanzania hakuna chama bora na chenye mwelekeo sahihi kama CCM.
CCM OYEEEE...................................................
Sakozy aliongoza mashambuli ya kumng'oa na kumuua gadaffi, wakati mwaka 2008 alipewa fedha ya kampeni na gadaffi USD 66,000,000.
Sarkozy asubiri kesi na kufika mahakamani kujibu madai atakayoundiwa(bambikiwa). Ni kawaida kwa viongozi wa Ufaransa baada ya kuanguka au kumaliza kipindi cha uongozi kufunguliwa mashtaka.
Shtaka moja litakalomkabili ni kukubali kupokea pesa kutoka Libya kwa ajili ya uchaguzi uliomuingiza madarakani na kukalia kiti cha urais.