Uchaguzi France

TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
23,914
23,075
Kwa sasa kinachompata Sarkozy katika uchaguzi juu ya namna alivyoingia ikulu ya UFARASA kwa mara ya kwanza kunadhihirisha udhalimu wa Rais huyu. Kwani ameweza "kumchinjia baharini" mtu aliyechangia kwa kiasi kikubwa kumuingiza madarakani. Kuwa makini sana na watu wa namna hii. Litakuwa jambo jema kama atakuwa Rais wa muhula mmoja.


Nilipo post habari hii hapa chini katika uzi wa Rise and Fall of Col. Gaddaf( post # 2358 ya tarehe 6-04-2011) wengi walidhani ni uzushi. Sasa ukweli umejulikana>>> http://www.uruknet.info/?p=m87618&fb=1





sarkozy-gaddafi_.jpg



SarKozy anadaiwa na wanamchi wa libya Pesa alizotumia kwenye Kampeni za Uchaguzi mwaka 2007.....
Hebu mwanaJF fuatilia kisa hiki hapa chini......


The reason for Sarkozy wanting the complete and total destruction of Libya lies in the threats made against him last week by the Libyan leader’s son, Saif al-Islam Gaddafi, who threatened to reveal a “grave secret” that would bring down the embattled French President.
The “grave secret” feared by Sarkozy we can further read about as reported London’s Guardian News Service, and which, in part, says:
“Muammar Gaddafi’s son has claimed that Libya helped finance Nicolas Sarkozy’s successful election campaign in 2007, and demanded that the French president return the money to “the Libyan people”.
In an interview with the Euronews TV channel, Saif al-Islam Gaddafi said Libya had details of bank transfers and was ready to make them public in a move designed to punish Sarkozy for throwing his weight behind opposition forces.”






Source>>>>> Russia Reports France Threat Against Obama Brought
 
sarkozy anaondoka wafaransa wamechoka na siasa zake...ndo raha ya nchi za ulaya...serikali isipo deliver wanatolewa...sio kama za kwetu huku kubebana na kuchakachua kura kila uchaguzi
 
sarkozy anaondoka wafaransa wamechoka na siasa zake...ndo raha ya nchi za ulaya...serikali isipo deliver wanatolewa...sio kama za kwetu huku kubebana na kuchakachua kura kila uchaguzi

Uko sahihi kwa kiasi kikubwa, ila nasika hata nchi hizi za ulaya huwa wanachakachua, wasemaji wanatolea mfano wa Bush alivyochakachua kura za jimbo la Florida kipindi kile.
 
Nicolas Sarkozy hawezi kukwepa ukweli huo kwani Libya nayo inao majasusi wa maana na ambao wengi ndio wanaounda NTC.

Sarkozy kama ilivyo kwa David Cameron wa UK ni viongozi ambao wanajaribu kulinda matajiri na kuwakumbatia kiasi cha kusahau kabisa watu wengi ambao ndio wapiga kura wengi wa nchi hizo.

Sarkozy ameshindwa kabisa kuwashawishi wapiga kura na bwana Hollande kuwepo na mdahalo mwingine kabla ya mzunguko mwingine wa upigaji kura.

Ni dhahiri kabisa kwamba France itakuwa na raisi m-socialist na atapangua sera zote za kuwakandamiza watu wa kipato cha chini.
 
Ni dhahiri kabisa kwamba France itakuwa na raisi m-socialist na atapangua sera zote za kuwakandamiza watu wa kipato cha chini.
Litakuwa jambo jema kwa Wafaransa wa kipato cha chini....Lakini ishu ya NTC security na Sarkozy inahitaji uchunguzi wa kina maana Sarkozy alishirikiana na hawa jamaa kuangusha utawala wa Kijani tupu wa Waafrika wa Libya.
 
Kazi ipo,Sarko aliwaambia wafaransa wakimchagua Hollande basi wajiandae kuwa Greece,au Espagne.
 
Mie nangoja kwa hamu, Sarkozy akibwaga nitafurahi nikiendelea kuomba pia na Obama naye abwagwe.
Sarkozy ana hali mbaya,lakini pia ni hardworker ameisaidia sana France kwenye hiki kipindi cha crisis,tatizo lake amefavor sana matajiri
 
Sarkozy ana hali mbaya,lakini pia ni hardworker ameisaidia sana France kwenye hiki kipindi cha crisis,tatizo lake amefavor sana matajiri

Nafikiri jamaa hajasaidia lolote kwa crisis, kwanza ni mbaguzi sana anawasakama waafrika kama mpira wa kona. Nasikia (sio rasmi)alimfanyia DSK ili asipate mpinzani kwa msaada wa US, in return nao wakamfanyia Gadafi kwa hisa zile zile. Ngoja ni cross fingers.
 
Nafikiri jamaa hajasaidia lolote kwa crisis, kwanza ni mbaguzi sana anawasakama waafrika kama mpira wa kona. Nasikia (sio rasmi)alimfanyia DSK ili asipate mpinzani kwa msaada wa US, in return nao wakamfanyia Gadafi kwa hisa zile zile. Ngoja ni cross fingers.
Waafrika na warabu nao wamezidi!wizi,drugs.Sarkozy ana haki ya kuwachukia.Kuhusu DSK, Sarkozy hata kama alimfanyizia ni kama alimlenga kwenye udhaifu wake.DSK ni weak sana kwa wanawake,kwanza hata huko France ana kesi ya kununua machangudoa.
 
Jamani matokeo vp uchaguzi wa rais Ufaransa? Sarkozy ameangukia pua or katete kiti chake?

Hollande wins French presidential election: estimates

TAGS: Election, Politics, Europe, Mass media
Early numbers show Socialist candidate Francois Hollande secured between 54 and 53 percent of the votes, defeating incumbent President Nicolas Sarcozy.
Sarcozy, according to preliminary exit poll figures, has gotten between 47 and 48 *percent. Numbers also suggest this presidential election was one of the most popular among voters, with turnout reaching a record high of over 80 percent.

Most of the polls have closed, but voting in the major cities is still going on, with the first official results expected at 2000 (1800 GMT)

Rumors of the result spread more than an hour before French media is legally permitted to publish results.

SOURCE: Hollande wins French presidential election - estimates — RT
 
Kazi ipo,Sarko aliwaambia wafaransa wakimchagua Hollande basi wajiandae kuwa Greece,au Espagne.
Hiyo ni tisha toto, hata hapa tumeambiwa mara ngapi "msiwachague wapinzani watavuruga amani?"
Ninaangali polls baada ya vituo kufungwa, Hollande anaongoza kwa asilimia 52.6 approximately, na Sarkozy 46.4. Tusubiri bado saa moja tu matokea kuanza kutoka.
 
Matokeo ya awali ya uchaguzi katika awamu ya pili nchini France yanaonesha kwamba bwana Farancois Hollande ambae ni msoshalist anaelekea kushinda uchaguzi wa uraisi nchini humo.

Taarifa zaidi baadae.
 
poa acha aende zake
kampiga libya mtu aliye mfadhili uchaguzi uliopita,hana maana kabisa,alidhani watu hawaoni unafiki wake
 
Wamempiga chini mpenda totoz.Unemployment rent has rase by 10% na economy kua mbaya ndo vilivyommaliza huyu
 
Sarkozy C'est Finis, François Holland est élu Président de la France, Peopleeeees Power!!!!!!!!!!!!!!!!

Sarkozy akalia Kuti Kavu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom