Uchaguzi France

Uchaguzi France

[h=1]François Hollande to be greeted by market turmoil[/h][h=2][/h]
Hollande2_2212782b.jpg
Francois Hollande waves as he arrives on stage to give his first speech as president Photo: AFP

Mabadiliko hayako nchi za kiarabu tu , hata nchi za Ulaya zinafanya mabadiliko bada ya wananchi kuchoshwa na viongozi wasio na agenda za kufufua uchumi na kukuza kipato cha raia.
 
Hatimaye wapinzani wa chama cha kisoshalist wamechukua nchi huko Ufaransa,habar zinasema bwana Hollande ameshinda kati ya asilimia 3 hadi 5,inasemekana Sarkozy ameshampgia sim Hollande na kump0ngeza kwa ushindi.
Sosi:bbc swahili-online
 
Tanzania we should learn now kuwa hii nchi ipo siku Ccm wataisikilizia bombani.
Kama hadi Ufaransa chama cha upinzani ndo kimechukua nchi basi watu wameamka siku hizi.
 
François Hollande to be greeted by market turmoil

Hollande2_2212782b.jpg
Francois Hollande waves as he arrives on stage to give his first speech as president Photo: AFP

Mabadiliko hayako nchi za kiarabu tu , hata nchi za Ulaya zinafanya mabadiliko bada ya wananchi kuchoshwa na viongozi wasio na agenda za kufufua uchumi na kukuza kipato cha raia.


Mnaona wenzetu hasa nyie magamba? kule hakuna suala la kuanza kutafuta namna za kuiba kura, kama umeshindwa una heshimu maamuzi ya wananchi. Lakini hapa kwetu magamba chaguzi zote hakuna wanacho fikiria zaidi ya kuiba kura na kutangazwa washindi kwa nguvu. Kumbukeni yaliyo tokea baadhi ya majimbo uchaguzi wa 2010 kama vile Karagwe ambapo mkuu wa wilaya, msimamizi wa uchaguzi na polisi walishirikiana kupora ushindi. Kule Shinyanga Masele alipewa ushindi baada ya JK kwenda kule usiku tena akiwa amevaa kombati za jeshi na kumshinikiza msimamizi wa uchaguzi amtangaze Masele mshindi. Naye kulinda kibarua chake ilibidi afanye hivyo. Matukio ya aina hii yalikuwa mengi mno.

Huwa nawashangaa sana magamba wanapo jitapa kuwa chaguzi fulani tutashinda; kumbe mbinu zenyewe ni kuweka kura za wizi kwenye chupa za chai na hot pot za vyakula, kupandisha masanduku ya kura fake juu ya dari la chumba cha uchaguzi na kuzishusha kipindi wasimamizi na mawakala wakienda kula! wakishindwa mbinu hizi basi wanawatumia polisi. Yaani polisi wetu sijui ni jeshi la namna gani, ukiona ndugu yako amekuwa polisi jua mmepoteza mwana familia. Wao ndio wamekuwa mstari wa mbele kupora haki za raia. Sasa cha ajabu jiulize wanapewa nini?..mishahara yenyewe bado ile ile. Kuwa polisi unahitaji akili ya masaburi.

Sasa basi kama magamba wanatarajia mbinu hizi chafu zitawapitisha 2015 wafikirie mara mbili mbili..Kuhonga wapiga kura, kuiba kura, kutumia polisi n.k hizo mbinu zime pitwa na wakati. Tafuteni mbinu mbadala ambapo sioni kama mnazo tena zaidi ya kujifia tu. Yaani kama hamuamini vile.. lakini ndiyo mna kufa hivyo! Watanzania sasa hivi wana uelewa mkubwa mno wa masuala ya kisiasa. Mfano hakuna mtu anaye chukiwa sasa hivi kama anaye honga ili ashinde. Watu wanajua kuwa huyu akishinda lazima ajilipe kwanza fedha zake. Nadhani mifano ni mingi.

Ninatoa rai kwa magamba watafute mbinu mbadala kuanzia sasa kushinda 2015, mkitegemea hizo za mwaka 47 nchi hii mtaiingiza kwenye machafuko. Watu wako tayari kuingia msituni na ushindi utaanzia huko. Kama mnatarajia polisi watawalinda basi nasi hatushindwi kubeba silaha tupambane tuone mtaishia wapi. Nakuanzia sasa tuna anza maandalizi hata ya kupata zana za KAZI kupambana na mafedhuli(magamba)
 
Halafu hili ni pigo kubwa kwa ccm kwani vyama rafiki vyoote ndio vinaanguka mfano hichi kilichoanguka ni marafiki wakubwa sanaaaaaaa wa ccm kwi ! Kwi! Kwi!!!!!
 
Mwenzako akinyolewa zako tia maji magamba jiandaeni kung'oka na nyie!
 
Huwa nasoma hapa Wadau wengi husema TISS hushiriki kuwaweka ccm madarakan,cjui hli ukwel wake
 
Nyerere alitufundisha kuridhika na kidogo tunachokipata. Hapo ndipo tuliorogwa. Tumeridhika.
 
Paris:
French president-elect Francois Hollande said Sunday night he felt proud for bringing hope to France and that change will start from now. In an address to his supporters after the presidential election, Hollande said his first mission upon his inauguration would be uniting the French people, facing all challenges and getting the country out of crisis, Xinhua reported. "I feel proud of bringing hope to the country," he said to thousands of his supporters in Tulle city, where he served as mayor from 2001 to 2008. World leaders congratulate Hollande World leaders including US president Barack Obama, German Chancellor Angela Merkel and British Prime Minister David Cameron Sunday night congratulated Hollande on his victory. In a phone call made to Hollande after the results were announced, Obama said he looked forward to working closely with the French president-elect and his government on a range of shared economic and security challenges. "President Obama noted that he will welcome President-elect Hollande to Camp David for the G8 Summit and to Chicago for the NATO Summit later this month, and proposed that they meet beforehand at the White House," Xinhua quoted the White House as saying in a statement. Obama and Hollande each reaffirmed the important and enduring alliance between the people of the two countries, the statement said. Merkel extended an invitation to Hollande in a phone call Sunday night to visit Berlin as soon as he formally takes office in mid May, said Steffen Seibert, spokesman at the German chancellor's office. German President Joachim Gauck also wished Hollande "good luck" for his five-year term for the service of France and Europe, a presidential spokesman said. Cameron and Belgian Prime Minister Elio Di Rupo also extended their congratulations to Hollande, while vowing to work for a close partnership in the future. Calling Hollande's election a "historic....
 

Attachments

  • abcacba3ca95e40c0e0f6a706700834e.jpeg
    abcacba3ca95e40c0e0f6a706700834e.jpeg
    5.6 KB · Views: 155
MKuu sometimes kuchaguliwa huwa kuna factor nyingi sana. Personal connection, personality, na wakati mwingine nyota tu kukuwakia. Sarkozy alipwaya sana kwenye pwesonality. Sijui kuhusu mke wake lakini kitendo cha kwenye kuona Miss aliyekuwa anaishi America nacho kinakufanya uonekane haupo connected. Sarkozy alishinda mwaka 2007 kwa kuwa alikuwa anashindana na mwanamama na nafikiri wafaransa hawakuwa tayari kwa rais mwanamama.
Mwaka 2007 alishindana na mke wa huyu jamaa aliyemshinda safari hii.
 
Sakozy aliongoza mashambuli ya kumng'oa na kumuua gadaffi, wakati mwaka 2008 alipewa fedha ya kampeni na gadaffi USD 66,000,000.
 
Hali inaonyesha kwamba mdololo wa uchumi umeondoa viongozi wengi madarakani, ukosefu wa ajira, hali ngumu ya maisha nk, ni vitu vilivyochangia sana. Duuu....... sarkoz kwisney.
 
Tunampongeza Rais mpya wa ufaransa! Lakini CCM ni chama imara na chenye wanachama wengi sana ambao wako tayari kujitoa kwa ari zaidi,nguvu zaidi na kasi zaidi kukiimarisha chama ili kiweze kuleta maendeleo kwa Taifa letu hiyo ya ufaransa ni changamoto tu inayokifanya CCM kijipange vizuri ili kizidi kuwatumikia watanzania.Nyie mnaofikiria kushinda chaguzi kwa kuonewa huruma mtasubili sana kwani kwa Tanzania hakuna chama bora na chenye mwelekeo sahihi kama CCM.
CCM OYEEEE...................................................
 
ni Mr Francois Hollande.Nikajua angepata PHD ya heshima awe daktari kama JK ili aweze kushinda
 
Bwana Nicolus alidhani ufaransa ni mali yake, kumbe wafaransa walitaka kujua kama anaweza. kilichomwangusha jamaa yetu huyu ni pamoja na matumizi makubwa ya pesa ya wafaransa kwa ajili ya wageni. inakisiwa kuwa alikuwa akitumia takriban Tsh. 120 million kwa siku kwa ajili ya wageni wa ikulu tu. Aende zake.
 
Back
Top Bottom