UCHAGUZI CHADEMA: Ratiba yatoka Rasmi

UCHAGUZI CHADEMA: Ratiba yatoka Rasmi

hatuwezi kufanya uchaguzi, chama hakijawa imara ,si unaona tunavyoangukia pua kila uchaguzi? kwanza zito hayupo uchaguzi wa nini tena
 
Hii ratiba iliwekwa kumkomoa Zitto kabwe sasa wameona haitekelezeki wameamua kukaa kimya
 
Mbowe ni mwenyekiti wa kudumu, hakuna haja ya kufanya uchaguzi
 
Sisi wachaga tunamtaka mbowe aendeleee mpaka afikie umri wa mugabe, hayawahusu
 
Chadema haina haja ya kufanya uchaguzi, kwani uchaguzi kitu gani?
 
Chadema ni chama cha kilaghai... Hiyo ratiba ilikuwa ni ya kuzugia tu...
 
Jamani hivi nyie CCM pilipili msio ila inakuashia nini!? tuacheni na CDM yetu, uchaguzi wa nini wakati viongozi tulionao sasa wanafanya vizuri!
 
Hakutakua na Uchaguzi tena ndani ya chadema hadi kesi ya Zitto iishe
 
Huwezi kuamini kwamba CHADEMA kinaongozwa na watu wazima yaani mambo wanayofanya ni ya kitoto toto ndiyo maana wasomi wameanza kujiweka kando na hiki Chama wanaona aibu kuambatanishwa na watu kama akina Mbowe na Lema.Chama kinahitaji mwenyekiti msomi,mwelewa wa siasa za kiafrika,mwenye vision,aliye shapu kichwani na atakayerudisha imani ya watu wa kutoka katika makundi mbalimbali ya kijamii kwa CHADEMA.Mbowe as a Chairman HELL NO!
 
Mapovu YOTE HAYA UMEYAMWAGA YA NINI NA HUKU HUJUI CHOCHOTE !
 
hatuwezi kufanya uchaguzi, chama hakijawa imara ,si unaona tunavyoangukia pua kila uchaguzi? Kwanza zito hayupo uchaguzi wa nini tena

wewe mbembe wa kongo na act yenu toka lini ukawa mwanamabadiliko?
'kaijage!
 
Mapovu YOTE HAYA UMEYAMWAGA YA NINI NA HUKU HUJUI CHOCHOTE !

CHADEMA sasa inakwenda chini kama ndege inayotaka kutua badala ya kupaa juu angani,Tatizo ni nini?Tatizo ni uongozi ulioishiwa mawazo,CHADEMA inahitaji sura mpya za Viongozi wenye fikra na mawazo mapya ili wakisaidie Chama kusonga mbele.Zaidi wanahitaji Viongozi wenye kujua umuhimu wa Information Technology katika shughuli za ujenzi na uimarishaji wa Chama za kila siku.Duniani kote taasisi au mashirika au makampuni hutathinini utendaji kazi wa menejimenti yake kwa kuangalia matokeo yake kibiashara au utoaji huduma ukoje na si vinginevyo.Menejimenti ipimwe kwa kuangalia pafomansi ya oganaizesheni husika ilivyo,Kama pafomansi hairidhishi kwanini menejimenti isipigwe chini na kuajiri menejimenti mpya yenye mawazo na fikra mpya zilizo bora kwa manufaa ya oganaizesheni husika?Huu si wakati wa kuendelea kumtetea Mbowe huku CHADEMA inaendelea kuzama.Huu ni wakati wa kukabiliana na hali halisi na kufanya maamuzu sahihi kwaajili ya mustakabali mwema wa Chama chenu.Get over that ridiculous love affair with Mbowe and make a sound decision now before it's too late!!
 
Jamani hivi nyie CCM pilipili msio ila inakuashia nini!? tuacheni na CDM yetu, uchaguzi wa nini wakati viongozi tulionao sasa wanafanya vizuri!

Mbona nyie ya chichiem inawawasha?. Mara oh utawala wa kifalme n.k . Napenda mabadiliko ila akili Zangu hajaelewa vyama hivi.
 
CHADEMA sasa inakwenda chini kama ndege inayotaka kutua badala ya kupaa juu angani,Tatizo ni nini?Tatizo ni uongozi ulioishiwa mawazo,CHADEMA inahitaji sura mpya za Viongozi wenye fikra na mawazo mapya ili wakisaidie Chama kusonga mbele.Zaidi wanahitaji Viongozi wenye kujua umuhimu wa Information Technology katika shughuli za ujenzi na uimarishaji wa Chama za kila siku.Duniani kote taasisi au mashirika au makampuni hutathinini utendaji kazi wa menejimenti yake kwa kuangalia matokeo yake kibiashara au utoaji huduma ukoje na si vinginevyo.Menejimenti ipimwe kwa kuangalia pafomansi ya oganaizesheni husika ilivyo,Kama pafomansi hairidhishi kwanini menejimenti isipigwe chini na kuajiri menejimenti mpya yenye mawazo na fikra mpya zilizo bora kwa manufaa ya oganaizesheni husika?Huu si wakati wa kuendelea kumtetea Mbowe huku CHADEMA inaendelea kuzama.Huu ni wakati wa kukabiliana na hali halisi na kufanya maamuzu sahihi kwaajili ya mustakabali mwema wa Chama chenu.Get over that ridiculous love affair with Mbowe and make a sound decision now before it's too late!!

tatizo haka kamchina kangu hakana sehemu ya kugonga LIKE Mkuu.......ukweli mchungu huu lakini ndio dawa
 
Jamani hivi nyie CCM pilipili msio ila inakuashia nini!? tuacheni na CDM yetu, uchaguzi wa nini wakati viongozi tulionao sasa wanafanya vizuri!

Performance ipi nzuri unayozungumzia mkuu? ile ya chopa3 kata3, ile ya kalenga au chalinze?
 
Back
Top Bottom