UCHAGUZI CHADEMA: Ratiba yatoka Rasmi

UCHAGUZI CHADEMA: Ratiba yatoka Rasmi

Dr Slaa HAFAI kuwa Raisi wa Tanzania 2015-2020
Dr Slaa ni Miongoni mwa Wanasiasa Wakongwe na
Machachali Hapa Nchini.Harakati zake Zimeanza
Zamani, Tangu Akiwa Mtumishi wa Kanisa Katoliki
(Padre) na Baadae Akafukuzwa Baada ya
Kuonyesha Utovu wa Nidhamu, Inasemekana
Haka Kamchezo Katamu Kalikuwa Chachu ya yeye
Kufukuzwa Upadre.
Nimekuwa Nikijiuliza,
1. Hivi Huyu Dr Slaa Alianza Kuwa na Ndoto za
Kuwa Raisi wa Nchi Hii Tangu Lini??Maana mimi
Nafahamu Alikuwa Padre, sasa Mapadre na Uraisi
katika nchi hii wapi na wapi??Maana Mapadre
Wameapa Kuwa Watumishi wa Mungu hadi Kufa
kwao…..Sasa Huyu Dr Slaa Kabla ya Kuwa Padre
Alikula Kiapo Kipi??
Na Kama aliapa kuwa Mtumishi wa Mungu
(Padre) na Akashindwa…Anawezaje Kunishawishi
Ataweza Kuwa Raisi wa Nchi Hii kwa Kipindi cha
Miaka Mitano??
Lakini Pia Nimekuwa Nikijiuliza
2. Hivi ni Kipi Alichokifanya Dr Slaa Hata
awashawishi Watanzania Hususani Vijana
Kumpigia Kura ili awe Raisi wa Nchi Hii??Maana
Mimi Namfahamu Dr Slaa Kama Mlopokaji,Mtu
Mwenye Jaziba, Mvunja Ndoa za Watu,Ndumila
Kuwili Maana Upadre anautaka,Uccm anautaka
na Uchadema anautaka Pia…..Msela Maana Hadi
leo Hajaoa Licha ya Kuwa na Miaka 72.
3. Jamani Hivi ni kweli Tumekosa Watanzania
Wazalendo,wenye Historia nzuri ,Wenye Elimu na
Wachapa Kazi,Wasio na Kashfa za Ubakaji Hadi
Tumchague Dr Slaa kuwa Raisi wa Nchi Hii??
Ikumbukwe ya Kwamba,Dr Slaa Alilazimishwa
Kugombea Uraisi kwa Ticket ya Chadema mwaka
2010,yeye Hakutaka, Alikuwa Anajua Kabisa
Hawezi Kushinda ndio Maana Aliilazimisha
Chadema Kuingia MKATABA wa Kumlipa Mshahara
na Posho kama Wabunge endapo Atashindwa
kwenye Kinyang’anyiro Hicho.
4. Hebu Tujiuliize Pia..Hivi Historia ya Dr Slaa
Inatushawishi Kumchagua Kuwa Raisi wa Nchi
Hii??Maana mimi naona Hostoria yake
Imepindapinda kama Zigzag Line…….
Kiukweli Kabisa,Dr Slaa ni Mroho wa
Madaraka,Mbinafsi kama Freeman Mbowe…ndio
maana Alivyokatwa jina lake katika kura za maoni
ndani ya CCM mwaka 1995 Akaamua Kukimbilia
Chadema.Huwezi Kusema Dr Slaa Anaipenda
Chadema Maana Bila Kukatwa jina,asingekuwa
Chadema Hivi Leo….
UFUPISHO
Dr Slaa Hafai Kuwa Raisi wa Nchi Hii kwa Sababu
1. Sio Muaminifu, Haaminiki Sio kwenye Masuala
ya Kiutawala tu bali hadi kwa Vimada wake..
2. MUHAFIDHINA, Akichaguliwa, Hata Kubali
Kutoka Madarakani,atakuwa King’ang’anizi kama
Museven…
3. Hana Uwazi, Ameshindwa Kusimamia Usomwaji
wa Taarifa ya Mapato na Matumizi ndani ya
Chadema…
4. Mgonjwa, Anaumwa Kisukari na
Pressure….Taifa Linaweza Kula Hasara za Kufanya
Uchaguzi Mwingine Katikati ya 2015-2020 Maana
Afya ya Mtu Huyu ni kama Mvua za Dodoma…..
Vijana Tutafakari kwa Kina….Nani Anatufaa Lakini
Tusipoteze Muda Kumfikiria Dr Slaa…
Viva Vijana Vivaaaaa……..
 
needless to say expire date ya Mzee kisiasa na kimawazo imefikia deadline
 
Alishindwa kuongoza kondoo kanisan wenye imani moja ataweza kondoo wa taifa hili wenye imani tofautitofauti.......?
 
nakumbuka baada ya danadana za muda mrefu za kukwepa kufanya uchaguzi hasa wa mwenyekiti wa chadema taifa kwa kumuhofia zito, hatimaye chadema walitangaza taratibu na tarehe za uchaguzi ndani ya chama kwa ngazi zote, sasa ninachosikia ni wimbi la kujiuzulu kwa viongozi tu kila kona ya nchi, je huo uchaguzi ndio umekuja kwa staili hii!! ImageUploadedByJamiiForums1398410231.459833.jpg
 
huna lolote, mtafute mwanachadema yoyote hai atakwambia eneo lake wako hatua gani.
 
Ndugu wanajamvi!

Naomba kwa wenye taarifa sahihi aniambeie, uchaguzi wa viongozi wakuu ndani ya CDM ni lini?
 
Hakuna uchaguzi wa viongozi wakuu, team iliyopo inajitosheleza, imevuka malengo ya uongozi, na inaendelea kufanya vizuri mpaka sasa. hivyo utaendelea kuwapo mpaka baada ya uchaguzi mwaka kesho.

una habari za uchaguzi wa kitaifa mwaka kesho?
 
Wewe ni chama gani? Maana chaguzi za misingi na matawi tayari mpango upo kwenye kata mpaka sasa unaendelea!
 
Hakuna uchaguzi wa viongozi wakuu, team iliyopo inajitosheleza, imevuka malengo ya uongozi, na inaendelea kufanya vizuri mpaka sasa. hivyo utaendelea kuwapo mpaka baada ya uchaguzi mwaka kesho.

una habari za uchaguzi wa kitaifa mwaka kesho?

Sijakuelewa@sangara
 
Sijakuelewa@sangara

Haujaelewa nini? kwamba mwakani kuna uchaguzi wa kitaifa au nini? au unafikiri chikwete ataongoza milele. he is constitutionally quiting next year, well, him and ccm are both quiting next year for good.
 
Ndugu wanajamvi!

Naomba kwa wenye taarifa sahihi aniambeie, uchaguzi wa viongozi wakuu ndani ya CDM ni lini?

Kesho.Haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa:smile-big::smile-big::smile-big:
 
Nenda kwa katibu wa tawi lako kaulize maana chaguzi zinaendelea ktk ngazi tofauti tofauti kwakua wewe haupo makini au ulipitiwa au ulisafiri lakini chaguzi zinaendelea kiongozi
 
1. 22/11/2013 - 14/12/2013 ni kukamilisha zoezi la usajili wa wanachama,

2. 15 Desemba hadi 15 Januari uchaguzi ngazi za vitongoji,

3. 16 hadi 30 Januari 2014 Rufaa na ukaguzi,

4. 01 hadi 15 Februari ni uchaguzi wa matawi.

5. 16 hadi 29 Februani ni kusikiliza rufaa na ukaguzi,

6. Majimbo utaanza rasmi 1 hadi 10 Aprili,

7. Uchaguzi ngazi ya Wilaya ukitarajiwa kufanyika 25 Aprili hadi Mei 5 mwaka 2014,

8. Na ngazi ya Mikoa ni 20 hadi 25 Mei.

9. Uchaguzi wa kanda unatarajiwa kufanyika Julai 9,

10. Julai 23 hadi 30 utakuwa ndiyo muda wa uchaguzi ngazi ya Taifa, utakaoanza na Baraza la Wazee, Baraza la Vijana, Baraza la Wanawake kisha Uchaguzi wa ndani ya Chama.

UPDATES
===================================================
Kwa mujibu wa katiba yao ya mwaka 2006 muundoo wa chama chao upo kama nilivyoweka hapo chini, na tukiangalia hii ratiba nadhani kuna tatizo kweli maana hakuna uchaguzi wa kata, sasa sijuhi labda wamebadilisha muundo.

VI. SURA YA SITA
6.0 MUUNDO, VIKAO NA UONGOZI WA CHAMA
6.1 Muundo wa Chama
6.1.1 Kutakuwa na ngazi saba za uongozi wa Chama kama ifuatavyo:
(a) Ngazi ya Msingi
(b) Tawi
(c) Kata/Wadi
(d) Jimbo/Wilaya
(e) Mkoa
(f) Jimbo.
(g) Taifa
6.1.2 Uundaji wa ngazi moja ya juu utafanyika tu baada ya kuwa na muundo na uongozi katika
ngazi ya chini kwa angalao 50% ya maeneo ya kiutawala yanayostahili kuwa na muundo
na uongozi wa kikatiba wa Chama kwa ngazi hiyo.
6.1.3 Kwa kuzingatia Ibara 6.1.2 hapo juu, ngazi ya juu ya chama itateua kamati ya muda
itakayokuwa na wajibu wa kuratibu shughuli za chama na kuwaunganisha wanachama
katika eneo lisilo na uongozi wa kikatiba mpaka wanapofikia uwezo wa kuwa na uongozi
wa kikatiba.

Mkuu mbona 22-11-2013-14-12-2013 ilishapita kitambo?
 
Mzee mbona sijasikia tena kuhusu huo uchaguzi??? Au mlitoa ratiba mka pita iviii
 
Back
Top Bottom