si hivyo tuuu mbona mama yake ZITTO ambaye ni mlemavu aliiiba pesa za walemavu na kukimbilia Mwanza hakuna anayemtukana au basi tuu anataka umaarufu kupitia mgongo wa mzee malecela?
au pesa za MENGI zinamlewesha?
Jamani mbona hao madiwani unasema walikuwa wananunua shahada Wamechoka kiasi hiki!!!!! Hivi wanaelewa kwanza nini wanafanya au ni umasikini ndiyo unawaponza!!!! Au elimu duni inawaponza , maana kama umasikini halafu wangekuwa na elimu kidogo wangegundua kuwa They NEED CHANGES kujaribu na upande wa pili wa shilingi ili waone kama kweli wataendelea kuwa masikini kiasi hicho. Maana inaonesha hata chakula mchana hawajapata si kwa kutaka bali hali ngumu.
Busanda Show the Tanzania that : - Ili kukomesha IFISADI you need CHANGES, na ni sasa.
Nilishuhudia uchaguzi mkuu wa mwaka 1995, nikiwa Moshi, Dar, Morogoro na Arusha. Makundi niliyoona yakiwa kwenye mikutano ya Augustino Lyatonga Mrema yalikuwa yanafanya kila mtu aamini kwamba Mrema angeongoza angalau kwenye hiyo mikoa.
Kilichotoka kwenye majumuisho ya kura huko kulikoitwa ndio ngome ya NCCR-Mageuzi kwa wakati huo ndio CCM na NCCR-Mageuzi waligawana kura. Lakini CCM iliendelea kuwa ndiyo yenye kura nyingi.
Sasa mimi picha huwa kawaida zinaniambia tu kwamba huenda Busanda kuna ushindani lakini haziniiambii kwamba ushindi utakuwa kwa CHADEMA moja kwa moja... mijitu ya CCM haipigi makelele bwana lakini wanajua kupiga kura...
Mnapiga mkutano wenu, makofi mengi etc. kesho yake balozi wa nyumba kumi kumi arudi anasawazisha mambo. kwa kuwa vyama vya upinzani havina viongozi huko kwenye kaya.
Yetu macho, najua kuna watu watasema mbona Tarime iliwezekana... lakini Tarime iliwezekana kwa sababu Tarime ilikuwa ngome ya CHADEMA hata kabla ya kifo cha Mh. Chache Wangwe.
Nawatakia ushabiki mwema.
sema CCM wanajua kuiba kura hapo nitakuelewa. ndiyo maana sasa hivi wanajiandaa kufanya huo umafia. Lakini jamaa wamewadhibiti kikamilifu.sasa Busanda lilikuwa jimbo la CCM, lakini naamini watalipoteza kabisa hilo halina ubishi. CCM kwisha habari yao, wajue kwamba watanzania wamechoshwa na serikali ya ubabaishaji iliyojaa uswahiba huku wananchi wanakuwa kama wakimbizi kwenye nchi yao.Nilishuhudia uchaguzi mkuu wa mwaka 1995, nikiwa Moshi, Dar, Morogoro na Arusha. Makundi niliyoona yakiwa kwenye mikutano ya Augustino Lyatonga Mrema yalikuwa yanafanya kila mtu aamini kwamba Mrema angeongoza angalau kwenye hiyo mikoa.
Kilichotoka kwenye majumuisho ya kura huko kulikoitwa ndio ngome ya NCCR-Mageuzi kwa wakati huo ndio CCM na NCCR-Mageuzi waligawana kura. Lakini CCM iliendelea kuwa ndiyo yenye kura nyingi.
Sasa mimi picha huwa kawaida zinaniambia tu kwamba huenda Busanda kuna ushindani lakini haziniiambii kwamba ushindi utakuwa kwa CHADEMA moja kwa moja... mijitu ya CCM haipigi makelele bwana lakini wanajua kupiga kura...
Mnapiga mkutano wenu, makofi mengi etc. kesho yake balozi wa nyumba kumi kumi arudi anasawazisha mambo. kwa kuwa vyama vya upinzani havina viongozi huko kwenye kaya.
Yetu macho, najua kuna watu watasema mbona Tarime iliwezekana... lakini Tarime iliwezekana kwa sababu Tarime ilikuwa ngome ya CHADEMA hata kabla ya kifo cha Mh. Chache Wangwe.
Nawatakia ushabiki mwema.
wewe mpaka kisieleweke walau rudi hapa ututake radhi ebo! Au kama hujui ku upload omba msaada kwani siyo ajabu kutojua chakufanya
mbona picha zipo