Hebu tueleweshane kidogo,
gharama hasa ni za mafuta na matangazo? kukodi helicopter? posho za wajumbe na wapiga debe? au kuhonga wapiga kura!!!!?????????
Tanzania hata kama pesa ni chafu ili mradi inakupa ulaji si shida kwa viongozi wetu. Mjomba alipokuwa anahutubia bunge kwa mara ya kwanza aligusia kuwa atashughulikia maswala ya jinsi chaguzi zinavyokuwa financed huku akijua yeye kawa financed kwa pesa chafu ya wizi na baada ya hapo si ajabu RA alimpiga stop. Kwani umeshasikia hoja hii tena?
Jukwaani amepanda meneja kampeni wa Chadema, anaitwa Shelembi, jamaa ni noma!. Anapiga kampeni kwa Lugha ya Kisukuma, uwanja mzima unashangilia.
Miongoni mwa anayoyazungumza ni kuwaconvince wanaBusanda
Kutofanya makosa tena kwa kuichagua CCM baada ya miaka 48 ya utumwa wa CCM, Busanda..
Kusema ukweli, matamshi ya huyu jamaa na Kisukuma cha ndani haswa kile cha Chapa Ng'ombe, inaleta burudani fulani kusikia
Yaani hata jamaa angetoa single, ingehit hata kwa wasiojua Kisukuma.
Mambo ya kuongea kilugha hayakuanza leo, wala hayakuanzishwa na Shibuda!.Sikumbuki ni lini Mwl. Nyerere alihutubia taifa kwenye jukwaa na mbele ya kamera kwa kuchanganya na Kizanaki, na wala sijawahi kumsikia Mzee Mwinyi wala Mkapa wakifanya hivyo wala watu wao. WAliamini kuwa kwa kufanya hivyo ni kutamani siasa za ukabila na kufukua hisia za kikabila nchini.
Nimewahi kumuona Mh. Shibuda juzijuzi akiongea Kisukuma kitupu wakati alipopewa nafasi ya kusalimia kwenye mkutano ambao ulikuwa wa public ambao pia ulikuwa unafuatiliwa na hata watu wasiofahamu lugha ya Kisukuma na bila kupewa onyo.
Wasiwasi wangu ni watu kuutamani mtaji wa kikabila ambao Nyerere alisema ni dalili za mtu kufilisika kisiasa.
Hebu turudini kwenye mstari aliouacha baba wa taifa.
Niko mkutano wa CCM, nikianzia umati wa watu, ukilinganisha na Chadema, sio siri CCM cha Mtoto!.
Kama watu niliowana mkutano wa Chadema ni wapiga kura kweli, basi kwa mara ya kwanza nakiri kuwa CCM itapigwa chini mjini Busanda. Vijijini, sijajua.
Hakuna Ob yoyote ya TBC, hivyo hakuna live TBC-1 labda TBC-Taifa mlioko huko sikilizeni.
Kampeni za Mwisho za CCM mdororo!.
Tambwe Hiza kachemsha eti Rais Bush kamwalika Jk!.
Waziri Masha kagoma kupanda Jukwwaani.
Mgombea wa CCM Mama Bukwimba hana uwezo wa kujieleza.
Kama wanaBusanda wanachagua mtu na sio chama, basi Mbunge ni Magesa. Lakini kwa vile wanachagua vyama, hata mgombea wa chama awe bomu vipi, chama kitambeba.
Mhe. Magufuli amepanda jukwaani anamwaga kikabila Kisukuma mwanzo mwisho kujibu mapigo ya Shelembi. Magufuli anashangiliwa sana, sasa anamwaga sumu kali dhidi ya Chadema kwa lugha ya Kisukuma.
Anamnadi vizuri mkombea wa CCM.
Leo sijaona wazomeaji.
Kwa vile campain hizi za CCM zinaboa, sitadumu hapa kwa muda mrefu, nitaelekea kampeni za CUF na kumalizia na kampeni za UDP.

Nimesikia mahali Mchungaji Gwajima amehojiwa kwa kuhamasusha ukabila. Sheria yetu ya uchaguzi inakataza kabisa watu kuhutubia kwa kilugha katika mikutano ya kampeni za uchaguzi, hicho nilichoeleza hapo ni kitu ambacho nimekishuhudia kikifanyika, maofisa wa NEC wakiwepo, OCD na polisi wake wakiwepo, and nothing was done about this na kuna watu wanadhani baadhi ya watu kuhutubia kwa lugha za Kisukuma wameanza leo. Hili ni bandiko la mwezi May, 2009, miaka 11 iliyopita!. Sasa leo Gwajima anapoyasisitiza haya kosa lake ni lipi?.Niko mkutano wa CCM, nikianzia umati wa watu, ukilinganisha na Chadema, sio siri CCM cha Mtoto!.
Kama watu niliowana mkutano wa Chadema ni wapiga kura kweli, basi kwa mara ya kwanza nakiri kuwa CCM itapigwa chini mjini Busanda. Vijijini, sijajua.
Hakuna Ob yoyote ya TBC, hivyo hakuna live TBC-1 labda TBC-Taifa mlioko huko sikilizeni.
Kampeni za Mwisho za CCM mdororo!.
Tambwe Hiza kachemsha eti Rais Bush kamwalika Jk!.
Waziri Masha kagoma kupanda Jukwwaani.
Mgombea wa CCM Mama Bukwimba hana uwezo wa kujieleza.
Kama wanaBusanda wanachagua mtu na sio chama, basi Mbunge ni Magesa. Lakini kwa vile wanachagua vyama, hata mgombea wa chama awe bomu vipi, chama kitambeba.
Mhe. Magufuli amepanda jukwaani anamwaga kikabila Kisukuma mwanzo mwisho kujibu mapigo ya Shelembi. Magufuli anashangiliwa sana, sasa anamwaga sumu kali dhidi ya Chadema kwa lugha ya Kisukuma.
Anamnadi vizuri mkombea wa CCM.
Leo sijaona wazomeaji.
Kwa vile campain hizi za CCM zinaboa, sitadumu hapa kwa muda mrefu, nitaelekea kampeni za CUF na kumalizia na kampeni za UDP.
Kuhutubia kwa lugha za Kusukuma kule Usukumani ni kwa vyama vyote, hapa ni kampeni ya Chadema, Busanda.Jukwaani amepanda meneja kampeni wa Chadema, anaitwa Shelembi, jamaa ni noma!. Anapiga kampeni kwa Lugha ya Kisukuma, uwanja mzima unashangilia.