- - Na ninaomba nikukumbushe wewe na wengine wote kwamba mimi ni mwanachama mkereketwa wa CCM, sijawahi kutokwua na msimamo wala kuwa neutral katika maisha yangu huku Duniani, ninaamini kwamba chama cha CCM hakina tatizo lolote, isipokuwa tuna viongozi wachache wabovu ambao demokrasia inahitaji tuwarekebishe ili waweze kurudi tena kwenye mstari.
- Nafasi ya Rais kwa sasa ninaiacha wazi mpaka nitakapojua wanaoiwania kutoka vyama vyote ndio tutasema wazi msimamo wetu, ingawa for now tunaweza ku-speculate na kushauri pia nani anayefaa, lakini tutasema msimamo wetu kwa wagombea walioko kwenye nafasi tayari na wale walioonyesha nia ya kutaka kugombea.
FMEs!
Mh. John Magufuli angefaa zaidi, ila mwakani nadhani Mh. Jakaya Kikwete atagombea tena ili akamilishe kipindi cha miaka 10.
So akiwa professor na maadili akataliwe kwa sababu ni professor?? mkuu u are not seriousHatutaki Professor awe rais!Simpla man mwenye maadili!
Issue inayolikabili Taifa kwasasa bado ni ufisadi,bado haujashughulikiwa inavyopaswa,mijadala inaenda kwa kasi,lakini mambo on the ground ni slow motion,tumshajadili wee,kutokea Dk Slaa alipoibua ile list hadi "Wapiganaji" walipotake over,lakini on the ground hali halisi bado hayajafanyika ya kumconvinve mwananchi mwenye akili timamu kuwa ufisadi una/umeshughulikiwa. Kwa hivyo basi naomba wakati unawataja hao wagombea wenye kujali maslahi ya taifa usisahau kuwa bado vitendo ndiyo vitakavyo speak louder tha maneno pale inapokuja kwenye kuumaliza ufisadi once and for all....Kama wapiganaji hawata prevail kwa namna ambayo ni convincing before the next election,then ni vyema tukaangalia upande wa pili wa shilingi...Ni vyema tukajumuisha halafu tufanye comparisons based on what the nation is facing,and who is more likely to get us through,kuna mtu amechangia hapo nyuma na kusema ufisadi si sababu ya umasikini....Ni mchangiaji wa JF,sasa huko vijijini si ndio balaa?Definition ya akili timamu ni so complex.- Wakuu uchaguzi mkuu wa taifa uko kwenye kona, Mzee Mandela aliwahi kusema kwamba kwenye ishu muhimu za taifa kama hizi kuwa kimyaa au kuwa neutral ni dalili za kuwa coward.
- Kwa wale tulio na influence ya namna moja au nyingine kwa taifa, ni vyema tukaweka wazi msimamo wetu kwa public kuhusu wagombea ambao tunaamini kwamba wanafaa katika kutusaidia taifa, nimekuwepo JF kwa muda mrefu sana sasa nikiwa na lengo moja tu, nalo ni siku moja kuliona taifa langu likiongozwa kwa kuheshimu sheria.
- Kwa hiyo leo nitaanza rasmi kuwataja wagombea ninaona wanafa kwa masilahi ya taifa letu, na sababu.
Respect.
FMEs!
Mahakama ilishaafiki lakini CCM wakapinga.Hivi tuna sheria ya kuruhusu wagombea huru?
Umeamuaje Mwakalinga hafai hata kabla yake kuingia ulingoni?Wasiofaa
1. J M Kikwete
2. Mkullo
3. Nchimbi
4. Mwakalinga (akigombea Kyela)
5. list itaendelea
Hapana shaka ataendelea kwa miaka mitano zaidi, licha ya list yoyote itakayowekwa hapa.Wasiofaa
1. J M Kikwete
Hapana shaka ataendelea kwa miaka mitano zaidi, licha ya list yoyote itakayowekwa hapa.
Umeamuaje Mwakalinga hafai hata kabla yake kuingia ulingoni?
Do you know something we do not?
.- Wakuu uchaguzi mkuu wa taifa uko kwenye kona, Mzee Mandela aliwahi kusema kwamba kwenye ishu muhimu za taifa kama hizi kuwa kimyaa au kuwa neutral ni dalili za kuwa coward.
- Kwa wale tulio na influence ya namna moja au nyingine kwa taifa, ni vyema tukaweka wazi msimamo wetu kwa public kuhusu wagombea ambao tunaamini kwamba wanafaa katika kutusaidia taifa, nimekuwepo JF kwa muda mrefu sana sasa nikiwa na lengo moja tu, nalo ni siku moja kuliona taifa langu likiongozwa kwa kuheshimu sheria.
- Kwa hiyo leo nitaanza rasmi kuwataja wagombea ninaona wanafa kwa masilahi ya taifa letu, na sababu.
Respect.
FMEs!
.
Siku zote nilifikiri jf imejaa wasomi na watu wenye Busara zao.Kumbe imejaa waganga wa kienyeji na wapiga Lamri.
Haya, endeleeni na uganga wa kienyeji wenu, na mambo ya kufikilika.
Join Date: Sat Nov 2009.
Siku zote nilifikiri jf imejaa wasomi na watu wenye Busara zao.Kumbe imejaa waganga wa kienyeji na wapiga Lamri.
Haya, endeleeni na uganga wa kienyeji wenu, na mambo ya kufikilika.
Wewe hujakosea kabisaa kwenye lamri na kufikilika.
Hapa nikwambie kama Obama alivyoambiwa "You Lie"Nakuunga mkono, haijalishi mtu amejaribu mara ngapi, kinachomatter anakuja na sera gani. Abraham Lincoln alijaribu urais wa Marekani kwa mara 7, akafanikiwa mara ya 8.
.Hapa nikwambie kama Obama alivyoambiwa "You Lie"
Kama unamaanisha Urais check again you facts. Lakini kama unajumuisha useneta na u congressman na huko jimboni inawezekana. Hapo utakuwa offpoint kwani Lipumba ameshajaribu Urais mara tatu na zote patupu.
Waswahili husema kila Maradhi na dawa yake...Hatuwezi chagua kiongozi bora kwa kufikiria utedaji kazi wake ikiwa tatizo na mahitaji yetu hayahusiani na kazi ama nguvu anayotumia mhusika. Maadam Grand Corruption ni adui yetu nambari moja, mimi nampendekeza Dr.Slaa kuchukua kiti cha IKULU. Mdiye mpambanaji wa kweli anayekubalika na vyombo vyote nchini ktk vita dhidi ya Ufisadi kama alivyoorodhesha FMES.
Kumtaka Dr. Slaa arudi Karatu sii dawa inayoponya maradhi tulokuwa nayo na nadiriki kusema kwamba pamoja na jitihada zake bungeni Mheshimiwa Dr Slaa amebakia kama uwanja huu wa JF ambapo tunaandika mengi sana lakini tunazaa matunda hafifu yasiyo na tija kwa taifa kwani maamuzi mengi yameshikiliwa na Mafisadi wenyewe.
Nikiwatazama watu kama Magufuli na Mwadosya ni watu ambao hawana record ya kupinga au kupambana na Ufisadi. Ni wafanyakazi wazuri sana lakini hawawezi kuleta mabadiliko ikiwa pakacha letu la Uchumi lina tobo ambazo zinatakiwa kuzibwa na kiongozi anayeweza kusimama dhidi ya Ufisadi.
Ni rahisi sana watu kusema JF watu wanasema sana na kupiga makelele pasipo kuchukuanhatua zozote lakini wakasahau kwamba hata Wapiganaji wetu bungeni wamekuwa ktk vita hiii pasipo kufanikiwa. Hii ikiwa na maana tunatumia silaha mbaya au dawa mbaya ktk maradhi haya. Suluhisho ni kumweka mtu anayeweza kusimamisha Justice.. We don't want LAW, where it has been broken, we need JUSTICE. na nina hakika Dr. Slaa will deliver!
Haki ya kuchagua au kuchaguliwa ni miongoni mwa haki za msingi za binadamu na katiba yetu inalitambua hilo. Pia katiba imetoa uhuru wa raia kushiriki katika serikali toka ya mtaa mpaka serikali kuu.Hivi tuna sheria ya kuruhusu wagombea huru?
Watu waliojaribu zaidi ya mara tatu ni wengi sana kaka just get your record right..kwa system yetu NEC na uchanga wa demokrasia..I still support lipumba for presidency kuliko mtu mwingine yeyote kutoka upinzani...labda muendelea kuleta list ambayo itanibadilisha.Hapa nikwambie kama Obama alivyoambiwa "You Lie"
Kama unamaanisha Urais check again you facts. Lakini kama unajumuisha useneta na u congressman na huko jimboni inawezekana. Hapo utakuwa offpoint kwani Lipumba ameshajaribu Urais mara tatu na zote patupu.