Uchafu wa Paul Makonda huu hapa

Uchafu wa Paul Makonda huu hapa

makonda ni nani hasa.na ulikuwa wapi siku zote hzo kuja zuka leo na shutuma hzo
mkuu kwani huwajui bavicha mpaka leo?,
yaani ukiwakera wanakimbili jf kukuchafua,wataomba CV,watakuanzishia kila aina ya threads,hao ndo bavicha,maadui wao bahati nzuri kila wanavyowasema humu ndo wanazidi kuwini,
wafuatao ni maadui wakubwa wa bavicha,
nape.
Mwigulu
umi mwalimu,
riz
makonda,
mshama,
membe
bibi kiroboto
zito
kigwa
etc
 
Huu unao uita wewe uchafu wa Makoda ni usafi mbele za Mageuzi na harakati za kuikomboa nchi hii , wakati huo huo usafi wako wewe ni Uchafu mbele za haki!!!!!!!!!

Umeahidiwa kusafisha choo cha makonda? Maana jinsi alivyokosa adabu nashangaa unavoona anaikomboa nchi! Au kwa kufunga viatu vya riz na kumpiga mzee Warioba kibao ndo kuikomboa nchi?
 
Mi najiuliza hv mkuu wa wilaya anamamlaka yapi. Kazi yake ni ipi hasa katila wilaya. Huyu makonda mbona simuelew hvii
 
Makonda amekuwa akijisifu ya kwamba yu msafi wakati Makonda huyo kipindi akiwa Waziri mkuu wa serikali ya wanafunzi MUCCOBS aliweza kutumia nafasi hiyo kutafuna pesa za wanafunzi.

Kwa mujibu wa Katiba ya chuo yeye ndiye anaidhinisha pesa kutoka hivyo kupitia nafasi hiyo aliweza kutumia pesa zetu vibaya na upelekea Waziri wake wa fedha aliyekuwa anagombea nafasi ya urais kushindwa kutokana na kashfa hiyo ya pesa.

Na makonda mwaka 2009 katika maadhimisho ya kifo cha Nyerere alipewa pesa ya maandalizi lakin kutokana na tamaa zake alikwenda kwa Ndesamburo nako alichota pesa hiyo ikapelekea kuvuliwa ujumbe wa UVCCM mkoa wa kilimanjaro.

Na alitumiwa na CHADEMA kuimaliza CCM chuoni, hilo ni fisadi dogo linalo chipukia kwa mgongo wa kutumia usafi kama anavyojinasibu.

Mtoa mada naomba utupe maelezo zaid ya kitaaluma kuhusu Makonda
 
Acha kuchafua watu mkuu. Pamoja nae kuidhinisha malipo Dean of students ndo muidhinishsji mkuu wa hela za mwanafunzi. Kwa dean wa pale chuo uchafu unaompakazia sahau. Dean Gervas Machimu asingeruhusu. Acha kumchafua Makonda hata kama alikosea
 
df869dfd9ad246677d2e08eca147c0a8.jpg
 
Nauliza hivi kuna mtu bado ana swali linalouliza kwamba "Who is Makonda?"
Basi kama yupo ajitokeze ili tumuone...
 
Hebu liendelee kuchafuliwa hilo limungu la darisalama
 
Back
Top Bottom