Uchafu wa Paul Makonda huu hapa

Uchafu wa Paul Makonda huu hapa

Makonda amekuwa akijisifu ya kwamba yu msafi wakati Makonda huyo kipindi akiwa Waziri mkuu wa serikali ya wanafunzi MUCCOBS aliweza kutumia nafasi hiyo kutafuna pesa za wanafunzi.

Kwa mujibu wa Katiba ya chuo yeye ndiye anaidhinisha pesa kutoka hivyo kupitia nafasi hiyo aliweza kutumia pesa zetu vibaya na upelekea Waziri wake wa fedha aliyekuwa anagombea nafasi ya urais kushindwa kutokana na kashfa hiyo ya pesa.

Na makonda mwaka 2009 katika maadhimisho ya kifo cha Nyerere alipewa pesa ya maandalizi lakin kutokana na tamaa zake alikwenda kwa Ndesamburo nako alichota pesa hiyo ikapelekea kuvuliwa ujumbe wa UVCCM mkoa wa kilimanjaro.

Na alitumiwa na CHADEMA kuimaliza CCM chuoni, hilo ni fisadi dogo linalo chipukia kwa mgongo wa kutumia usafi kama anavyojinasibu.

JF sio sehemu ya umbea umbea na majungu,,weka ushahidi utushawishi..vinginevyo nawewe tutakupeleka kwa mkemia mkuu hahahaha
 
Makonda amekuwa akijisifu ya kwamba yu msafi wakati Makonda huyo kipindi akiwa Waziri mkuu wa serikali ya wanafunzi MUCCOBS aliweza kutumia nafasi hiyo kutafuna pesa za wanafunzi.

Kwa mujibu wa Katiba ya chuo yeye ndiye anaidhinisha pesa kutoka hivyo kupitia nafasi hiyo aliweza kutumia pesa zetu vibaya na upelekea Waziri wake wa fedha aliyekuwa anagombea nafasi ya urais kushindwa kutokana na kashfa hiyo ya pesa.

Na makonda mwaka 2009 katika maadhimisho ya kifo cha Nyerere alipewa pesa ya maandalizi lakin kutokana na tamaa zake alikwenda kwa Ndesamburo nako alichota pesa hiyo ikapelekea kuvuliwa ujumbe wa UVCCM mkoa wa kilimanjaro.

Na alitumiwa na CHADEMA kuimaliza CCM chuoni, hilo ni fisadi dogo linalo chipukia kwa mgongo wa kutumia usafi kama anavyojinasibu.

Hta sishituki najua Umetumwa na wauza unga
Pyeeeeeee [emoji45] [emoji45] [emoji45]
 
Viongozi wachache walikua katika serikali za wanafunzi hawajatafuna hela wote ni wale wale..sema huyu kachafuka ndio maana kila single inayotoka inamfaa
 
na alikuwa anapenda kutongoza tongoza alimtongoza demu wangu enzi hizoo akaishia kibuti kama wema alivyo fanya.
 
Uchafu wako ukowapi..!? Weka wako kwanza kabla ya kuchafua mwenzako..
 
Mmmmh kama kutongoza ni uchafu ss nani atakuwa msafi kwenye hii Dunia mambo mengine tRIacheni siasa.
 
mkuu kwani huwajui bavicha mpaka leo?,
yaani ukiwakera wanakimbili jf kukuchafua,wataomba CV,watakuanzishia kila aina ya threads,hao ndo bavicha,maadui wao bahati nzuri kila wanavyowasema humu ndo wanazidi kuwini,
wafuatao ni maadui wakubwa wa bavicha,
nape.
Mwigulu
umi mwalimu,
riz
makonda,
mshama,
membe
bibi kiroboto
zito
kigwa
etc

Uliandika ukweli kabisa, ila mbona umebadilika siku hizi?
 
Back
Top Bottom