Uchafu wa Paul Makonda huu hapa

Uchafu wa Paul Makonda huu hapa

Tujadili yako lakini kitendo cha kumpigia Jaji Warioba, kinapaswa kulaniwa na kila mtu bila kujali itikadi ya vyama
 
Makonda mimi namjua mazuri yake tu. Kwanza juzi alitwambia tupeleke cv zetu vijana ambao hatuna ajira.. na pia tulionana nae pale leaders akatuahidi mambo mazuri akatupa mawazo mazuri ambayo kwa sasa ndo tunayafanyia kazi na tarehe 30 tunakwenda tena kuonana nae tukiwa tayari tumeyafanyia kazi yale alotuelekeza.....
 
Makonda amekuwa akijisifu ya kwamba yu msafi wakati Makonda huyo kipindi akiwa Waziri mkuu wa serikali ya wanafunzi MUCCOBS aliweza kutumia nafasi hiyo kutafuna pesa za wanafunzi.

Kwa mujibu wa Katiba ya chuo yeye ndiye anaidhinisha pesa kutoka hivyo kupitia nafasi hiyo aliweza kutumia pesa zetu vibaya na upelekea Waziri wake wa fedha aliyekuwa anagombea nafasi ya urais kushindwa kutokana na kashfa hiyo ya pesa.

Na makonda mwaka 2009 katika maadhimisho ya kifo cha Nyerere alipewa pesa ya maandalizi lakin kutokana na tamaa zake alikwenda kwa Ndesamburo nako alichota pesa hiyo ikapelekea kuvuliwa ujumbe wa UVCCM mkoa wa kilimanjaro.

Na alitumiwa na CHADEMA kuimaliza CCM chuoni, hilo ni fisadi dogo linalo chipukia kwa mgongo wa kutumia usafi kama anavyojinasibu.

Mi sasa hivi simuamini mtu yoyote wa chadema anapoleta habari za uchafu wa mwanasiasa yoyote yule. Tangu Slaa. Lema na wengineo watuaminishe kuwa Lowasa ni mchafu, lakini leo wanampigia magoti aingie huko! Sina hamu nao kabisa chadema, wala msituletee ujinga wa stori eti za uchafu wa mtu fulani hapa! Kwendaaaa!
 
Makonda amekuwa akijisifu ya kwamba yu msafi wakati Makonda huyo kipindi akiwa Waziri mkuu wa serikali ya wanafunzi MUCCOBS aliweza kutumia nafasi hiyo kutafuna pesa za wanafunzi.

Kwa mujibu wa Katiba ya chuo yeye ndiye anaidhinisha pesa kutoka hivyo kupitia nafasi hiyo aliweza kutumia pesa zetu vibaya na upelekea Waziri wake wa fedha aliyekuwa anagombea nafasi ya urais kushindwa kutokana na kashfa hiyo ya pesa.

Na makonda mwaka 2009 katika maadhimisho ya kifo cha Nyerere alipewa pesa ya maandalizi lakin kutokana na tamaa zake alikwenda kwa Ndesamburo nako alichota pesa hiyo ikapelekea kuvuliwa ujumbe wa UVCCM mkoa wa kilimanjaro.

Na alitumiwa na CHADEMA kuimaliza CCM chuoni, hilo ni fisadi dogo linalo chipukia kwa mgongo wa kutumia usafi kama anavyojinasibu.

aiseeeee.......................
 
Heee iloo huoni aibu kamalizeni tofauti zenu huko nje ya jukwaa shuuu
 
jf ni zaidi ya maktaba! tatizo LA watanzania wengi ni kusahau!
 
Makonda amekuwa akijisifu ya kwamba yu msafi wakati Makonda huyo kipindi akiwa Waziri mkuu wa serikali ya wanafunzi MUCCOBS aliweza kutumia nafasi hiyo kutafuna pesa za wanafunzi.

Kwa mujibu wa Katiba ya chuo yeye ndiye anaidhinisha pesa kutoka hivyo kupitia nafasi hiyo aliweza kutumia pesa zetu vibaya na upelekea Waziri wake wa fedha aliyekuwa anagombea nafasi ya urais kushindwa kutokana na kashfa hiyo ya pesa.

Na makonda mwaka 2009 katika maadhimisho ya kifo cha Nyerere alipewa pesa ya maandalizi lakin kutokana na tamaa zake alikwenda kwa Ndesamburo nako alichota pesa hiyo ikapelekea kuvuliwa ujumbe wa UVCCM mkoa wa kilimanjaro.

Na alitumiwa na CHADEMA kuimaliza CCM chuoni, hilo ni fisadi dogo linalo chipukia kwa mgongo wa kutumia usafi kama anavyojinasibu.

Habari imekaa kimajungu..muacheni makonda apige kazi
 
Hizo tuhuma mngemalizana huko huko kwenye serikali ya wanafunzi, huku tuhuma hizo hazina mashiko.
 
Back
Top Bottom