Upande wa maadui
Senior Member
- Dec 23, 2016
- 199
- 161
Kuna watu maneno yao yanaishi[emoji1] [emoji1]Wait, one day utamjua
Kuna watu maneno yao yanaishi[emoji1] [emoji1]Wait, one day utamjua
Makonda hachafuliki, the man is so smart mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hata simjui...
Makonda hachafuliki, the man is so smart mkuu
Ugomvi binafsi unatuletea jf bana
Who'z Makonda?
Hili povu lazima utakuwa unatumia ngada tu, maana hata sijakuelewaMakonda amekuwa akijisifu ya kwamba yu msafi wakati Makonda huyo kipindi akiwa Waziri mkuu wa serikali ya wanafunzi MUCCOBS aliweza kutumia nafasi hiyo kutafuna pesa za wanafunzi.
Kwa mujibu wa Katiba ya chuo yeye ndiye anaidhinisha pesa kutoka hivyo kupitia nafasi hiyo aliweza kutumia pesa zetu vibaya na upelekea Waziri wake wa fedha aliyekuwa anagombea nafasi ya urais kushindwa kutokana na kashfa hiyo ya pesa.
Na makonda mwaka 2009 katika maadhimisho ya kifo cha Nyerere alipewa pesa ya maandalizi lakin kutokana na tamaa zake alikwenda kwa Ndesamburo nako alichota pesa hiyo ikapelekea kuvuliwa ujumbe wa UVCCM mkoa wa kilimanjaro.
Na alitumiwa na CHADEMA kuimaliza CCM chuoni, hilo ni fisadi dogo linalo chipukia kwa mgongo wa kutumia usafi kama anavyojinasibu.
Nafikiri utakuwa umemtambua vema sasaWho'z Makonda?
Weeeh, sema hakyànaniMakonda hachafuliki, the man is so smart mkuu
Ohoooo!!!Makonda hachafuliki, the man is so smart mkuu
Kwa sasa utakuwa umesha mtambua uzuri.Who'z Makonda?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ata akipiga msosi hanenepi katu, ye ni kukonda tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]"ccm bila vyombo vya dola ni
weupe kama karatasi",Dr Slaa
Before bt nao is big fish. Ambaye anaogopwaHe's just a small fish
Ohooooooo!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wait, one day utamjua
Ohooooo!!!Daudi Bashite
Ohoooo!!!Makonda huyu huyu ambaye ni mtangazaji wa local redio Huko tabora,.... Au???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nauliza hivi kuna mtu bado ana swali linalouliza kwamba "Who is Makonda?"
Basi kama yupo ajitokeze ili tumuone...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna watu maneno yao yanaishi[emoji1] [emoji1]
Ohooooo!!!Before bt nao is big fish. Ambaye anaogopwa
Makonda amekuwa akijisifu ya kwamba yu msafi wakati Makonda huyo kipindi akiwa Waziri mkuu wa serikali ya wanafunzi MUCCOBS aliweza kutumia nafasi hiyo kutafuna pesa za wanafunzi.
Kwa mujibu wa Katiba ya chuo yeye ndiye anaidhinisha pesa kutoka hivyo kupitia nafasi hiyo aliweza kutumia pesa zetu vibaya na upelekea Waziri wake wa fedha aliyekuwa anagombea nafasi ya urais kushindwa kutokana na kashfa hiyo ya pesa.
Na makonda mwaka 2009 katika maadhimisho ya kifo cha Nyerere alipewa pesa ya maandalizi lakin kutokana na tamaa zake alikwenda kwa Ndesamburo nako alichota pesa hiyo ikapelekea kuvuliwa ujumbe wa UVCCM mkoa wa kilimanjaro.
Na alitumiwa na CHADEMA kuimaliza CCM chuoni, hilo ni fisadi dogo linalo chipukia kwa mgongo wa kutumia usafi kama anavyojinasibu.
Kw uelewa wako mdogoMakonda hachafuliki, the man is so smart mkuu