Uchafu wa Paul Makonda huu hapa

Uchafu wa Paul Makonda huu hapa

sijakuelewa bana ..tuko busy na mmbo ya kufuta kauli ya ushoga na mambo ya kuomba msamaha kuke rwanda..we tutakujibu next week
 
Najaribu kuwaza nje ya box, huyu mwenye huu uzi yaweza kuwa ndie Makonda mwenyewe......anajaribu kujitafuia credit in negative ways....From nowhere uje umtaje eti Rais wa MuCCobs unadhan kila mtu anajua hata ilipo, seuze hilo jina makonda.....tena ameona akichomekea na kitu chadema ataweza kiulaini kudraw attention za watu kwamba naye alikuwa mpiganaji duh!....
Powah tumekupata umaarufu unagharama zake bana....kama hivo kupoteza ma megabyte ili pipo zitambue uwepo wako......
ahahaahhahah.....we makonda mkaleeeeeee!......sasa hapo ukitaka nyota iwe n'garin'gari bro kuja na uzi mwingine wa kukanusha kwa id yako ya makonda wa ukweee!
kama vipi kausha ni mawazo tu mkuu!
 
basi huyo ni mtu safi sana kama ameweza kuwatokomeza magamba safi sana anataka kuikomboa nchi yake toka kwa mabepari magamba
 
aaah sasa kama mmenyang'nyana mademu ndo mnakuja kuchafuliana huku..??kwanza huyu makonda ndo nani hana hata jina mjini hapa.....
 
Makonda ni kibaraka kinda wa CCM,hana cha usafi wala uchafu wa ku draw attention ya wana Jf(great thinkers)hana hata hadhi ya kuwa jf senior expert member kama mimi.
 
tupeni CV ya Makonda,mimi simfahamu kabisa.Mucobs ndo chuo gani?m
 
"ccm bila vyombo vya dola ni
weupe kama karatasi",Dr Slaa
 
MAKONDA AMEKUWA AKIJISIFU YA KWAMBA U MSAFI WAKATI MAKONDA HUYO KIPINDI AKIWA WAZIRI MKUU WA SERIKALI YA WANAFUNZI MUCCoBS ALIWEZA KUTUMIA NAFASI HIYO KUTAFUNA PESA ZA WANAFUNZI KWA MUJBU WA KATIBA YA CHUO YEYE NDIYE ANAHIDHINISHA PESA KUTOKA HIVYO KUPITIA NAFASI HIYO ALIWEZA KUTUMIA PESA ZETU VIBAYA NA UPELEKEA WAZIRI WAKE WA FEDHA ALIYEKUWA ANAGOMBEA NAFASI YA URAIS KUSHINDWA KUTOKANA NA KASHFA HIYO YA PESA. NA MAKONDA MWAKA 2009 KATIKA MAADHIMISHO YA KIFO CHA NYERERE ALIPEWA PESA YA MAANDALIZI LAKIN KUTOKANA NA TAMAA ZAKE ALIKWENDA KWA NDESSA MBURO NAKO ALICHOTA PESA HIYO IKAPELEKEA KUVULIWA UJUMBE WA UVCCM MKOA WA KILIMANJARO. NA ALITUMIWA NA CHADEMA KUIMALIZA CCM CHUONI HLO NI FISADI DOGO LINALO CHIPUKIA KWA MGONGO WA KUTUMIA USAFI KAMA ANAVYO JNASIBU.

Hata kama ni fisad hii haitishi...simshabikii wala kumkubali paul ila kama hiz ndo tuhuma pekee zake bhasi ni msafi sana.....na next time nakuonya usilete habar isiyo na kichwa wala miguu...wazr mkuu anaidhinisha hakuna bunge?hakuna president?hakuna cabinet?
 
Huyu Makonda mbona nimeona nyuzi kama mbili tatu humu ndani, ndo huyo? Ila nina wasiwasi kuna watu wanaanzisha nyuzi ili watangaze majina yao.
 
Makonda ni chumia tumbo tu hana lolote,ni mtumwa wa mabwenyenye.Njaa ina msumbua
 
Akipita mtaani kwetu ajue hana bahati. Halina aibu kabisa hili domo
 
Back
Top Bottom