Haha πHahaha
Nimecheka na kufurahi. Nyere miaka ya nyuma aliwahi kusema "uwongo ni kipa kama ilivyo Urefu au ufupi". Basi watanzania wakaamini kuwa kweli Urefu na ufupi ni kipaji kisa kasema Nyerere.
#hakuna kipaji hapa duniani.
Cc implicit memory
Hapana mkuu. Mimi nikifanya utafiti nikagundua ukweli basi nausimamia.Haha π
ubishi nao ni kipaji, mkuu we una kipaji cha ubishi!
Sawa mkuu, ila ukumbuke hayo ni mawazo yako uhalisia hauko hivyo.Hapana mkuu. Mimi nikifanya utafiti nikagundua ukweli basi nausimamia.
Kwanini wewe ukiambiwa mungu yupo au hayupo utasemaje.Sawa mkuu, ila ukumbuke hayo ni mawazo yako uhalisia hauko hivyo.
Naamini yupo.Kwanini wewe ukiambiwa mungu yupo au hayupo utasemaje.
Hahaha ππ , unaweza kukuta wewe huwa una harufu mbaya mdomoni lakini alikuwa anakuvumilia ndo maana wewe ulipomwambia alikushangaa.mm nilimwambia mwenzangu ana harufu mbaya mdomoni na haikuwa kawaida yake sijui alikula nn niliropoka aisee hajawah sahau had tukaachana
Ebu elekeza hii mkuuHivi ushawahi kuwa mwanamke msafi unaweza mjua kupitia miguu yake. Ukikuta mwanamke mchafu miguu jua uwezekano wa kuwa na tabia ya uchafu ni zaidi ya 60%.
We fanya utafiti tu utagundua
Ha haaaa haaa, umemwita hadi huku π€£π€£π€£
Haha πHa haaaa haaa, umemwita hadi huku
kesho fanya kuwaangalia wanawake tofauti tofauti miguu yao alafu uwaangalie hali na tabia zao za usafi utagundua kitu Mkuu.Ebu elekeza hii mkuu
Kuwa na macho mekundu, kuwa na mwanya, dimples, pua refu, kuwa na kibyongo pia ni kipajiπ .
Duuuh hi ni topic mpya mkuu...kesho fanya kuwaangalia wanawake tofauti tofauti miguu yao alafu uwaangalie hali na tabia zao za usafi utagundua kitu Mkuu.
Mwanamke mwenye tabia ya usafi huwezi mkuta na miguu michafu, hiyo ni never!. Na haimaanishi kwamba hawachafuki ila ni hautamkuta na miguu michafu.
Ni sawa na umkute binti na kucha chafu, then utegemee awe na tabia ya usafi. Same kwa mwanaume. Mwanaume asiyekata kucha asilimia kubwa ni mchafu/ana tabia ya uchafu.
Unamsema nani huyo mwenye najichanganya mekundu mkuuKuwa na macho mekundu, kuwa na mwanya, dimples, pua refu, kuwa na kibyongo pia ni kipajiπ .
Cc Nomadix Angel Nylon
πKuwa na macho mekundu, kuwa na mwanya, dimples, pua refu, kuwa na kibyongo pia ni kipaji.
Cc Nomadix Angel Nylon
Jamaa fulani hapa JF. Anaipenda sana bangi.Unamsema nani huyo mwenye najichanganya mekundu mkuu
Hakika.π
Mpaka hapo kila mtu ana kipaji!
Wala sina hadufu mbaya hata yeye hana sema kuna kitu alikuwa sikumbuki ni nn ila kilinikera huwa unajisikiaje mtu anapokula mayai ya kumchemsha mfanoHahaha ππ , unaweza kukuta wewe huwa una harufu mbaya mdomoni lakini alikuwa anakuvumilia ndo maana wewe ulipomwambia alikushangaa.
Wewe na mambo ya chakula... Sijui nani atawatenganishaWala sina hadufu mbaya hata yeye hana sema kuna kitu alikuwa sikumbuki ni nn ila kilinikera huwa unajisikiaje mtu anapokula mayai ya kumchemsha mfano
Kwangu mayai ya kuchemsha akila mwenzangu nayaona yana harufu mbaya sana sometimes najihis kutapika kabisa ila nikila mm aah naona kawaida tu π