SIERA
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 2,780
- 3,401
UTOKO Ni Nini hasa?
Uchafu ... na wapo wanawake wanauwacha wako wanautoa wale wanaoutoa Ndio mwanaume akiingia hatoki nao wale wanaouwacha ukiingia unaenda kuuchokoza unatoka nao...
Kiufupi wanaume wengi naona hawaupendi ila wako wanaoona sawa tu nahisi...
Binafsi mimi kama mwanamke siupendi kabisa huwa nautoa