Mkuu ni kweli pita ferry ujionee kuna inzi wengi sana wanatishia afya za binadam hii ni kutokana na kitengo cha afya jiji kutokuwa makini kwa kupuliza dawa za kuua mazalia ya inzi ,pili mizoga ya samaki imeegeshwa getini hapo na kutoa maji yenye harufu kali .ukizingatia mabomba havatoi maji siku ya nne sasa ,pamoja na idadi kubwa ya wakaz bado wanaweza kutii taratib na sheria za usafi walizojiwekea hii inanipa picha kuwa mazingira haya wameyazoea